Niaje waungwana
Naona raisi Samia kaendelea kuvuruga serikali yake mwenyewe bila kujua madhara yanayoweza kutokea kutokana na uvurugaji wake huo.
Ni kama vile kocha asiejua nafasi za wachezaji wake uwanjani kiasi ya kwamba golikipa anampanga kwenye ushambuliaji, mshambuliaji anapangwa kwenye...
Wakuu
Mkuu wa Mkuo wa Arusha amegiza tarehe 24 kila nyumba ifanye kikao cha familia, ajenda iwe moja tu kwamba; "Tumekuli kuendelea hivi mpaka mwaka mpya (2025) unapoingia? Au tunataka mabadiliko"
Huu ndio Muongozo wa Rc Makonda kwa Wananchi wa Mkoa wa Arusha.
Kama ilivyo kariakoo wafanya biashara wengi wanafanya biashara ya B2B yaani Busness to bussness ( mtu ununua bidhaa na kuiuza hio bidhaa iliapate faida/profit.
Wa China na watu wenye viwanda wao ufanya B2C yaani Busness to consumption ( uunda bidhaa kiwandani kisha kuiuza kwa mlaji, ndo...
Kuna msemo unasema "Umeruka Vumbi Ukakanyaga Matope". Hakuna ubishi elimu yetu inahitaji over-hall, ni kweli kabisa kama tunataka kusonga mbele kielimu kuendana na ulimwengu wa sasa wa sayansi na tekinologia lazima tufanye mabadiliko kwenye mfumo wetu wa elimu.
Tumeupitia mtaala mpya wa...
Si mara moja wala mara mbili au mara 3 ambapo jeshi la polisi limeua raia wakiwa wanashikiliwa, yaani wakiwa mikononi mwao, tena mara kadhaa raia hao wakijulikana ni raia wema. Na haya hayajaanza leo bali ni miaka mingi, na yanaendelea hadi leo.
Tuna kumbukumbu mbaya ya siku za nyuma, jeshi la...
Tangu kuingia karne ya ishirini na moja, nchi za "Dunia ya Kusini" zimeanza kubadilika hatua kwa hatua kutoka nchi nyingi zenye ukimya mkubwa hadi kuwa nguvu kuu inayoendesha mabadiliko katika utaratibu wa kimataifa.
Nchi na mashirika ya kimataifa kutoka Kusini, kama vile China, India, Umoja wa...
Zilikuwa Propaganda tu za kutojianda kwenye uchaguzi, wamethibitisha wenyewe mmeliona.
Hadi muda huu hakuna chama kilichosusia uchaguzi kila chama kipo dimbani kwenye kampeni, CHADEMA wao wameamua kuchangisha kabisa na Fedha za ufunguzi wa kampeni kwa maana hiyo vyama vyote vimethibitisha...
Picha: Mafuriko ni miongoni mwa athari nyingi zinazoletwa na Mabadiliko ya Tabianchi
Tafiti zinaonesha kuwa mabadiliko ya tabianchi bado hayajapewa kipaumbele kikubwa katika chaguzi nyingi za Afrika (Tanzania ikiwa miongoni mwazo), licha ya athari zake kubwa barani humo. Masuala yanayopewa...
Katika Mkutano wa COP29, unaofanyika huko Baku-Azerbaijan, suala la athari za mabadiliko ya tabianchi kwa wanawake limepewa umuhimu mkubwa, hasa kuhusu jinsi wanavyoathiriwa zaidi na majanga ya mazingira kama ukame na mafuriko.
Wanawake, hasa kutoka jamii zenye kipato cha chini na zile zilizo...
TAARIFA KWA UMMA
TUNAITAKA SERIKALI KULIFANYIA MABADILIKO MAKUBWA JESHI LA POLISI, KIMUUNDO NA KIUTENDAJI
ACT Wazalendo tumepokea kwa huzuni na masikitiko makubwa taarifa za kuuliwa kikatili kwa vijana wawili (2) na wengine wawili (2) kujeruhiwa vibaya na Jeshi la Polisi Zanzibar, jana tarehe...
Ukame au Mafuriko yanapotokea Wanawake hutembea umbali mrefu kutafuta maji safi au ardhi ya kilimo, wakikabiliana na hatari ya Kubakwa au kulawitiwa
Mabadiliko ya tabianchi yanazidi kuathiri upatikanaji wa maji safi na ardhi yenye rutuba, rasilimali muhimu kwa ustawi wa jamii.
Wanawake...
Hii ni kutokana na utegemezi wao mkubwa kwa rasilimali za asili, kama vile maji na ardhi kwa ajili ya kilimo, ambazo huathirika moja kwa moja na mabadiliko ya hali ya hewa.
Ukame, mafuriko, na mabadiliko ya misimu vinaweza kupunguza upatikanaji wa maji na rutuba ya ardhi, jambo linalowaathiri...
Ripoti ya Shirika la Kimataifa la Wanawake, (UNWomen) iitwayo Feminist Climate Justice: A framwork for Action ya Mwaka 2023, imeeleza kuwa Kutokuwepo kwa usawa wa kijinsia pamoja na tofauti nyingine za kijamii na kiuchumi kunazidisha udhaifu wa athari za mabadiliko ya tabianchi.
Ushahidi...
Nimemsikia mwalimu Nyerere akihutubia katika moja ya hotuba zake anasema kwamba mara nyingi wanyonyaji au tabaka nufaika linachukia sana mabadiliko.
Ila wanyonge na walalahoi hawaogopi hiyo maana kwa kuunga mkono mabadiliko wanajaribu bahati yao.
Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho huko Mvomero, mkoani Morogoro amewataka kikiunga mkono chama hicho katika chaguzi zijazo ikiwemo uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba mwaka huu.
Nimekula tunda wakati mbaya wa hatari ya kupata mimba, nikaamua kutumia P2
Cha ajabu binti kawahi kuingia tena kwenye hedhi sasa si elewi, maana hata mwezi haujaisha
Wazoefu mnaofahamu haya mnipunguzie hofu hapa nahemea mashine yaani
Leo Tanzania vijana hawana ajira,mishahara kiduchu, gharama za maisha zipo juu watu wanatekwa wanauwa,ushoga n.k
Leo uliza mshahara wa hawa askari wanaoranda mitaani kuzima maandamano lakini akuna anaehoji tunazibwa midomo na mbinu ndogo kama goli la mama
Duniani huko vijana wanakiwasha kudai...
vinginevyo kwa mazingira na hali ya siasa ilivyo hivi sasa, bado vyama hivyo havitakua na msaada wala mchango wowote katika kusaidia kuchochea au kuhamasisha mabadiliko au mageuzi yoyote katika maendeleo ya wanainchi kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini,
Kazi ambayo, kipekee sana imekua...
Wadau ni muda umepita sasa Bila kugusia sarafu bandia, lakini ni wakati sasa wa kuangalia kuhusu hizi sarafu bandia na wengi mnaoelewa muwaepushe watanzania na ponzi scheme.
Jambo kubwa naweza sema hapa ni usalama wa pesa zetu kwasabu coin zipo nyingi baadhi ni stable na baadhi ni unstable...
Wanabodi
Hii ni makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Gazeti la NIPASHE la Jumapili ya leo
Kama kawa kila siku za Jumapili hutiririka na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa
zenye swali hoja majibu utayatoa wewe msomaji mwenyewe.
Swali la leo ni kuhusu haki nchini Tanzania na falsafa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.