Nchi yetu inahitaji Mabadiliko kweli, lakini Nani wakuleta hayo Mabadiliko?

Nchi yetu inahitaji Mabadiliko kweli, lakini Nani wakuleta hayo Mabadiliko?

Chuki ipi,
Hivi unaijua chuki ya wapinzani ilivyo dhidi ya serikali
Ushachagua upande tayari!Kwani unaijua chuki ya serikali dhidi ya wapinzani!Kuwabambika kesi,kuwateka na kuwaua!Kuna chuki zaidi ya hiyo?
Huyo Slaa unayezuga kumkubali,unajua amepitia mangapi chini ya serikali hii ya CCM!
 
We ndugu yetu, ni mabadiliko gani unaona nchi yetu inahitaji?
 
Nawasalimia wanabodi.

Inatia hasira,
Inakera,

Yaani hakuna watu nawachukia kama Wanaharakati uchwara wa hii nchi,hakuna watu nawachukia kama hawa.

Mwanzo nilikuwa nawaona ni watu wa maana,lakini kwasasa nimewapuuza mpaka basi ni wajinga na ni hatari Kwa usalama wa nchi.

Wengi wapo abroad halafu wananufaika na machafuko huku watoto wa kitanzania watoto wa masikini wakiozea kwenye kuta za magereza huku wengine wakipoteza maisha.

Ukweli ni kwamba ,
Augustine Mrema alikuwa na lengo la kuleta Mabadiliko,

Hali kadhalika Wilbroad Silaa,
Ukiondoa Ibrahim lipumba na CUF yake,waliobaki wote ni madalali na matapeli wa kisiasa ambao wapo kwaajili ya familia zao ,wanamiliki biashara na miradi mikubwa huku wakijifanya wazalendo wapigania haki na wanademokrasia,kumbe wanawatumia vijana kama mitaji ya kupata pesa chafu na haramu kutoka ng'ambo.

Huwa nazurula mitaa ya Twitter nakutana na watu ambao Wana midomo michafu na hawana hoja za msingi ,Hadi unajiuliza yaani hawa watoto wa Kiswahili, ndiyo wapewe nchi?

Kataa vurugu,
Kataa ujinga,
Linda Amani ya nchi.
We **** kibuyu kweli unashindwa kuwa chukia CCM ndio wauaji na watekaji,unaenda kuwachukia wanaharakati.
Mpumbavu wewe
 
Mwalimu Nyerere alikuwa anapenda Kumuita Nduli Idi Amini Dada "Mwendawazimu"

Wewe Famba ni Mwendawazimu.
 
Ushachagua upande tayari!Kwani unaijua chuki ya serikali dhidi ya wapinzani!Kuwabambika kesi,kuwateka na kuwaua!Kuna chuki zaidi ya hiyo?
Huyo Slaa unayezuga kumkubali,unajua amepitia mangapi chini ya serikali hii ya CCM!
Alipitia mambo gani ,mtu alipewa hadi ubalozi huko Canada 😂
 
Mabadiliko tutayaleta wenyewe Wananchi wa kawaida ambao ni UNKNOWN kabisa.

Na mimi ni mmojawapo kuna mambo mengi nimeyaona yanahitaji kupigiwa kelele na kuwahamasiha wananchi wakatae UJINGA wa namna ile popote pale wanapoenda.

Fikiria Jasmine Revolution ( Tunisia mwaka 2011) Ni Mmachinga mmoja tu aliliamsha nchi zote za kiarabu zikaingiq kwenye machafuko yaliyoleta Mabadiliko kwa kiasi kikubwa na yalisaidia kuleta mapinduzi ya utawala wa Rais wa Tunisia Ben Ali

Tunakoelekea hapa Tanzania, Mabadiliko yatakuja tu. Hebu fikiria Mkuu wa Mkoa anawaambia VIJANA " MNAOINGIZA 30,000 kwa siku subirini kuolewa tena VIJANA WA KIUME hao.

Halafu ukiangalia location ofisi yake pale 😂 na Nyomi la vijana waliopo yale maeneo wakiamua kulianzisha hii itaenea nchi nzima.
 
We **** kibuyu kweli unashindwa kuwa chukia CCM ndio wauaji na watekaji,unaenda kuwachukia wanaharakati.
Mpumbavu wewe
Ahsante, lakini unaweza leta ushahidi ni nani alitekwa na CCM inahusika
 
Mabadiliko tutayaleta wenyewe Wananchi wa kawaida ambao ni UNKNOWN kabisa.

Na mimi ni mmojawapo kuna mambo mengi nimeyaona yanahitaji kupigiwa kelele na kuwahamasiha wananchi wakatae UJINGA wa namna ile popote pale wanapoenda.

Fikiria Jasmine Revolution ( Tunisia mwaka 2011) Ni Mmachinga mmoja tu aliliamsha nchi zote za kiarabu zikaingiq kwenye machafuko yaliyoleta Mabadiliko kwa kiasi kikubwa na yalisaidia kuleta mapinduzi ya utawala wa Rais wa Tunisia Ben Ali

Tunakoelekea hapa Tanzania, Mabadiliko yatakuja tu. Hebu fikiria Mkuu wa Mkoa anawaambia VIJANA " MNAOINGIZA 30,000 kwa siku subirini kuolewa tena VIJANA WA KIUME hao.

Halafu ukiangalia location ofisi yake pale 😂 na Nyomi la vijana waliopo yale maeneo wakiamua kulianzisha hii itaenea nchi nzima.
Ni wazo bora, bila shaka umeelewa post yangu,yaani Mabadiliko yaletwe na wananchi au watanzania wazalendo siyo hawa wapiga dili ,ukaambiwa uandanamane kumbe unafaidisha watu
 
Back
Top Bottom