Uamuzi huo unakuja saa 24 baada kikundi cha Wanajeshi kumuondoa Rais Mohamed Bazoum kwa kile kilichoelezwa kuwa ameshindwa kusimamia Uchumi wa Nchi pamoja na hali mbaya ya Usalama.
Pia, Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres amelisihi Jeshi limwachie huru na bila masharti, Rais Bazoum ambaye...
Umoja wa Mataifa umetoa tahadhari hiyo baada ya Mamlaka za Tunisia kudaiwa kuminya Uhuru wa Kujieleza huku kukiwa na taarifa za Mwandishi wa habari maarufu kukamatwa kwa tuhuma za kumtusi Rais Kais Saied.
Kamisheni ya Haki za Kibinadamu imesema "Msako dhidi ya Majaji, Wanasiasa, Viongozi wa...
Umoja wa mataifa umemteua Ghaamid Abdulbasat kuwa mwanachama wa Kamati ya Ushauri (IAC) kwa niaba ya vijana Afrika na duniani kutekeleza itifaki ya Nagoya ya mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Bioanuwai/Mazingira.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari, uteuzi wake unalenga...
Umoja wa Mataifa unaangazia kusitisha shughuli zake nchini Afghanistan baada ya Taliban kuwazuia wanawake kufanya kazi kwenye mashirika ya umoja huo nchini humo.
Taarifa iliyoachapishwa mapema leo imesema, ujumbe wa Umoja wa Mataifa umesema zuio hilo la Taliban linakiuka sheria ya kimataifa na...
Umoja wa Mataifa umesema Jumanne kwamba utawala wa Taliban nchini Afghanistan umewaarifu kwamba umepiga marufuku wanawake kufanya kazi katika taasisi hiyo, ikiwa hatua ya karibuni zaidi ya kuweka masharti kwa haki za wanawake nchini humo
Katibu mkuu wa UN, Antonio Guterres, amesema kwamba, “...
Urusi imechukua kiti cha urais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa licha ya Ukraine kuwataka wanachama kuzuia hatua hiyo.
Kila baraza la wajumbe 15 huchukua nafasi ya urais kwa mwezi mmoja, kwa utaratibu wa kupokezana.
Mara ya mwisho Urusi ilikuwa na nafasi ya urais ilikuwa Februari 2022...
Waziri wa Maji ameshiriki kikao cha Shukrani na kuagana na watumishi wa Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Umoja wa Mataifa, New York. Watumishi hao wameongozwa na Mhe. Balozi Dkt. Suleiman Haji Suleiman, Kaimu Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Umoja wa...
Habari Wadau.
Wakati Nchi wanachama wa EAC Zikiunga Mkono azimio la Umoja la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuitaka Russia kuondoa Majeshi yake vamizi Nchini Ukraine,Tanzania imekimbia Kikao bila kutokea kwenye upigaji kura.
Kuliko Nchi yetu kuendelea kukimbia vikao vya UN mara kutopoga...
Serikali yasitisha shughuli za Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu (OHCHR) nchini Uganda
OHCHR, idara ya Sekretarieti ya Umoja wa Mataifa, imepewa mamlaka ya kukuza na kulinda furaha na utambuzi kamili kwa watu wote, na haki zote zilizowekwa katika Mkataba wa Umoja wa...
Umoja wa Mataifa (UN) imetoa angalizo hilo katika ripoti yake kuhusu biashara haramu ya bidhaa za matibabu.
Biashara hiyo inaweza kusababisha dawa za kuua wadudu kutofanya kazi au maambukizi ya magonjwa hatari, pia kudhoofisha mifumo ya afya kwa watumiaji.
Kati ya Januari 2017 hadi Disemba...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD alipokuwa Davos nchini Uswizi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na Balozi nchini Marekani, Prof. Kennedy Gastorn Jumanne alifutwa kazi kutokana na kashfa ya ufisadi ambayo maelezo yake hayakuwekwa wazi.
Uamuzi huo wa ghafla ulikuja miezi kadhaa baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumfuta kazi Waziri wa...
kashfa
kashfa ya rushwa
kennedy
professor
professor kennedy
rais samia
rushwa
serikali
tanzania
ubalozi
ufisadi
umojawamataifa
united nations
uwajibikaji
Taifa hilo kutoka Kusini mwa Afrika limeingia rasmi katika #BarazalaUsalama la Umoja wa Mataifa (UNSC), likianza muhula wa miaka 2 baada kuchaguliwa Juni 2022 pamoja na Nchi za #Ecuador, #Japan, #Malta na #Switzerland.
Msumbiji inaungana na #Ghana na #Gabon kuhudumu katika Baraza hilo, huku...
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limechukua hatua hiyo iliyowekwa kwa Majeshi ya Serikali ya DRC kutonunua Silaha mpya hadi wapate kibali kutoka Kamati ya Vikwazo ya UN.
Wajumbe wa Baraza hilo wamesema wanatambua Hali Mbaya ya Usalama nchini humo na hivyo kuondoa vikwazo hivyo ni katika...
Congress Wants to Boot Russia From U.N. Security Council
The Biden administration is also interested in watering down Russia’s influence at the United Nations.
By Jack Detsch, a Pentagon and national security reporter at Foreign Policy., and Amy Mackinnon, a national security and intelligence...
Umoja wa Mataifa kupitia Baraza la Uchumi na Kijamii la Umoja wa Mataifa limepiga Kura na kuchukua hatua hiyo baada ya kuripotiwa matukio mengi ya Ukatili dhidi ya Wanawake na Wasichana nchini humo.
Pia, Baraza Kuu la Kimataifa linalopigania Usawa wa Kijinsia chini ya Ufadhili wa Marekani...
SAMAHANINI, mdogo wangu anafanya kazi Serikalini, amenisumbua nimtumie pesa za matumizi huko DSM alihitaji kununua vitu, nilipomuuliza alienda kufanya nini, akasema alikuwa anafanya shughuli na shirika moja na UN na badala ya kuwalipa malipo ya kiUN, wamewalipa malipo ya kibongo, walipouliza...
Na Jumaa Kilumbi
10.11.2022
KaskazIni Magharibi mwa Afrika kuna mzozo kati ya nchi ya Morocco na nchi ya Jamhuri ya Waarabu ya Kidemokrasia ya Sahara (Sahrawi Arab Democratic Republic, SADR, Sahara Magharibi).
Morocco inadai kuwa Jamhuri ya Sahara Magharibi ni sehemu ya nchi yake huku Jamhuri...
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wake wa Mawasiliano Hussein Mohamed, Rais William Ruto atatoa hotuba yake ya kwanza baada ya kuapishwa kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) leo Jumatano saa 3 usiku katika Jiji la New York, Marekani.
Katika hotuba yake ya kwanza kwa Umoja wa Mataifa, Ruto...
Ripoti ya Umoja wa Mataifa imemtaja Rais Nicolás Maduro kuhusika na kuagiza vyombo vya usalama kutekeleza unyanyasaji dhidi ya wakosoaji kwa lengo la kufuta kabisa upinzani nchini humo.
Maduro na kiongozi wa chama tawala cha PSUV, Diosdado Cabello wametajwa kutoa amri kwa Idara za Kijasusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.