Baada ya kuangalia michezo kadhaa ya Simba bila Nahodha John Bocco Simba imeonesha udhaifu mkubwa Sana. Katika mchezo wa leo Simba wamecheza kwa hofu kubwa huku wakipoteza pasi nyingi mguuni. Pamoja na upya wa kikosi Simba haijaonesha uhai wowote katika safu ya ushambuliaji, Kabla ya kumtafuta...
Wakuu naombeni ushauri mzuri wa kufanya hii Biashara nataka kufungua sasa.
1. Wapi ntapata makeup set nzuri kwa gharama nafuu.
2. Vitu gani niweke ili kunogesha Biashara yangu?
Mimi ndo kwanza naingia sokoni kuanza hiyo Biashara.
Mashabiki wa Yanga tunapenda kusapoti timu yenu na wengi jana kuanzia asubuhi walifika uwanjani.
Wengine nyumbani wameacha familia, wengine wameaga wazazi kufanya angalau mtoko.
Wengine walikuwa na watoto, na wengine wameacha watoto nyumbani.
Watu wametoka Kimara, Kibaha, Tegeta, Chanika...
KIchwa cha habari kimejieleza tayari punda haendi bila mijeledi utawala wa awamu ya tano ulikuwa bora sana kuwahi kutokea nchi hii kulikua na heshima sana husikii nguchiro anapiga kelele!
Moja,bodi ya ligi ya mpira wa miguu nchini (TFF )ihakikishe; Kila shabikin anaipa kipaumbere timu ya mkoa anapoishi. Zaidi ya Simba na yanga mfano, kilichosababisha mpaka ligi ya uingereza kukua ni shabiki kushabikia timu ya eneo anapoishi.mfano, mashabiki wa kutoka jiji la Machester...
Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inahitaji kuchukua hatua thabiti na bunifu ili kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu. Miongoni mwa sekta muhimu zinazohitaji maboresho makubwa ni elimu . Kwa kuzingatia umuhimu wa sekta hii, ni muhimu kuunda mikakati inayohakikisha...
Inasemekana:
Kwa Sheria ya Tanzania, hakuna mtu anayeweza kumiliki ardhi. Anaweza kupangishwa tu, labda kwa kipindi cha miaka 99.
Kwa Sheria za Tanzania, Rais ndiye "mmiliki" wa ardhi yote nchini. Sijui itakuwaje pale Serikali itakapoitamani ardhi iliyokupangisha! Sijui itakupokonya!
Kwa...
Utangulizi
Tanzania inalindwa na katiba kama sheria kuu na kilanja mkuu wa sheria zingine zote zilizopo na zitakazotungwa nchini. Maendeleo ya Tanzania yanaratibiwa na kulindwa na mihimili mitatu Serikali, Bunge na Mahakama lakini yanapangwa, kutungwa kuongozwa na kutekelezwa kwa kufuatwa...
Kwa mtazamo wangu, Wizara ya Afya ya Tanzania inaweza kuboresha huduma za afya kwa wananchi kupitia maeneo kadhaa:
1Miundombinu: Kujenga na kukarabati hospitali, vituo vya afya, na zahanati; kuwekeza katika vifaa tiba na teknolojia za kisasa.
Rasilimali Watu: Mafunzo endelevu kwa wahudumu wa...
Elimu:
1. Miaka 5: Kuboresha ya shule na kusambaza vifaa vya kufundishia.
2. Miaka 10: Kuimarisha mafunzo ya walimu na mfumo wa elimu unaowezesha kujifunza endelevu.
3. Miaka 15: Kuanzisha programu za ufundishaji wa stadi za kidijitali ili kuandaa wanafunzi kwa ajira za baadaye.
4. Miaka 25...
Wakuu heshima yenu! Heading inajieleza, mimi ni kati ya wale watanzania waliobahatika kuishi mikoa mingi hapa nchini, kiukweli Nchi yetu kwa kiasi chake imebarikiwa kwa uzuri nimeishi Maeneo kama Lushoto, Moshi, Dodoma, Kahama na Morogoro na nimebahatika kutembelea kwa sana mikoa ya Dar, Arusha...
Wakuu neno ukiukwaji wa haki unaweza kulichukulia kirahisi kama haijakutokea wewe. Ila ni kitu kinachoweza kukuvuruga mno kikitokea.
Hayati Lowassa ni miongoni wanajua ladha ya hilo neno kwa vitendo baada ya tukio la kukatwa jina lake mwaka 2015.
Ingawa sidhani kabla ya hapo kama alikuwa...
NCHI INAHITAJI UONGOZI SHIRIKISHI ILI KUONDOA MALALAMIKO, NA CHUKI DHIDI YA SERIKALI.
Utangulizi:
"Tanzania tuitakayo"
Taifa letu TANZANIA ni Taifa ambalo linahitaji uongozi shirikishi ,kuanzia ngazi ya Taifa ,mkoa ,wilaya hadi mtaa, kijiji na kitongoji, ili kuifikia Tanzania tuitakayo.
Kama...
Habari ndugu zangu, Nissan Dualis ipo sokoni inaenda kwa Tsh mil 15
Mwaka 2009
CC 1990
Km 90k
Haina kipengele
Location Dar es Salaam-Tabata
Simu ziite ndugu zangu
0752463715
0776363230
Biashara maelewano.
Kucheza na big club Africa tena giant,iliyosheheni full mkoko wameshindwa kuwafunga yanga ambayo haina wachezaji wake muhimu.
Pacome
Aucho
Yao yap
Ebu jamani ingekuwa simba unacheza na mamelody ile ya jana iliyosheheni wachezaji wake wote,simba wangemkosa
Chama
Ngoma
Mohamed...
Mzuka wanajamvi!
Haiti inahitaji kiongozi kama Paul Kagame wa Rwanda. Mkali strict katili na dikteta.
Ambaye akitawala alete hofu, nidhamu na utii wa sheria.
Kukiwa na utawala kama huu niliulezea kwenye hii nchi baada ya miaka kumi Haiti itakuwa kama Rwanda.
Upuuzi unaendelea Haiti...
Tanzania kama taifa licha ya ukongwe wake toka tupate uhuru ni dhahiri kwamba mifumo ya utawala imekuwa ikibidi kuwa mibovu kila kukicha. Hii hali imekuwa ikichangiwa sana sana na uchu wa viongozi waliowahi kushika nyadhifa kubwa serikalini kutaka uzao wao urithi nafasi na kufuata nyayo zao...
Dunia salama ni ile yenye mbabe mmoja tu. Dunia ya wababe wengi ni hatari kubwa sana. Vita za dunia zinatokea sababu ya kuwepo kwa wababe wengi. Dunia ya wababe wengi siyo stable na wala haidumu muda mrefu.
Kukiwa na wababe wengi lazima watapigana na matokeo yake mshindi anaendelea kuwa mbabe...
Ninaandika kwa masikitiko makubwa sana. Siku hizi imekuwa kawaida unatazama TV mara unaona muokota makopo akijisifia kuwa kazi yake inamlipa kuliko hata ya ualimu. Hujakaa vizuri unakuta mwenyekiti wa kijiji naye anawapa amri waalimu ili mradi tu mwalimu aonekane sio lolote. Unaingia FB unakuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.