Full Text: Mabadiliko ya Muswada wa Senate ya Marekani kuhusu Tanzania ni wa moto zaidi

Full Text: Mabadiliko ya Muswada wa Senate ya Marekani kuhusu Tanzania ni wa moto zaidi

Analeta siasa kwenye diplomasia, anaongea upuuzi mtupu kwenye vyombo vya kimataifa. Sasa naomba tu chura kiziwi na genge lake kabla ya kusoma mswada ambao unafadhiliwa na Ted Cruz na Jeanne Shaheen wasome historia zao. Hao ni ranking members. Pia wana career history inayoeleweka sana.

Kitu kimoja marekani hawezi kukiweka kwenye muswada ni swala la usalama, lazima ataendelea kushirikiana na Tanzania kwenye swala hilo hili aendelee kuchukua data za jeshi la tanzania na nchi kwa ujumla na nchi jirani. Ndo maana hawahitaji ushahidi toka kwetu bali wanao. Wanaijua sana Tanzania ni kwa sababu tunashirikiana nao kijeshi. Ata wakitaka leo kukamata kale kamama ni muda mfupi tu. Kosa la kutoshirikiana kijeshi marekani hawezi lifanya. Pia kushirikiana na marekani kijeshi ni kwa faida ya raia.

Kulingana na robbyings zinazofanyika za watanzania mbalimbali, huu mswada utapita, kwa sababu karibu kila jimbo kuna watanzania wanao ishi humo na wao ni wapiga kura na wana access na hao jamaa. Kila mtu kwa uwezo wake ana jaribu influence respectively. As soon as ukipita sehemu zone, mzee wa mawigi atausahini kwa mikogo kama yote. Overall, hii kitu hakuna wa kuzuia. Ukipita tu utasikia, UK nayo inatema cheche na EU nayo inaongeza pilipili kali.
Acha kutoa tafsiri ya pumba as if wengine hatujui kusoma. Kwanza "robbyings" ni lugha gani? Kama huwezi kutofautisha "lobbying" na "robbying" huwezi pia kuwa na uwezo wa kutafsiri status ya hiyo miswaada. Bora ukae kimya ili tusijue umbumbumbu wako
 
Ndo ulichoona, umekariri
 
Kuzuia misaada ya kisusalama haina maana yoyote, maana ni kwa faida ya raia, waondoe tu. Sisi tunataka wale wapuuzi waliohusika wawe targeted, na muswada bado unao. eg.TPDF waliohusika, Polisi Tanzania waliohusika, CCM senior leaders ect.
Marekani hawafikiri kama wewe unavyofikiri, lile ni taifa linaangalia masilahi ya muda mrefu. Wanaharakati mnahangaika na na kudanganyana sana kwenye mitandao.
 
Marekani hawafikiri kama wewe unavyofikiri, lile ni taifa linaangalia masilahi ya muda mrefu. Wanaharakati mnagangaika na na kudanganyana sana kwenye mitandao.
Umeanza kuleta utumbo, una hasira kama mgonjwa wa kisukari. Wewe unaweza kuwa polisi uliyeua ndugu zetu au unafaidika na mfumo.
 
Tafsiri yake hii hapa:-

Uchambuzi: Hii Ina Maana Gani kwa Tanzania?

Habari Njema kwa Vyombo vya Ulinzi

1.(Misaada ya Kiusalama Imerudishwa): Kwenye muswada mpya, wamefuta (wameondoa) kipengele cha kuzuia misaada ya kiusalama (Security Assistance). Hii ina maana kwamba ushirikiano wa kijeshi, mafunzo ya kigaidi, na usalama wa kikanda kati ya Marekani na vyombo vya ulinzi vya Tanzania hautaguswa au kuwekewa vikwazo. Marekani inaona usalama wa ukanda wa Afrika Mashariki ni muhimu zaidi kuliko siasa.

2.Vikwazo vya Kiuchumi na Biashara Vimebaki palepale:

Vikwazo bado vinalenga taasisi za kifedha na kibiashara za Marekani (DFC, EXIM Bank, na USTDA). Mashirika haya ndiyo yanayofadhili miradi mikubwa ya miundombinu, nishati, na biashara za sekta binafsi. Hivyo basi, uwekezaji wa kibiashara bado upo hatarini kupungua kama muswada huu utapita kuwa sheria kamili.

Huu ni uthibitisho kwamba diplomasia ya nyuma ya pazia inaendelea, na Marekani imeanza kulegeza baadhi ya vifungu vikali (kama vile vya usalama) ili kulinda maslahi yake ya kiulinzi barani Afrika.

Msimdharau Kabudi, Kombo na Nyalandu
Hakuna mtu naye query misaada ya ulinzi tatizo ni vikwazo kwa wahusika na viongozi wa CCM a serikali.
 
Hakuna mtu naye query misaada ya ulinzi tatizo ni vikwazo kwa wahusika na viongozi wa CCM a serikali.
Achana naye huyoi
Marekani hawafikiri kama wewe unavyofikiri, lile ni taifa linaangalia masilahi ya muda mrefu. Wanaharakati mnagangaika na na kudanganyana sana kwenye mitandao.
Shida ya CCM na serikali yake kila asiye kubaliana nao ni mwanaharakati, mwaka huu lazima mpate Hypertension. Mlipokua mnauwa watu hamkujua kwamba kuna matokeo hasi. Zamu yenu sasa
 
Hakuna mtu naye query misaada ya ulinzi tatizo ni vikwazo kwa wahusika na viongozi wa CCM a serikali.
Wahusika ukute hawajawahi kusafiri kwenda USA toka wazaliwe na sasa hivi wana umri wa miaka 63 kama alivyo Muliro
 
Achana naye huyoi

Shida ya CCM na serikali yake kila asiye kubaliana nao ni mwanaharakati, mwaka huu lazima mpate Hypertension. Mlipokua mnauwa watu hamkujua kwamba kuna matokeo hasi. Zamu yenu sasa
Mimi nina B English ya O-Level 1978 na C ya Literature A-Level 1981. Nakuwekea summary ya status ya huo muswada hapa kwa lugha nyepesi:

Maseneta Jeanne Shaheen na Ted Cruz waliwasilisha muswada huo mnamo mwezi Mei 2027 baada ya uchaguzi wa Tanzania wa Oktoba 2025 uliogubikwa na mizozo, wakitaja ukandamizaji wa maandamano, utekaji nyara, mauaji, na mnyanyaso wa kidini. Toleo lililofanyiwa marekebisho, ambalo limepangiwa kufanyiwa mapitio na kamati mnamo Juni 17, 2016 linakata tu ufadhili wa maendeleo kutoka kwa mashirika kama vile Shirika la Marekani la Ufadhili wa Maendeleo ya Kimataifa (U.S. International Development Finance Corporation) lakini linadumisha misaada ya kiusalama na kuongeza kipengele cha msamaha kwa maslahi ya kitaifa
 
Traditional education ndo shida hiyo, mnachojua ni grades za C&B, no critical thinking kabisa. Najua wala sihitaji summary uchwara. Hiyo si summary, ni misitari umenakiri wewe. Hii ikiwa summary basi ni hatari. Hapo sasa ndo Kibaki alikuwa anasema mavi ya kuku kabisa.
 
Hivi vikwazo ni vya Tanganyika
zenji wanakula bata tu

kazi kweri kweri!
 
Analeta siasa kwenye diplomasia, anaongea upuuzi mtupu kwenye vyombo vya kimataifa. Sasa naomba tu chura kiziwi na genge lake kabla ya kusoma mswada ambao unafadhiliwa na Ted Cruz na Jeanne Shaheen wasome historia zao. Hao ni ranking members. Pia wana career history inayoeleweka sana.

Kitu kimoja marekani hawezi kukiweka kwenye muswada ni swala la usalama, lazima ataendelea kushirikiana na Tanzania kwenye swala hilo hili aendelee kuchukua data za jeshi la tanzania na nchi kwa ujumla na nchi jirani. Ndo maana hawahitaji ushahidi toka kwetu bali wanao. Wanaijua sana Tanzania ni kwa sababu tunashirikiana nao kijeshi. Ata wakitaka leo kukamata kale kamama ni muda mfupi tu. Kosa la kutoshirikiana kijeshi marekani hawezi lifanya. Pia kushirikiana na marekani kijeshi ni kwa faida ya raia.

Kulingana na lobbying zinazofanyika za watanzania mbalimbali, huu mswada utapita, kwa sababu karibu kila jimbo kuna watanzania wanao ishi humo na wao ni wapiga kura na wana access na hao jamaa. Kila mtu kwa uwezo wake ana jaribu influence respectively. As soon as ukipita sehemu zone, mzee wa mawigi atausahini kwa mikogo kama yote. Overall, hii kitu hakuna wa kuzuia. Ukipita tu utasikia, UK nayo inatema cheche na EU nayo inaongeza pilipili kali.

Mbinyo pressure unahisiwa kuanzia ikulu ya Tunguu, bunge la Dodoma na wateuliwa wa Samia kuwa mwisho wa maovu waliyotenda kabla, wakati na baada ya 29 Oktoba 2025 utawabana kule The ICC The Hague Uholanzi. Akaunti za mabenki yao, viza za kusafiri, makaazi yao Dubai, New York, Cape Town, Abu Dhabi n.k
 
Mnaweza kujazana ujinga humu, lakini mkienda kwa wazungu mjue dakika moja tu wanaweza wapima.

Not long ago binafsi niliwaambia humu private members bills ambazo zinaingilia national foreign policies uwa azichomoki. Ndio maana hata hii key issues za national diplomacy washazichomoa.

That’s not the main issue, somo hapa ni Lissu akitoka huko halipo ni kuacha kusikiliza mataahira wa mitandaoni ndio wiomfikisha halipo.

95% ya wachangiaji wa hili jukwaa na wanaharakati hawajawai kusoma hata kitabu cha siasa. Haya mambo yana kanuni sio rahisi vile.
 
Vikwazo visiwe kuingia tu Marekani,hawa ni wa kusukumwa ICC halafu wajumbe wa ile tume nao wajumlishwe huko!!
 
Marekani hawafikiri kama wewe unavyofikiri, lile ni taifa linaangalia masilahi ya muda mrefu. Wanaharakati mnahangaika na na kudanganyana sana kwenye mitandao.
Katika yote suala la kuhatarishwa maslahi ya uwekezaji wake ndio la msingi na linalowafanya Marekani watake kuchukua hatua dhidi ya nchi yoyote ile.

Maslahi yao yakihakikishwa hakuna cha haki za binadamu, utawala bora wala inayoitwa demokrasia. Watapiga kimya na kufumbia macho kama hawaoni vile na kuwaachia wenyewe mtatue changamoto zenu za ndani. Kumbuka issue ya mwandishi Jamal Kosugi aliyeuwawa ndani ya Ubalozi wa Saudia pale Instambul Turkiye
 
Maslahi gani unayoongelea ni kitu gani ambacho USA akikitaka apa tanzania mtamnyima? Nchi ilivyojaa Rushwa hii kila kona.. Tanzania na kenya ni nchi za kimkakati kwa africa mashariki kwa USA ..ndio mahana uwezi sikia mambo ya ugaidi wala vita za ajabu
 
Baraza la Seneti limegundua yafuatayo:

Tanzania ni nchi inayoendelea kugandamiza, uhuru wa demokrasia, uhuru wa wanaharakati, uhuru wa watu wake na uhuru wa dini

Tanzania inatishia maslahi ya Marekani ya uwekezaji.

Baada ya uchaguzi na mauaji ya oktoba 29, bado Tanzania inaendelea kuteka mfano, Balozi Humphrey Polepole.

Tanzania bado inaendelea kumshikilia Mkiti wa Chadema Tundu Lissu kwa mashtaka ya uhaini, na kuwatisha viongozi wengine akiwemo M/Mkiti wa Chadema John Heche.

Tanzania imezuia uhuru wa dini na kuyafungia baadhi ya makanisa ya kikiristo.

Siku na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, vyombo vya ulinzi viliua maelfu ya waandamanaji.

Mapendekezo ya Vikwazo.

1. Viongozi wote wa Chama Cha Mapinduzi, na wa Serikali waliohusika.
2. Watumishi wa serikali, viongozi wa majeshi waliohusika, watumishi wa Tume ya uchaguzi.
3. Wote waliohusika na kuzima mawasiliano (Internet) wakati wa mauaji ya oktoba 29.
4. Yeyote aliyehusika kunyanyasa dini na viongozi wa dini na waliohusika kufungia makanisa.
5. Vikwazo vitaanza kutekelezwa siku 30 hadi 180 baada ya mswada huu kuwa sheria.

6. Inaendelea......

Vikwazo havitahusisha,

1. Misaada ya kibinadamu.
2. Misaada ya Afya na
3. Misaada ya maendeleo ya demokrasia, haki za binadamu, utawala bora, mashirika ya kijamii.

Wanaosema mswaada umelegeza masharti hizo ni propaganda wapuuzeni.

Link ya amendment hii hapa https://foreign.senate.gov/imo/medi...-a0fd-cdbd622fdecf.pdf?utm_source=chatgpt.com

View attachment 3606824View attachment 3606822View attachment 3606823View attachment 3606825
Vikwazo kwa watanzania masikini Wala haviwagusi viongozi wa ccm hata kidogo..
 
Back
Top Bottom