umoja wa mataifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jollyman91

    Kubainishwa misimamo ya Iran kuhusu Syria katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Katika miaka ya hivi karibuni Syria imekuwa ikikabiliwa na vita na harakati kubwa za makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na Marekani na sehemu ya ardhi ya nchi hiyo ikadhibitiwa na kukaliwa kwa mabavu na magaidi. Hadi sasa vita hivyo vimesababisha maafa na mauaji ya makumi ya maelfu ya wananchi...
  2. beth

    Rais Samia atoa rai kwa Umoja wa Mataifa kusaidia Serikali ya Tanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Tanzania ingependa Umoja wa Mataifa uwasaidie ili waweze kujenga yanayotakiwa na wananchi ikiwemo Elimu, Afya, Maji, Umeme na Pembejeo za Kilimo Ameeleza hayo Septemba 24, 2021 katika Mahojiano Maalum na Habari za UN huko New York Nchini Marekani...
  3. L

    Ziara ya Samia Suluhu kwenye Umoja wa Mataifa yaleta matumaini mapya kwa diplomasia na diaspora ya Tanzania

    Hivi karibuni Rais Samia Suluhu wa Tanzania alifanya ziara nchini Marekani, ambako alikwenda kuhudhuria mkutano wa 76 wa baraza kuu la umoja wa mataifa nchini Marekani. Ziara hii ambayo ni ya kwanza kwa Rais wa Tanzania nje ya Afrika katika kipindi cha zaidi ya miaka sita, imepokelewa kwa...
  4. beth

    #COVID19 UNGA: Afrika yaeleza ukosefu wa usawa chanjo za Corona

    Viongozi wa Afrika wameelezea ukosefu wa usawa katika usambazaji wa chanjo za Covid-19, wakati walipohutubia kikao cha 76 cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa, mjini New York. Katika hotuba yake ya kwanza kwa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema ukosefu wa...
  5. Roving Journalist

    Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye Baraza la Umoja wa Mataifa (UN) - Septemba 23, 2021

    VIDEO: Hotuba ya Rais Samia Suluhu Umoja wa Mataifa (UN) Rais Samia: Tanzania itaendelea kuwa mwanachama kindakindaki wa Umoja wa Mataifa. Tuko tayari kushirikiana na wanaotaka kushirikiana nasi, tutendelea kuwa Tanzania iliyokuwa ikishirikiana na nchi zote Rais Samia: Virusi vya Corona...
  6. Petro E. Mselewa

    Tutarajie nini kwenye Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani

    Waungwana, nawasalimu! Leo ndiyo siku ya tarehe 23/9/2021 iliyotajwa kama siku muhimu kwa nchi yetu ambapo Rais wetu na Mama yetu Samia Suluhu Hassan atalihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani. Kwa yeyote anayefahamu, hotuba ya Mama Samia itakuwa muda gani na itarushwa na...
  7. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia kuhutubia dunia kupitia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

    🔥 NI LEO! RAIS SAMIA KUHUTUBIA DUNIA KUPITIA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA 🔥. Mabibi na Mabwana, leo Alhamisi Septemba 23, 2021 kuanzia saa 3 usiku majira ya Afrika Mashariki, Mwanamke wa shoka Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia dunia kupitia Mkutano Mkuu wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa...
  8. T

    Rais Samia kuhutubia ulimwengu kupitia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Septemba 23, 2021

    RAIS SAMIA KUHUTUBIA ULIMWENGU KUPITIA BARANa Bwanku M Bwanku. Mabibi na Mabwana, kesho Alhamisi Septemba 23, 2021 Mwanamke wa shoka Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia ulimwengu kupitia Mkutano Mkuu wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN) Jijini New York, Marekani. Rais Samia atahutubia...
  9. Political Jurist

    Rais Samia: Wananchi wasichukulie kirahisi mabadiliko ya tabia ya nchi

    Rais Samia ataka wananchi wasichukulie kirahisi mabadiliko ya tabia ya nchi The Diplomat Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameshiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa uliojadili athari za mabadiliko ya tabia nchi yanayoikumba dunia na kusisitiza umuhimu wa kutopuuzia juhudi za kukabiliana na...
  10. beth

    Rais Samia kuhudhuria na kuhutubia Baraza Kuu la 76 la Umoja wa Mataifa Jijini New York

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kwenda New York Nchini Marekani kesho Septemba 18, 2021 kuhudhuria Mkutano wa 76 Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, akitarajiwa kuhutubia Baraza hilo Septemba 23 Vilevile, atahudhuria Mikutano ya kilele ya kujadili masuala ya mabadiliko ya...
  11. beth

    Lebanon: Umoja wa Mataifa waombwa kusimamia uchunguzi wa mlipuko wa Beirut

    Ndugu wa Wahanga wa mlipuko uliotokea Beirut Agosti 2020, walionusurika tukio hilo pamoja na Mashirika ya Haki za Binadamu wametaka kufanyika uchunguzi huru chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa (UN). Wamesema Uchunguzi wa ndani umekuwa unakwamishwa mara mwa mara na umeshindwa kufikia vigezo...
  12. Erythrocyte

    Wawakilishi wa Umoja wa Ulaya(EU), Umoja wa Mataifa(UN) na Mabalozi mbalimbali waendelea kufuatilia kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

    Pamoja na Serikali ya Tanzania kutopendezwa na Wawakilishi wa kimataifa kutoka EU , UN na Waheshimiwa Mabalozi kujionea dhuluma dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe Mahakamani , lakini Wazungu hao wameendelea kupuuza wito huo wa Wizara ya mambo ya nje na kuendelea kumiminika kwenye...
  13. beth

    Umoja wa Mataifa waonya kuhusu hali ya kibinadamu Afghanistan

    Umoja wa Mataifa (UN) unatazamia kukusanya zaidi ya Dola za Marekani Milioni 600 kusaidia Afghanistan, ikionya nchi hiyo inakabiliwa na janga kubwa la kibinadamu. Kwa mujibu wa UN, Raia wanahitaji Chakula, Dawa, Huduma za Afya pamoja na Maji safi na salama. Imeelezwa hata kabla ya Taliban...
  14. Analogia Malenga

    Umoja wa Mataifa: Watu 9 kati ya 10 huvuta hewa chafu

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN) Antonio Guterres amesema hewa chafu inasababisha vifo ambavyo vingeweza kuzuilika milioni 7 kila mwaka. Ameandika katika kila watu kumi watu tisa huvuta hewa chafu. Bila kuchukua hatua idadi ya vifo inaweza kuwa kubwa zaidi kufikia 2050. Ili kuwalinda watu na...
  15. beth

    Tigray, Ethiopia: Umoja wa Mataifa waonya hali kuwa mbaya zaidi

    Miezi kumi tangu kuanza kwa vita vya Tigray, Umoja wa Mataifa umeonya hali ya kibinadamu katika mkoa huo wa kaskazini mwa Ethiopia inaelekea kuwa mbaya zaidi, ukilaumu kile ulichokiita mzingiro wa misaada kwa hali hiyo. Mapigano yalizuka Novemba 2020 kati ya vikosi vya serikali ya shirikisho na...
  16. BAK

    Kesi ya Mbowe dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali yaanza kusikilizwa

    Leo Jumatatu tarehe 30 Agosti, 2021 Kesi ya Kikatiba ya Mhe. Freeman Mbowe dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali imeanza kusikilizwa Mahakama Kuu. Walikuwepo wawakilishi wa Balozi za Marekani, Uingereza na Sweden Mahakamani. Kesho Jumanne 31 Agosti, 2021 Kesi ya Ugaidi. Naibu...
  17. beth

    #COVID19 UN: Ukatili wa Kijinsia umeongezeka Afrika wakati wa COVID-19

    Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa, ukatili wa kijinsia barani Afrika umeongezeka maradufu katika kipindi hiki cha mlipuko wa UVIKO-19. Kwa mfano imeelezwa kuwa huko nchini Kenya wanafunzi takribani 4000 walipachikwa mimba wakati shule zilipofungwa kipindi cha zuio la kutoka...
  18. kimsboy

    #COVID19 UN yaipa Tanzania takribani Dola 900,000 kusaidia wahanga wa UVIKO-19

    UN yaipa Tanzania karibu dola laki tisa kusaidia wahanga wa UVIKO-19. Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo ya Kilimo, IFAD umeipa Tanzania karibu dola laki 8 na 83 elfu kwa ajili ya kusaidia wakulima wadogo zaidi ya elfu 6 nchini Tanzania ambao wameathiriwa na janga la ugonjwa wa korona au...
  19. beth

    Umoja wa Mataifa: Zaidi ya watu 400,000 wanakabiliwa na njaa Tigray

    Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya watu 400,000 huko Tigray Nchini Ethiopia wanakabiliwa na uhaba wa chakula, wengine Milioni 1.8 wanaelekea kupata shida hiyo na Watoto 33,000 wakiwa na Utapiamlo Kaimu Mkuu wa Misaada Umoja wa Mataifa (UN), Ramesh Rajasingham amesema watu Milioni 2 bado hawana...
  20. Analogia Malenga

    Umoja wa Mataifa wakubaliana kumaliza UKIMWI ifikapo 2030

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeidhinisha azimio la kisiasa, la kuyamaliza maradhi ya UKIMWI ifikapo mwaka 2030. Kulingana na azimio hilo wanachama wa baraza hilo kuu wameahidi kupunguza kiwango cha maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI hadi 370,000 na vifo vitokanavyo na UKIMWI hadi chini ya...
Back
Top Bottom