figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Inafunguka.. Weka bando halafu ujaribu tenaLink haifunguki

Baraza la Seneti limegundua yafuatayo:
Tanzania ni nchi inayoendelea kugandamiza, uhuru wa demokrasia, uhuru wa wanaharakati, uhuru wa watu wake na uhuru wa dini
Tanzania inatishia maslahi ya Marekani ya uwekezaji.
Baada ya uchaguzi na mauaji ya oktoba 29, bado Tanzania inaendelea kuteka mfano, Balozi Humphrey Polepole.
Tanzania bado inaendelea kumshikilia Mkiti wa Chadema Tundu Lissu kwa mashtaka ya uhaini, na kuwatisha viongozi wengine akiwemo M/Mkiti wa Chadema John Heche.
Tanzania imezuia uhuru wa dini na kuyafungia baadhi ya makanisa ya kikiristo.
Siku na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, vyombo vya ulinzi viliua maelfu ya waandamanaji.
Mapendekezo ya Vikwazo.
1. Viongozi wote wa Chama Cha Mapinduzi, na wa Serikali waliohusika.
2. Watumishi wa serikali, viongozi wa majeshi waliohusika, watumishi wa Tume ya uchaguzi.
3. Wote waliohusika na kuzima mawasiliano (Internet) wakati wa mauaji ya oktoba 29.
4. Yeyote aliyehusika kunyanyasa dini na viongozi wa dini na waliohusika kufungia makanisa.
5. Vikwazo vitaanza kutekelezwa siku 30 hadi 180 baada ya mswada huu kuwa sheria.
6. Inaendelea......
Vikwazo havitahusisha,
1. Misaada ya kibinadamu.
2. Misaada ya Afya na
3. Misaada ya maendeleo ya demokrasia, haki za binadamu, utawala bora, mashirika ya kijamii.
Wanaosema mswaada umelegeza masharti hizo ni propaganda wapuuzeni.
Link ya amendment hii hapa https://foreign.senate.gov/imo/medi...-a0fd-cdbd622fdecf.pdf?utm_source=chatgpt.com
View attachment 3606824View attachment 3606822View attachment 3606823View attachment 3606825
| Sen. Shaheen, Jeanne [D-NH] (Introduced 05/19/2026) | |
| Senate - Foreign Relations | |
| 06/17/26 10:00AM | |
| Senate - 05/19/2026 Read twice and referred to the Committee on Foreign Relations. (All Actions) | |
Tracker: Tip | This bill has the status Introduced Here are the steps for Status of Legislation:
|
Baraza la Seneti limegundua yafuatayo:
Tanzania ni nchi inayoendelea kugandamiza, uhuru wa demokrasia, uhuru wa wanaharakati, uhuru wa watu wake na uhuru wa dini
Tanzania inatishia maslahi ya Marekani ya uwekezaji.
Baada ya uchaguzi na mauaji ya oktoba 29, bado Tanzania inaendelea kuteka mfano, Balozi Humphrey Polepole.
Tanzania bado inaendelea kumshikilia Mkiti wa Chadema Tundu Lissu kwa mashtaka ya uhaini, na kuwatisha viongozi wengine akiwemo M/Mkiti wa Chadema John Heche.
Tanzania imezuia uhuru wa dini na kuyafungia baadhi ya makanisa ya kikiristo.
Siku na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, vyombo vya ulinzi viliua maelfu ya waandamanaji.
Mapendekezo ya Vikwazo.
1. Viongozi wote wa Chama Cha Mapinduzi, na wa Serikali waliohusika.
2. Watumishi wa serikali, viongozi wa majeshi waliohusika, watumishi wa Tume ya uchaguzi.
3. Wote waliohusika na kuzima mawasiliano (Internet) wakati wa mauaji ya oktoba 29.
4. Yeyote aliyehusika kunyanyasa dini na viongozi wa dini na waliohusika kufungia makanisa.
5. Vikwazo vitaanza kutekelezwa siku 30 hadi 180 baada ya mswada huu kuwa sheria.
6. Inaendelea......
Vikwazo havitahusisha,
1. Misaada ya kibinadamu.
2. Misaada ya Afya na
3. Misaada ya maendeleo ya demokrasia, haki za binadamu, utawala bora, mashirika ya kijamii.
Wanaosema mswaada umelegeza masharti hizo ni propaganda wapuuzeni.
Link ya amendment hii hapa https://foreign.senate.gov/imo/medi...-a0fd-cdbd622fdecf.pdf?utm_source=chatgpt.com
View attachment 3606824View attachment 3606822View attachment 3606823View attachment 3606825
Huyu Nyalandu; ni wakati sahihi wa kumwangazia mwanga kuhusu uhusika wake katika kuendelea maovu ili mradi tu ajinufaisheKisha wanatuma viongozi wao kina Nyalandu kwenda kuwadanganya wazungu, wanadhani wazungu ni wajinga kama wao.
Nyalandu anaaminika na watawala kwasababu anaonekana ana connection na wazungu, naamini wazo la kunteua mshauri lilitoka kwa Kikwete.Huyu Nyalandu; ni wakati sahihi wa kumwangazia mwanga kuhusu uhusika wake katika kuendelea maovu ili mradi tu ajinufaishe
Kwa hiyo huyu ndiye msaidizi mkuu wa Kabuti Kalamakande?
Wale 'lobbyist' waliopewa kazi imewashinda, Nyarandu ataiweza?Nyalandu anaaminika na watawala kwasababu anaonekana ana connection na wazungu, naamini wazo la kunteua mshauri lilitoka kwa Kikwete.
Ni opportunist tu, ndio maana hata wakipewa uwaziri lazima waondoke na kashfa za upigaji... kundi la kina KigwaWale 'lobbyist' waliopewa kazi imewashinda, Nyarandu ataiweza?
Mbali ya kusoma huko kidigrii chake hana ''connection' nyingine yoyote ya maana sana zaidi ya ile aliyowahi kuitumia wakati huo wa Kikwete.
Huyu ni sampuli halisi ya 'opportunists' ambao wamejazana huko CCM.
Wenzetu kwenye mambo ya Sheria hawana masihara, jamaa akisaini Tu Utekelezaji ni 100%Baraza la Seneti limegundua yafuatayo:
Tanzania ni nchi inayoendelea kugandamiza, uhuru wa demokrasia, uhuru wa wanaharakati, uhuru wa watu wake na uhuru wa dini
Tanzania inatishia maslahi ya Marekani ya uwekezaji.
Baada ya uchaguzi na mauaji ya oktoba 29, bado Tanzania inaendelea kuteka mfano, Balozi Humphrey Polepole.
Tanzania bado inaendelea kumshikilia Mkiti wa Chadema Tundu Lissu kwa mashtaka ya uhaini, na kuwatisha viongozi wengine akiwemo M/Mkiti wa Chadema John Heche.
Tanzania imezuia uhuru wa dini na kuyafungia baadhi ya makanisa ya kikiristo.
Siku na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, vyombo vya ulinzi viliua maelfu ya waandamanaji.
Mapendekezo ya Vikwazo.
1. Viongozi wote wa Chama Cha Mapinduzi, na wa Serikali waliohusika.
2. Watumishi wa serikali, viongozi wa majeshi waliohusika, watumishi wa Tume ya uchaguzi.
3. Wote waliohusika na kuzima mawasiliano (Internet) wakati wa mauaji ya oktoba 29.
4. Yeyote aliyehusika kunyanyasa dini na viongozi wa dini na waliohusika kufungia makanisa.
5. Vikwazo vitaanza kutekelezwa siku 30 hadi 180 baada ya mswada huu kuwa sheria.
6. Inaendelea......
Vikwazo havitahusisha,
1. Misaada ya kibinadamu.
2. Misaada ya Afya na
3. Misaada ya maendeleo ya demokrasia, haki za binadamu, utawala bora, mashirika ya kijamii.
Wanaosema mswaada umelegeza masharti hizo ni propaganda wapuuzeni.
Link ya amendment hii hapa https://foreign.senate.gov/imo/medi...-a0fd-cdbd622fdecf.pdf?utm_source=chatgpt.com
View attachment 3606824View attachment 3606822View attachment 3606823View attachment 3606825
Nyalandu anaaminika na watawala kwasababu anaonekana ana connection na wazungu, naamini wazo la kunteua mshauri lilitoka kwa Kikwete.
Nyalandu kafanyaje?Nyarandu hana capacity ya kutatua matatizo ya kidplomasia yaliyopo kwa sasa. Anazidi kujiondolea uaminifu aliokuwa nao kwa wazungu. Nilimsikiliza skynews, nikaona ni hopeless kabisa.
Hapo kwenye security assistance jamaa wanajambo lao wameshalipanga
Analeta siasa kwenye diplomasia, anaongea upuuzi mtupu kwenye vyombo vya kimataifa. Sasa naomba tu chura kiziwi na genge lake kabla ya kusoma mswada ambao unafadhiliwa na Ted Cruz na Jeanne Shaheen wasome historia zao. Hao ni ranking members. Pia wana career history inayoeleweka sana.Nyalandu kafanyaje?
Tafsiri yake hii hapa:-
Uchambuzi: Hii Ina Maana Gani kwa Tanzania?
Habari Njema kwa Vyombo vya Ulinzi
1.(Misaada ya Kiusalama Imerudishwa): Kwenye muswada mpya, wamefuta (wameondoa) kipengele cha kuzuia misaada ya kiusalama (Security Assistance). Hii ina maana kwamba ushirikiano wa kijeshi, mafunzo ya kigaidi, na usalama wa kikanda kati ya Marekani na vyombo vya ulinzi vya Tanzania hautaguswa au kuwekewa vikwazo. Marekani inaona usalama wa ukanda wa Afrika Mashariki ni muhimu zaidi kuliko siasa.
2.Vikwazo vya Kiuchumi na Biashara Vimebaki palepale:
Vikwazo bado vinalenga taasisi za kifedha na kibiashara za Marekani (DFC, EXIM Bank, na USTDA). Mashirika haya ndiyo yanayofadhili miradi mikubwa ya miundombinu, nishati, na biashara za sekta binafsi. Hivyo basi, uwekezaji wa kibiashara bado upo hatarini kupungua kama muswada huu utapita kuwa sheria kamili.
Huu ni uthibitisho kwamba diplomasia ya nyuma ya pazia inaendelea, na Marekani imeanza kulegeza baadhi ya vifungu vikali (kama vile vya usalama) ili kulinda maslahi yake ya kiulinzi barani Afrika.
Msimdharau Kabudi, Kombo na Nyalandu