Full Text: Mabadiliko ya Muswada wa Senate ya Marekani kuhusu Tanzania ni wa moto zaidi

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Baraza la Seneti limegundua yafuatayo:

Tanzania ni nchi inayoendelea kugandamiza, uhuru wa demokrasia, uhuru wa wanaharakati, uhuru wa watu wake na uhuru wa dini

Tanzania inatishia maslahi ya Marekani ya uwekezaji.

Baada ya uchaguzi na mauaji ya oktoba 29, bado Tanzania inaendelea kuteka mfano, Balozi Humphrey Polepole.

Tanzania bado inaendelea kumshikilia Mkiti wa Chadema Tundu Lissu kwa mashtaka ya uhaini, na kuwatisha viongozi wengine akiwemo M/Mkiti wa Chadema John Heche.

Tanzania imezuia uhuru wa dini na kuyafungia baadhi ya makanisa ya kikiristo.

Siku na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, vyombo vya ulinzi viliua maelfu ya waandamanaji.

Mapendekezo ya Vikwazo.

1. Viongozi wote wa Chama Cha Mapinduzi, na wa Serikali waliohusika.
2. Watumishi wa serikali, viongozi wa majeshi waliohusika, watumishi wa Tume ya uchaguzi.
3. Wote waliohusika na kuzima mawasiliano (Internet) wakati wa mauaji ya oktoba 29.
4. Yeyote aliyehusika kunyanyasa dini na viongozi wa dini na waliohusika kufungia makanisa.
5. Vikwazo vitaanza kutekelezwa siku 30 hadi 180 baada ya mswada huu kuwa sheria.

6. Inaendelea......

Vikwazo havitahusisha,

1. Misaada ya kibinadamu.
2. Misaada ya Afya na
3. Misaada ya maendeleo ya demokrasia, haki za binadamu, utawala bora, mashirika ya kijamii.

Wanaosema mswaada umelegeza masharti hizo ni propaganda wapuuzeni.

Link ya amendment hii hapa https://foreign.senate.gov/imo/medi...-a0fd-cdbd622fdecf.pdf?utm_source=chatgpt.com

HKp3UirWsAATBFu.jpeg
HKp3UiGWsAA5RW7.jpeg
HKp3UoqWsAAp6G2.jpeg
HKp3Uo1W8AADwTs.jpeg
 
Baraza la Seneti limegundua yafuatayo:

Tanzania ni nchi inayoendelea kugandamiza, uhuru wa demokrasia, uhuru wa wanaharakati, uhuru wa watu wake na uhuru wa dini

Tanzania inatishia maslahi ya Marekani ya uwekezaji.

Baada ya uchaguzi na mauaji ya oktoba 29, bado Tanzania inaendelea kuteka mfano, Balozi Humphrey Polepole.

Tanzania bado inaendelea kumshikilia Mkiti wa Chadema Tundu Lissu kwa mashtaka ya uhaini, na kuwatisha viongozi wengine akiwemo M/mkiti John Heche.

Tanzania imezuia uhuru wa dini na kuyafungia baadhi ya makanisa ya kikiristo.

Siku na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, vyombo vya ulinzi viliua maelfu ya waandamanaji.

Mapendekezo ya Vikwazo.

1. Viongozi wote wa Chama Cha Mapinduzi, na wa Serikali waliohusika.
2. Inaendelea......

Wamaosema mswaada umelegeza masharti hizo ni propaganda wapuuzeni

Link haifunguki
 
Baraza la Seneti limegundua yafuatayo:

Tanzania ni nchi inayoendelea kugandamiza, uhuru wa demokrasia, uhuru wa wanaharakati, uhuru wa watu wake na uhuru wa dini

Tanzania inatishia maslahi ya Marekani ya uwekezaji.

Baada ya uchaguzi na mauaji ya oktoba 29, bado Tanzania inaendelea kuteka mfano, Balozi Humphrey Polepole.

Tanzania bado inaendelea kumshikilia Mkiti wa Chadema Tundu Lissu kwa mashtaka ya uhaini, na kuwatisha viongozi wengine akiwemo M/Mkiti wa Chadema John Heche.

Tanzania imezuia uhuru wa dini na kuyafungia baadhi ya makanisa ya kikiristo.

Siku na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, vyombo vya ulinzi viliua maelfu ya waandamanaji.

Mapendekezo ya Vikwazo.

1. Viongozi wote wa Chama Cha Mapinduzi, na wa Serikali waliohusika.
2. Inaendelea......

Wanaosema mswaada umelegeza masharti hizo ni propaganda wapuuzeni.

Link ya amendment hii hapa https://foreign.senate.gov/imo/medi...-a0fd-cdbd622fdecf.pdf?utm_source=chatgpt.com

View attachment 3606824View attachment 3606822View attachment 3606823View attachment 3606825
Iwe kwa nini wanawafanyia hivi
 
Kimewaka tena?
 
Like shoqa linajiita abdul nani sijui likikuja huku asubuhi asubuhi likikata mauno kuwa mabasher wake wamelegezewa kamba, kumbe kimombo kilimchoropoka, hakuelewa lolote, liko sawa tu na Lucas Mwashambwa hayajui lolote, kazi kutingisha Makebo tu
Braza unajua unaharibu ubora wa jukwaa hili? Kwani huwezi kutoa maoni yako bila kutukana wala kutweza heshima ya mtu?
 
Back
Top Bottom