Nakumbuka baada ya kulipa 650,000 Tsh as administration fee, wazazi tulilipa tena 100,000 Tsh kama fedha ya usafiri. This I guess was OK!
Now juzi watoto wamelipishwa tena 48,000Tsh kama fedha ya usafiri! Kulikoni? Tunaomba maelezo au ni upigaji as usual bila uongzi wa chuo kujua...
Hapo zamani, JWTZ ilikuwa na uwezo mkubwa wa kukabiliana na vikosi vya Watutsi, wakiwemo wapiganaji wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda pamoja na Uganda. Rwanda yupo Kagame, Uganda yupo Museveni na pia Mtutsi.
Hata kama vikosi vilipokuwa vya Sadc, walipopata taarifa kuwa Tanzania ni sehemu ya...
Babati. Wanafunzi 40 wa shule za sekondari zilizopo katika eneo la Hifadhi ya Jamii ya Wanyamapori Burunge (Burunge WMA), wilayani Babati, Mkoa wa Manyara, wametakiwa kutumia elimu waliyoipata kuhusu uhifadhi na mabadiliko ya tabianchi kuelimisha jamii za vijijini.
Wanafunzi hao wametakiwa...
Ndugu zangu Watanzania salama? Kila ninapofuatilia mijadala ya kisiasa nchini kwetu, ninashangazwa sana na ukosefu wa hoja za msingi kuhusu namna ya kuendeleza Tanzania yetu na hatma yetu kama Taifa!
Sote tunakubaliana kwamba tunahitaji kuishi ktk Taifa linalofuata misingi ya utu na haki...
Ni wazi,
na sote ni mashuhuda wa ombwe la uongozi linaloonekana wazi kabisa kwenye taasisi hiyo ya kitaalamu Tanzania.
TLS imeacha misingi na malengo ya kuanzishwa kwake na kutumbukia kwenye mikono ya uongozi wa vibaka wa kisiasa na wanasiasa uchwara, ambao haijulikani wanafanya makusudi au...
TANZANIA imewataka Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi kuchukua hatua madhubuti na za pamoia kukabiliana na mabadiliko va tabianchi, uchafuzi wa bahari na matumizi yasiyd endelevu ya rasilimali za baharini.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad...
Kuna watu wanajiita (watabiri wa hali ya hewa) ukishajua maana ya utabiri/mtabiri basi utajua wale ni watu wa aina gani.
Dunia ya leo,ukiwa na makaratasi yaliyoandikwa (certificate) unaonekana ni msomi sana hata kama bado ujinga flan kichwani.
Kuna taarifa kuhusu el Nino kila kona ya dunia .na...
Nawaza tuu ,c unajua nimekunywa dawa za chenga chenga nahc usingizi
Ni wizara ipi unaona waziri wake haendani na kasi au nani yupo inje ya baraza sasa ni mda muafaka alejeshwe ...hii home work
Nakusanya kesho saaatatu asbh
Lakini mm siipend CCM
Twende kazi
1.
2.
Nchi Ina vichekesho vingi sana hivi inawezekanaje chama kimeweka ajenda ya mabadiliko ya katiba kwenye ilani yake ya uchaguzi alafu wakati huohuo makada wake wako bize kuipigia debe katiba iliyopo!?
Kwa nini wasifute tu kwenye ilani ili lijulikane Moja? Ni nani aliwalazimisha kuweka hicho...
Ikitokea katiba ikabadilika au katika mabadiliko machache machache ya ibara. Tusisahau uhuru wa kujitegemea kwa halmashauri katika mambo yake hasa mapato. Hii itapunguza upigaji katika serikali na kusaidia kupunguza nafsi za kazi zisizo na umuhim lakni pia mamlaka makubwa ya mtu mmoja...
TAARIFA KWA UMMA
MABADILIKO YA MUDA KATIKA UENDESHAJI WA TRENI ZA ABIRIA 26 AGOSTI 2026
Kutokana na changamoto za kiutendaji zinazotokana na kufungwa kwa muda kwa njia mbili za reli katika sehemu ya Kapwila-Msanza nchini Zambia na sehemu ya Mwakanga-Mzenga nchini Tanzania, mabadiliko yafuatayo...
Kwa hili linalotokea la nchimbi kujiuzulu mimi sina upande wa kutetea au kuponda sababu ukweli ni kwamba ccm wote wanafanana tabia na wanatumia playbook moja kwa hiyo huo ni uogomvi wa ndugu haina haja ya kuingilia na kuushabikia
Ccm ikiwa dhaifu kwa mda mrefu basi itakuwa ndo chachu ya...
Hii ofisi katika period ya Samia imetumika kihuni sana..saiv hata wakiona unaisema sana serikali wanakusingizia kosa wanalojua halidhaminiki ili ukae ndani uumie then utoke uwanyenyekee.
Siku kukifanyika madiliko nahisi kuanzia hapo DPP atakua anaenda ofisini na kwenda Shamba..
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji inaendelea kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro, mradi unaosimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), unaotekelezwa kwa gharama ya shilingi bilioni 335.
Mradi huu ni...
1961- 1967
Mtaala baada ya uhuru wa Tanzania. Hapa ulikua ni kutoa mifumo ya kikoloni na kuwekeza katika historia, utamaduni na Kiswahili kwa Tanzania na bara la Afrika kwa ujumla.
1967 -1987
Elimu ya kujitegemea
Hii ilijenga zana ya kuwa na shughuli mbalimbali za kilimo na ushirika katika...
Wafanyakazi wa Kampuni ya Namera Group of Industries (T) LTD kilichopo Gongolamboto, Dar es Salaam wamefanya mgomo na kukusanyika nje ya kiwanda hicho wakilalamikia hatua ya mwajiri wao kubadilisha jina la kampuni hiyo bila kuwalipa stahiki zao na kuvunja mikataba yao ya awali.
Wafanyakazi hao...
Je,
Wamepotoka au kughafilika, na kwahivyo ni busara waungamishwe na kutubu mbele ya waTanzania?
Unadhani mihemko yao, matusi yao, uropokaji wao, uongo wao na uzushi wao dhidi ya wenye mawazo au maoni tofauti na yao, vinawatambulisha kua ni watu wa aina gani Tanzania? Wanaweza kua wametumwa na...
Inawezekana vipi mabadiliko ya kisiasa Tanzania kutokea kabla ya muundo wa muungano kushugulikiwa?
Kwa tabaka tawala na state machinery suala la muungano ni kufa na kupona, kwao haiyumkiniki muungano kuvunjika kwa hiyo hata kama wangekuwa wanademokrasia vya kutosha wakubali ushindi wa upinzani...
Baraza la Seneti limegundua yafuatayo:
Tanzania ni nchi inayoendelea kugandamiza, uhuru wa demokrasia, uhuru wa wanaharakati, uhuru wa watu wake na uhuru wa dini
Tanzania inatishia maslahi ya Marekani ya uwekezaji.
Baada ya uchaguzi na mauaji ya oktoba 29, bado Tanzania inaendelea kuteka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.