inahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    Nikiwa kama msomi ninayefanya biashara nimeona wazi kwamba biashara inahitaji elimu ndogo hata ya darasa la 4 inatosha

    Nikiri wazi kwa sasa bado nipo kwenye ajira serikalini lakini biashara ndio inaniingizia mkwanja zaidi kuzidi ajira, kwenye ajira nachofaidika ni connections na sehemu nilipo kwenye ajira inanipa nguvu ya mamlaka flani kwenye sytem lakini kuhusu mkwanja kiukweli biashara ndio inanibeba zaidi...
  2. Nyuki Mdogo

    Kampuni ya Magazeti ya Mwananchi inahitaji Mlinzi: Sharti uwe na Degree na uzoefu miaka mitatu na zaidi

    Haya ndugu zangu wapambanaji. Mwamba wa Magazeti nchini huyu hapa kaachia na Kazi nafasi Moja. Wenye Bachelor zenu mtume maombi muendelee kulinda mali za watu kwa weledi mkubwa
  3. Nelson Jacob Kagame

    CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

    Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa. Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila...
  4. E

    Inahitaji kuwa mjinga na kichaa kilichokubuhu kuendelea kuamini eti CCM italeta maendeleo!

    Miaka zaidi ya sitini, nchi bado hata haieleweki ni lini itaondokana na uchumi tegemezi licha ya kuwa na kila kitu. Kitabu cha mwanzo kwa wasomaji wa Biblia, nyoka alitambulika kama nyoka tuu, lakini kitabu cha ufunuo, nyoka anatambulika kama JOKA kwa sababu moja tu, nyoka, hakushughurikiwa...
  5. Mtu Asiyejulikana

    Tanzania inahitaji Rais Dikteta mwenye Maono ili iendelee

    Demokrasi was not for African countries. Hasa hizi zetu zilizojaa Uswahili. Angalia nchi ambazo zilipata kukaliwa na waarabu. Zilizoendelea zimeendelea kwa mkono imara wa chuma not Demokrasia. Angalia nchi za Kiarabu ambazo zimeendelea, zinatawaliwa kwa sheria kali sana. Nchi hii imeharibika...
  6. M

    Mjadala wa nani zaidi kati ya Messi na CR7 wafungwa rasmi kibabe: Inahitaji mtu awe na kinasaba cha ubishi kuendeleza mjadala huo!

    Mechi ya jana ya fainali kati ya Argentina na Ufaransa pamoja na kutoa jibu ni nani atakayetwaa kombe la dunia mwaka huu, ilitoa jibu pia ni nani zaidi kati ya Messi na Christiano Ronaldo. Nikiri kwamba mimi ni timu CR7 lakini nimenyoosha mikono!! Messi ni zaidi ya kuwa zaidi! Wenye vinasaba...
  7. Mwizukulu mgikuru

    House4Sale Nyumba nzuri zinauzwa maeneo mbalimbali jijini Mwanza

    Ni nyumba nzuri kwa ajili ya matumizi ya familia ipo jijini Mwanza, bei yake ni shilingi milioni 37 japo maongezi yapo. Wewe njoo na pesa yako tuongee, hiyo bei wala isikutishe, miliki na wewe nyumba yako jijini Mwanza. Kwani wao waweze wana nini na wewe ushinde una nini? 0769344686
  8. DEICHMANN

    Ha tunnel inasumbua muda mwingi inahitaji ni add time

    Habarini. Ha tunnel plus imekua ikinisumbua muda mwingi inahitaji nitazame matangazo yao ndio niweze kutumia. Je kuna njia nyingine ya kuondoa kua add time kila Mara?
  9. BARD AI

    Bunge: Bodi ya Mikopo inahitaji Tsh. Bilioni 800 kukopesha wanafunzi wote nchini

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Stanslaus Nyongo amesema Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, (HESLB), inahitaji Sh800 bilioni ili iweze kutoa mikopo kwa wanafunzi wote waliodahiliwa kujiunga na vyuo vikuu. Nyongo ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba Mosi...
  10. Komeo Lachuma

    Kweli nawaambia, ili nchi hii iendelee inahitaji Rais Shupavu, Smart, Mwenye Uchungu na Nchi na Mapenzi kwa watu wake

    Tanzania haiji endelea hata siku moja kwa kuwa na Rais Legelege, mpiga porojo,chuma ulete,mpenda starehe,mdekezaji,mwivi,fisadi,asiyejiamini, anayeendeshwa na watu kadhaa. Nchi italiwa, itafisaidiwa kodi na mikopo. Wezi watakumbatiwa na kutamba kwenye korido za Ikulu. Maskini wana maskinika...
  11. Upekuzi101

    Tupende tusipende, bado Tanzania inahitaji viongozi wenye nusu ya hulka ya Hayati Magufuli

    Habari wana JF, natumaini wote baadhi yenu ni wazima wa afya, na wale wasiyokuwa wazima afya, nawaombea mtakuwa wazima afya pia. Kabla sijasema sana napenda kuweka wazi kuwa mimi siyo mnazi wa Chama chochote cha siasa ila ni kijana tu niliyefanikiwa kuwepo na kutambua mambo kwa uhalisia wake...
  12. Mganguzi

    Wizara ya Ulinzi na Usalama inahitaji mtu mahsusi, Bashungwa bado hajakomaa

    Napongeza uteuzi wa Tax. Ila bashungwa bado hajakomaa Kwa hiyo wizara, sijajua kwanini awamu hii ya sita inaogopa kufanya kazi na wakongwe, inawaondoa kwenye system watu mahsusi. Hizi ndio zilikuwa nafasi za watu aina ya kabudi ni wakomavu.
  13. Iziwari

    Kwanini kampuni au biashara yako lazima inahitaji uwe na website(Tovuti)?

    Karne hii kumekuwa na watu wengi wanao shauri kuwa na tovuti/website kwa ajili ya kampuni au biashara. Sa nyingine wamekuwa wakitangaza ivo, kwa ajili ya manufaa yao binafsi. Ikiwemo kujipatia kipato kwa kupitia kutengeneza website. Lakini wanao pokea izo kazi za website wamebaki na swali...
  14. Mjinga sana mimi

    Nyumba ya makontena yenye sebule, chumba cha kulala, ofisi ndogo, jiko, choo na bafu inahitaji makoñtena mangapi?

    Habari wakuu, Kama kichwa kinavosema nahitaji kujenga nyumba ya kontena yenye sebule, chumba cha kulala, jiko, ofisi, choo na bafu. Je, kwa idadi ya hivo vyumba nahitaji makontena mangapi na ningependa kujua gharama za kontena moja? Asanteni!!!
  15. BARD AI

    Makamba: Tanzania inahitaji TSh. Bilioni 345 kukabili Tabia Nchi

    Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Tanzania inahitaji dola 150 milioni za Marekani (Sh345 bilioni) kwa mwaka kujenga uwezo wa kukabiliana na athari za mabadili-ko ya tabianchi. Makamba amesema fedha hizo zinatakiwa kutumika kujenga uwezo katika sekta ya kilimo, afya, miundombinu...
  16. BabaMorgan

    Vita ni vikali kuelekea kutimiza malengo inahitaji physical fitness na mental fitness.

    Unapoanza kutimiza malengo yako ni sawasawa na kuanza Vita Kuna mawili kushinda battle na kushindwa battle it depends na jinsi ulivyojiandaa bila kusahau bahati. Vita dhidi ya nani? Walimwengu, wachawi, wenye roho mbaya, wanafiki, majini kiukweli ni battle yenye wingi wa maadui. You need to be...
  17. muafi

    Hii nchi inahitaji kuongozwa kidikteta, Namkumbuka Hayati Magufuli sana!

    Kuna wakati unafika tunammis JPM kuoitia hili sakata la TUCTA na serikali hqpa nimemkumbuka sana JPM, sometime udikteta unasaidia Miaka sita watu hawajaongezwa mishahara lakini hawakuongea kitu walikaa kimya kabisa kama hakuna lililotokea. Samia kawainua wa kima cha chini kwa 70K na wengine...
  18. OLS

    Kesho yenye uwajibikaji inahitaji Citizen journalism (Uandishi wa Umma)

    Tasnia ya Habari imeonekana kama moja ya muhimili wa serikali hata hivyo tasnia ya habari imeonekana kupoteza uwezo wake wa kuibua mambo na kuleta uwajibikaji kwa mihimili mingine ya serikali. Waandishi huripoti matukio na press hali inayofanya stori ziwe hazina maajabu ya kutosha kwenye...
  19. Jidu La Mabambasi

    Tanzania Tax regime inahitaji mabadiliko ya kimawazo, bidhaa zile zile majirani bei ni ndogo kuliko hapa kwetu!

    Msimamo wa Tax regime ya nchi yetu ina matatizo Ya kimtazamo. Tax-kodi inakuwa set for maximum extraction, yaani kodi zetu zinajaribu kufyonza fadha kubwa iwezekanavyo toka kwa mfanyibiashara au any business deal kiasi ambacho bei ya bidhaa zetu zinapanda bei hadi kukosa ushindani. Hili ni...
  20. May Day

    Simba Inahitaji "Msema Utumbo" mmoja, Ahmed hawezi

    Kwa Wajihi na Kaliba ya kimuonekano ya Bw Ahmed Ally hafananii kabisa na wala hana uwezo huo linapokuja swala la kutaka kutupa dongo, na haswa kama anataka kujibizana na Msema hovyo wa ile Timu Pinzani ya Uto. Huwa nakunja vidole(cross fingers) kila mara anapozungumza Bw Ahmed Ally kwa kutamani...
Back
Top Bottom