umoja wa mataifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoyo Zhou

    Mapendekezo ya China yaendana na “Mkataba wa Zama Zijazo” wa Umoja wa Mataifa

    Mkutano wa Kilele wa Zama Zijazo wa Umoja wa Mataifa hivi karibuni ulipitisha “Mkataba wa Zama zijazo”, ambao unaelezea muhtasari wa maendeleo ya siku zijazo duniani. Lengo la Mkataba huo ni kuboresha mfumo wa usimamizi wa dunia, na kustawisha utaratibu wa pande nyingi, ili kukabiliana vizuri na...
  2. Roving Journalist

    Umoja wa Mabunge Duniani wajihakikishia ushirikiano endelevu na Umoja wa Mataifa

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, amethibitisha kuwa ushirikiano endelevu baina ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Umoja wa Mataifa (UN) ni wa muhimu katika kutekeleza ajenda mbalimbali za pamoja kwa manufaa ya...
  3. I

    Kwa nini Rais Samia hajaenda New York kuhudhuria mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa?

    Tangu aapishwe Rais Samia amekuwa akihudhuria kila mualiko anaoupata kutoka nchi za nje na Jumuiya za Kimataifa. Lakini ajabu safari hii amemtuma Kassim Majaliwa kumuwakilisha na badala yake yuko Songea kuhudhuria tamasha la utamaduni! Je ameogopa maandamano ya yule dada Mange ambaye alikuwa...
  4. L

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Aimiminia Sifa Na Pongezi Tanzania kwa Kuwa Kinara wa Amani Barani Afrika.

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Antonio Guterres Ameimiminia sifa na pongezi kubwa sana Tanzania chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kuwa Kinara wa Amani...
  5. Ojuolegbha

    Balozi Yakubu akutana na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Comoro, James Tsok Bot

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amekutana na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Comoro, Mhe. James Tsok Bot aliemtembelea Ubalozini tarehe 17 Septemba, 2024. Katika mazungumzo yao wamezungumzia maeneo kadhaa ya ushirikiano mintarafu uwakilishi wao nchini Comoro.
  6. Pfizer

    Angellah Kairuki: Tanzania imepata fursa ya kuwa Mwenyeji wa Kongamano la Pili la Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN )

    Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema Tanzania imepata fursa ya kuwa Mwenyeji wa Kongamano la Pili la Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN ),Kanda ya Afrika kuhusu utalii wa vyakula vya asili litakalofanyika mwaka 2025. Ameyasema hayo leo jijini Victoria...
  7. MK254

    Urusi yaomba Umoja wa Mataifa usaidie kuachiwa kwa mateka Warusi walioshikiliwa na HAMAS

    Hivi kama shida yenu huwa Marekani na Israel, hawa Warusi mumewashikilia kwanini, ukizingatia Urusi huwashobokea hususan kwa kubwa la magaid yenu Iran. ============== June 11 (Reuters) - Russia's Human Rights Commissioner said on Tuesday she had issued a fresh appeal to senior U.N. and other...
  8. K

    Maadhimisho ya miaka 20 Umoja wa Afrika

    Tunathibitisha dhamire yetu ya dhati ye kuimarisha amani, usalama na ustawi wa Afrika Ni dhamira ya Tanzania kukuza amani na usalama barani Afrika ili kuweka mazingira stahiki ya kujenga ustawi wa kijamiina kiuchumi kwa watu wetu. Tangukuanzishwa kwake, Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa...
  9. Ritz

    Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) yaagiza Israel kukomesha mara moja ushambuliaji wa kijeshi huko Rafah

    Wanaukumbi. Kwa Upendeleo: 13 Dhidi ya: 2 Mahakama ya kimataifa ya uhalifu pia ilitoa kauli zifuatazo: ✅ Mahakama inabainisha kuwa hali ya kibinadamu huko Rafah ni janga baada ya wiki za mashambulizi ya mabomu. ✅ Mahakama inakumbuka kwamba hali ya maisha ya wakazi wa Ukanda wa Gaza imezorota...
  10. mkalamo

    India yafanikisha Mkutano wa Kwanza wa Kimataifa wa Umoja wa Mataifa juu ya Miundo mbinu ya Umma ya Kidijitali

    Mkutano wa Kimataifa wa Kwanza wa Umoja wa Mataifa kuhusu Miundombinu ya Umma ya Kidijitali ulifanyika chini ya uongozi wa India wa kutumia teknolojia kukuza Malengo Endelevu ya Maendeleo (SDGs) na kukuza ushirikishwaji, amesema Ruchira Kamboj, Mwakilishi wa Kudumu wa India kwa Umoja wa Mataifa...
  11. BARD AI

    #Kumbukizi: Ufaransa Ilipinga Uteuzi wa Dkt. Salim kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa mwaka 1996

    Mwaka 1996, wakati wa mchakato wa kuchagua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dkt. Salim alionekana kuwa mgombea imara wa kumrithi marehemu Boutros Boutros-Ghali - ambaye nafasi yake haikuwa tena imara kutokana na upinzani mkali kutoka Marekani. Hii ilianzisha mchakato wa wazi wa uchaguzi ambao...
  12. Pascal Mayalla

    Katika Kukuza Lugha Yetu Adhimu ya Kiswahili Kimataifa, Mnaonaje Rais Samia, Atumie Kiswahili, Kulihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa?

    Wanabodi, Leo nimetembelea kurasa fulani za website ya UN, nikakutana na neno fulani la Kiswahili kwenye moja ya program za UN, neno Hii inaonyesha Kiswahili kinazidi ku gain momentum. Neno hilo linatumika kwenye program ya usajili ya UN. Niliwahi kuandika Usiyoyajua Kuhusu Samia UN: Kumbe...
  13. ze kokuyo

    Iran yataka Umoja wa mataifa (UN) kulaani shambulizi la Israel nchini Syria

    Iran kupitia balozi wake wa Umoja wa mataifa umeitaka UN kulaani shambulizi lililofanywa na Israel kwa kushambulia ubalozi wake uliopo Syria. Iran imesema Israel ni tishio kubwa mashariki ya kati huku ikiapa kulipa kisasi. Hapo Jana waziri wa ulinzi wa Israel alisema Taifa hilo lipo tayari kwa...
  14. Ritz

    Israel imewaua wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa wa Poland, Australia, Ireland na Uingereza kimakusudi

    Wanaukumbi. Israel imewaua wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa wa Poland, Australia, Ireland na Uingereza kimakusudi. Angalia pasipoti zao. Adui wakubwa wa Israeli ni wasema ukweli. Hivi ni vita dhidi ya Hamas wanasema bahati nzuri wanauwana wao kwao ambao wanajiona wana haki ya kuishi tofauti na...
  15. Ritz

    Tazama tu jinsi Wazayuni wanavyolia na kupayuka juu ya Azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Wanaukumbi. Tazama tu jinsi Wazayuni wanavyolia na kupayuka juu ya azimio la baraza la usalama la Umoja wa Mataifa Netanyahu amekasirika. Alighairi ujumbe kwa DC kwa sababu Marekani ilijiepusha na azimio la kutaka kusitishwa kwa mapigano. Lakini hajakasirika kiasi kwamba atakataa $3.3B...
  16. The Sheriff

    Umoja wa Mataifa wapitisha azimio la kwanza la kimataifa kuhusu 'Artificial Intelligence' ili kulinda Haki za Binadamu

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Alhamisi 21, 2024 limepitisha kwa pamoja azimio la kwanza la kimataifa kuhusu Akili Mnemba (Artificial Intelligence - AI), likiziomba nchi kulinda haki za binadamu, kulinda data binafsi, na kufuatilia kwa karibu teknolojia hiyo ili kubaini hatari zinazoweza...
  17. BARD AI

    Umoja wa Mataifa wasema Mzozo wa DR Congo unapuuzwa kuliko migogoro yote duniani

    Mratibu Mkazi na Misaada ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa (UN), Bruno Lemarquis, amesema Mgogoro unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ni kati ya matatizo makubwa, magumu, ya muda mrefu na yanayopuuzwa zaidi duniani. Pia, UN imeonya kuwa hali ya Kibinadamu katika eneo la...
  18. MK254

    Aibu sana: IDF wagundua data center ya HAMAS nchini ya majengo ya shirika la Umoja wa Mataifa (UNRWA)

    Jamaa waliwekeza data center yenye mitambo mikali chini ya majengo ya shirika la Umoja wa Mataifa ambalo lilibuniwa kwa ajili ya kuwasaidia Wapalestina maskini. Mazombi mnasaidiwa kwenye njaa zenu ilhali hapo hapo kwenye shirika la msaada la kuwapa chakula ndio mnaona mjenge makao makuu ya...
  19. Roving Journalist

    Waziri Makamba ateta na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Uhamiaji (IOM)

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amekutana kwa mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Uhamiaji (IOM), Amy Pope Jijini Roma, Italia. Akizungumza katika kikao hicho, Waziri Makamba ameipongeza IOM kwa...
  20. MK254

    Imebainika kuna wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa walihusika kushambulia Israel

    UN iwe makini sana inapoajiri watu wa dini ile maana huwa hawaachi asili ya ugaidi, sasa imebainika humo kunao walikua mstari wa mbele kushambulia, na hii imechangia mataifa ya Magharibi kusitisha misaada...... Canada announces it is immediately suspending funding for the UN agency for...
Back
Top Bottom