Lugha yenyewe itapanda maana nasikia ana elimu nyingi nyingi sijui mbalimbali ukutubi na makolokolo kibaoRais wa Tanzania hawezi kabisa kwenda kwenye mkutano huo kwa sababu ya kuogopa kufanyiwa maandamano dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini mwake.
Mabunge ya ulaya yalishamjadili sana akawajibu who are you unipangie cha kufanyaRais wa Tanzania hawezi kabisa kwenda kwenye mkutano huo kwa sababu ya kuogopa kufanyiwa maandamano dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini mwake.
Inasikitisha sana...Rais wa Tanzania hawezi kabisa kwenda kwenye mkutano huo kwa sababu ya kuogopa kufanyiwa maandamano dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini mwake.
Gaidi mwandamizi katika ubora wakeVideo imesambaa mtandaoni ikimuonesha Rais wa Syria, Ahmed al-Sharaa, akiperuzi Instagram kwenye simu yake wakati Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, akihutubia Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UNGA), uliofanyika New York
Mimi pia nilitaka kusema kama weweNini shida?