HOJA Ushauri kwa Baraza la mitihani Tanzania(NECTA): Maafisa Elimu Kata (waratibu elimu) wasiruhusiwe kusimamia Mitihani ya Taifa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
Jukumu la usimamizi libaki kwa walimu wa madarasani,waratibu elim wabaki na majukumu Yao mengine! Wanaziba nafasi kwa walimu wa darasani na kusababisha malalamiko meengi sana Kwa walim.

CASE STUDY

katika halmashauri ya wilaya ya uyui mkoani tabora yenye jumla ya kata 31 zenye shule za secondary 31,waratibu elimu kata 31 wamepewa mikondo mikondo ya kusimamia na kuziba nafasi 31 za walimu wa darasani ambao engine walishiriki kabisa semina hawakupewa vituo vya kusimamia.

Hii imeleta malalamiko kwa walimu hai na sonona,ikumbukwe walimu hawana posho yoyote Ile lakini waratibu elimu wanna posho ya madaraka kwa mwezi karibu laki mbili,tunawaomba msitishe huu utaratibu kwasababu unashusha morali ya kazi Kwa walimu wa madarasani.

Yaani mwalimu anaitwa kwenye semina ya Baraza la mitihani na anashiriki halafu mwisho wa siku kituo hapewi na waratibu wanapewa kituo wakati hawafundishi madarasani,Hilo ni kosa la kimkakati!

Nimatumaini yangu kwamba NECTA mtalifanyia kazi hilo ili malalamiko hayo huko Halmashauri ya UYUI mtayafanyia kazi!!

Ikiwezekana pdf ya wasimamizi wakuu na wasimamizi wa mikondo itoke Baraza Moja kwa moja ,ili kuepuka magumashi na sarakasi kibao zinazofanywa kamati za mitihani wilayani na mikoani.

Afisa elimu mkoa wa tabora asimamie hilo ili kuondoa sintofahamu!

Naamini Baraza la mitihani ni taasisi makini haitoacha uozo huu uendelee kuliaibisha Baraza hili linalosifika Kwa uadilifu kwa miaka mingi

Nakala ikufikie katibu WA Baraza la mitihani Tanzania NECTA.

Mungu ibariki Tanzania,ibariki NECTA katika kutekeleza majukumu yake!
 
Kama wana sifa ya kusimamia mitihani hiyo basi wasimamie, hayo mengine ni porojo zako tu.
Ikiwa hawana sifa za kusimamia hapo ndo kuna tatizo.
 
Tafuta kipato mbadala mwalimu mwenzangu,kamwe hutalilia sh 600,000 kwa mwaka.

Hakuna mkate wa huruma hapa duniani,you need to fight ili upate mkate, wewe unawalilia necta wakuhurumie kwa kuwanyima mkate wengine ambao nao wanahitaji huo mkate

Bure kabisa wewe mwalimu,toho ya ubinafsi imekujaa
 
Vita Ya Uchumi
Ni Mbaya Sana Ndugu Zangu [ Nasena Uingo ]
Ndugu Zangu
 
Jukumu la usimamizi libaki kwa walimu wa madarasani,waratibu elim wabaki na majukumu Yao mengine! Wanaziba nafasi kwa walimu wa darasani na kusababisha malalamiko meengi sana Kwa walim.

CASE STUDY

katika halmashauri ya wilaya ya uyui mkoani tabora yenye jumla ya kata 31 zenye shule za secondary 31,waratibu elimu kata 31 wamepewa mikondo mikondo ya kusimamia na kuziba nafasi 31 za walimu wa darasani ambao engine walishiriki kabisa semina hawakupewa vituo vya kusimamia.

Hii imeleta malalamiko kwa walimu hai na sonona,ikumbukwe walimu hawana posho yoyote Ile lakini waratibu elimu wanna posho ya madaraka kwa mwezi karibu laki mbili,tunawaomba msitishe huu utaratibu kwasababu unashusha morali ya kazi Kwa walimu wa madarasani.

Yaani mwalimu anaitwa kwenye semina ya Baraza la mitihani na anashiriki halafu mwisho wa siku kituo hapewi na waratibu wanapewa kituo wakati hawafundishi madarasani,Hilo ni kosa la kimkakati!

Nimatumaini yangu kwamba NECTA mtalifanyia kazi hilo ili malalamiko hayo huko Halmashauri ya UYUI mtayafanyia kazi!!

Ikiwezekana pdf ya wasimamizi wakuu na wasimamizi wa mikondo itoke Baraza Moja kwa moja ,ili kuepuka magumashi na sarakasi kibao zinazofanywa kamati za mitihani wilayani na mikoani.

Afisa elimu mkoa wa tabora asimamie hilo ili kuondoa sintofahamu!

Naamini Baraza la mitihani ni taasisi makini haitoacha uozo huu uendelee kuliaibisha Baraza hili linalosifika Kwa uadilifu kwa miaka mingi

Nakala ikufikie katibu WA Baraza la mitihani Tanzania NECTA.

Mungu ibariki Tanzania,ibariki NECTA katika kutekeleza majukumu yake!
Unadhalilisha taaluma ya ualimu kwa uandishi wako mbovu. Hii ni aibu kwa tasnia ya elimu.
 
naona wadau wanatoa comments bila kutumia akili. hapa hoja siyo malipo bali ni muda uliopotezwa kwenye semina.

mimi siyo mwalimu lakini una hoja nzuri sana mkuu. haiwezekani mtu amepotezewa muda kwenye semina halafu hapewi kituo, anapewa mwingine ambaye hajaenda semina.
 
Back
Top Bottom