Nchi yetu inahitaji Mabadiliko kweli, lakini Nani wakuleta hayo Mabadiliko?

Jack Daniel

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
4,951
Reaction score
19,766
Nawasalimia wanabodi.

Inatia hasira,
Inakera,

Yaani hakuna watu nawachukia kama Wanaharakati uchwara wa hii nchi,hakuna watu nawachukia kama hawa.

Mwanzo nilikuwa nawaona ni watu wa maana,lakini kwasasa nimewapuuza mpaka basi ni wajinga na ni hatari Kwa usalama wa nchi.

Wengi wapo abroad halafu wananufaika na machafuko huku watoto wa kitanzania watoto wa masikini wakiozea kwenye kuta za magereza huku wengine wakipoteza maisha.

Ukweli ni kwamba ,
Augustine Mrema alikuwa na lengo la kuleta Mabadiliko,

Hali kadhalika Wilbroad Silaa,
Ukiondoa Ibrahim lipumba na CUF yake,waliobaki wote ni madalali na matapeli wa kisiasa ambao wapo kwaajili ya familia zao ,wanamiliki biashara na miradi mikubwa huku wakijifanya wazalendo wapigania haki na wanademokrasia,kumbe wanawatumia vijana kama mitaji ya kupata pesa chafu na haramu kutoka ng'ambo.

Huwa nazurula mitaa ya Twitter nakutana na watu ambao Wana midomo michafu na hawana hoja za msingi ,Hadi unajiuliza yaani hawa watoto wa Kiswahili, ndiyo wapewe nchi?

Kataa vurugu,
Kataa ujinga,
Linda Amani ya nchi.
 
My friends, ladies and gentlemen,
Kwa maoni yangu na kwa heshma ya wadau wote wa JF,

Nadhani ni Chama Cha Mapinduzi CCM, pekee ndio chombo cha cha wananchi kilicholeta mabadiliko na uhuru katika taifa letu, na bado kinaendelea kuleta mabadiliko makubwa zaidi ya kiuchumi, kisiasa na kijamii nchini Tanzania kwa maslahi mapana ya taifa na waTanzania wote.

Kinyume na hapo ni kupoteza wakati na kudanganyana tu 🐒
 
Kinyume na hapo ni kupoteza wakati na kudanganyana tu 📌
 
Nawasalimia wanabodi.

Inatia hasira,
Inakera,

Yaani hakuna watu nawachukia kama Wanaharakati uchwara wa hii nchi,hakuna watu nawachukia kama hawa.

Mwanzo nilikuwa nawaona ni watu wa maana,lakini kwasasa nimewapuuza mpaka basi ni wajinga na ni hatari Kwa usalama wa nchi.

Wengi wapo abroad halafu wananufaika na machafuko huku watoto wa kitanzania watoto wa masikini wakiozea kwenye kuta za magereza huku wengine wakipoteza maisha.

Ukweli ni kwamba ,
Augustine Mrema alikuwa na lengo la kuleta Mabadiliko,

Hali kadhalika Wilbroad Silaa,
Ukiondoa Ibrahim lipumba na CUF yake,waliobaki wote ni madalali na matapeli wa kisiasa ambao wapo kwaajili ya familia zao ,wanamiliki biashara na miradi mikubwa huku wakijifanya wazalendo wapigania haki na wanademokrasia,kumbe wanawatumia vijana kama mitaji ya kupata pesa chafu na haramu kutoka ng'ambo.

Huwa nazurula mitaa ya Twitter nakutana na watu ambao Wana midomo michafu na hawana hoja za msingi ,Hadi unajiuliza yaani hawa watoto wa Kiswahili, ndiyo wapewe nchi?

Kataa vurugu,
Kataa ujinga,
Linda Amani ya nchi.
Ndo unajua leo!
Umechelewa sana mkuu.
 
Mbwa takataka
 
Tatizo ni nani atamfunga paka kengele tena shingoni?
 
Mimi hapa. Nina chama changu hicho nakianzisha ni balaa mjini. 2028 ukiona chama kipya ujue ni changu.

Sitanii.

Mtu nitayemsajili upinzani atakuwa Lissu tu. Machadema mengine yakafie mbele!
 
Ungewasilisha hii mada bila ya chuki kali - misimamo mkali, ningesandika kitu.

Chuki ni makao ya shetani
Chuki ipi,
Hivi unaijua chuki ya wapinzani ilivyo dhidi ya serikali
 
,Hadi unajiuliza yaani hawa watoto wa Kiswahili, ndiyo wapewe nchi?

Unajiuliza kama hawa Waswahili ndio wapewe nchi.

Wapewe na nani ???

Nani hao ambao wao ndio wenye mamlaka ya kugawa nchi kwa anaefaa ???

Unaona jinsi ulivyo na uelewa finyu na mbovu kuhusu mapokezano ya tawala ???

Kwani nani ndo huwa yeye anagawa nchi ???

You are a total meathead.
 
Kinyume na hapo ni kupoteza wakati na kudanganyana tu 📌
Hahahaaaa,kamata mwizi!Mistari miwili tu rangi Yako ya kijani imeonekana!
Huna jipya,wewe ni walewale mnaokula pamoja na Watekaji,Wauaji na wabambikizi wa kesi!
 
Nawasalimia wanabodi.

Inatia hasira,
Inakera,

Yaani hakuna watu nawachukia kama Wanaharakati uchwara wa hii nchi,hakuna watu nawachukia kama hawa.

Mwanzo nilikuwa nawaona ni watu wa maana,lakini kwasasa nimewapuuza mpaka basi ni wajinga na ni hatari Kwa usalama wa nchi.

Wengi wapo abroad halafu wananufaika na machafuko huku watoto wa kitanzania watoto wa masikini wakiozea kwenye kuta za magereza huku wengine wakipoteza maisha.

Ukweli ni kwamba ,
Augustine Mrema alikuwa na lengo la kuleta Mabadiliko,

Hali kadhalika Wilbroad Silaa,
Ukiondoa Ibrahim lipumba na CUF yake,waliobaki wote ni madalali na matapeli wa kisiasa ambao wapo kwaajili ya familia zao ,wanamiliki biashara na miradi mikubwa huku wakijifanya wazalendo wapigania haki na wanademokrasia,kumbe wanawatumia vijana kama mitaji ya kupata pesa chafu na haramu kutoka ng'ambo.

Huwa nazurula mitaa ya Twitter nakutana na watu ambao Wana midomo michafu na hawana hoja za msingi ,Hadi unajiuliza yaani hawa watoto wa Kiswahili, ndiyo wapewe nchi?

Kataa vurugu,
Kataa ujinga,
Linda Amani ya nchi.
Hatimaye utafutaji halali umekushinda umeona ujaribu bahati yako kwenye uchawa🤣🤣🤣 kituo kinachofuata ushoga! Tupo hapa mtakuja kunambia
 
Back
Top Bottom