Umoja wa Mataifa unasema mamilioni ya watu nchini Myanmar wanakabiliwa na njaa katika wakati ambapo taifa hilo linapambana na mkwamo wa kisiasa na kiuchumi kutokana na hatua ya jeshi kuchukuwa madaraka kwa nguvu.
Kwa mujibu wa uchambuzi uliotolewa na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP)...
Salama Wana Mapinduzi wa JF?
Ndugu zangu huko Duniani kwa sasa ni Viongozi wa Dunia wanavyomuenzi Mpendwa Wetu Hayati John Pombe Joseph Magufuli kwa kuelezea Uimara na Misimamo Yake thabiti katika Kuunganisha Taifa Letu na Mapinduzi Makubwa ya kiuchumi.
Link hii hapa chini karibu tufatilie...
bujibuji masamaki
daktari
gfsonwin
hayati
john
king'asti asprin
magufuli
malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli
mmoja
mwezi
pombe
umojawamataifa
Mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa yamesema theluthi ya wakazi wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanakabiliwa na njaa kali na wametoa wito wa kuongezewa fedha za dharura ili kukabiliana na janga hili.
Shirika la chakula duniani (WFP) na shirika la chakula na kilimo yamesema , hali...
Wapendwa Heri ya Mapumziko ya Pasaka.
Poleni Watanzania wenzangu kwa kumpoteza kipenzi chetu,
Wanawake hongereni kwa kutuongoza,
napendekeza kuanzia Leo na nyinyi fanyeni mageuzi,anzeni kututongoza sisi wanaume,tupeni of mbalimbali na Mambo Kama hayo.
Nauliza hivi ile taasisi ya Kimataifa...
Umoja wa Mataifa umetangaza kupeperusha bendera yake nusu mlingoti siku ambayo atazikwa Rais Magufuli
Rais Magufuli anatarajia kuzikwa Tarehe 26/03/2021
Tanzania imeteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York, kwa mwaka 2020/2021
Uteuzi huu ulipendekezwa na Ofisi ya Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kuteuliwa kwa kauli moja na wajumbe wote wa kamati hiyo.
Tarehe 23 Novemba 2020...
Katibu mkuu wa Wizara ya Sheria na Katiba, Profesa Sifuni Mchome amesema Serikali haijapata taarifa hiyo, na kueleza kuwa watu hao wamekamatwa kwa mujibu wa sheria.
Taarifa iliyotolewa jana katika tovuti ya shirika la Umoja wa Mataifa na Kamishina wa Shirika la Haki za Binadamu la Umoja wa...
Julai 2016, Baraza la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa (UN) lilitambua na kuweka wazi kuwa Upatikanaji wa Matandao ni haki ya msingi ya binadamu.
‘Internet’ ni moja kati ya namna ya kuongeza uwazi kwa kuongeza ushirikishwaji wa wananchi katika kujenga jamii inayojali demokrasia...
Mwakilishi Mkuu wa Muungano wa Umoja wa Mataifa (UN), Miguel Angel Moratinos, amehimiza kuheshimiana kwa dini zote na imani na kukuza utamaduni wa udugu na amani.
Moratinos, katika taarifa yake ya maandishi, ameelezea wasiwasi mkubwa juu ya visa vinavyoongezeka na mvutano uliosababishwa na...
Ni Zlatan Milisic ambae ni UN Resident Coordinator kwa hapa nchini na ameandika hivi kupitia twitter:
Fake UN plates! I wish to clarify that cars with UN license plates reported in Hai today at more than one location have nothing to do with the UN. They are not UN cars; these are not official...
Umoja wa Mataifa watoa wito kwa viongozi wa kisiasa na wafuasi wao kujiepusha na visa vya vurugu nchini Tanzania
Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa Tanzania kuhakikisha uchaguzi mkuu wa Oktoba 28 unafanyika kwa njia ya amani.
Katika taarifa siku ya Jumatatu iliyotolewa kwa niaba ya Bw. Antonio...
Vifo vinavyotokana na maabukizi ya virusi vya corona vimezidi watu milioni moja, kwa mujibu wa takwimu za Chuo Kikuu cha John Hopkins, huku Shirika la Afya Duniani likionya kuwa idadi hiyo inaweza kuwa ndogo zaidi ikilinganishwa na uhalisia kutokana na changamoto katika upatikanaji wa takwimu...
Umoja wa Mataifa unatimiza miaka 75 mwaka huu; Mkutano Mkuu wa Baraza la Umoja wa Mataifa ulitakiwa kuwa mkutano mkubwa hasa kutokana na kusherehekea Jubilee hiyo ya Platinamu. Kama ilivyokuwa kwa miaka 74 iliyopita, viongozi kutoka mataifa mbalimbali duniani husafiri na kukusanyika mjini New...
Leo Mh Paramagamba Kabudi amehutubia mkutano wa 74 wa Umoja 2a Taifa jijini NewYork marekani.
Tanzania tumedhamiria kubadili maisha ya watu wetu: Kabudi
Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania akihutubia Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa...
Nimesoma katika gazeti la The Guardian on sunday, tar 25 Feb 2018, ati UN(Umoja wa Mataifa), wanapinga kujengwa kwa kituo cha kuzalisha umeme kiasi cha 2,100MW ati kwa sababu za mazingira.
Huu ni uhujumu, full stop!
UN inatumiwa tu, ili ujumbe uonekane ati unatoka chombo ambacho ni fair...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.