Ufaransa inahitaji kiongozi aina ya Benyamini Netanyau wasipokuwa makini itamezwa na magaid

Nani kakwambia sijui? Najua ndio maana nimewambia huyo Netanyahu na chama chake hawajawahi kushinda uchaguzi wowote ila huwa anakua waziri mkuu kwa janja janja.

Mfano 2022 Netanyahu na chama chake walipata 20%, je ni demokrasia gani duniani ambapo mtu aliyekataliwa na 80% ndio anakua kiongozi wa serikali?

Hii ndio unaita demokrasia? Alafu ndio unataka kuwa Rais wa Tz na vitu basic kama hivi unashindwa kuviona.
Wewe unatakaje Ashindaje uchaguzi ilahali anaunda serikali kupitia utaratibu waliojiwekea
 
Hao wahamiaji ni matokeo ya kazi chafu zinazofanywa na mataifa ya Ulaya na Marekani.
Vita zote - naam zote unazozisikia - zimechangiwa/kuchochewa na US, na wenzaje.

Kama ni mfuata upepo hauwezi elewa undani wa mambo hayo
Waamiaji wengi wa ufaransa ni kutoka algeria, marocco, na tunisia
Niambie ni lini nchi ya marekani au western imeshambulia hizo nchi ambazo nimekutajia
 
Hujui hata maana ya demokraisa hili ni tatizo lako kubwa
Weee umesema Iran sio demokrasia kisa Ayatollah anaweza fukuza mawaziri sasa mimi nimekuonyesha jinsi mfalme wa uingereza anaweza fukuza sio tu waziri mkuu wa uingereza bali mpaka Canada na Australia je kwanini uingereza nayo hatusemi ni nchi ya kidikteta?

Pia ili uwe waziri mkuu hizo nchi zote zlizo chinu ya mfalme Charles III ni lazima yeye mwenyewe akupitishe jina lako bila yeye hata upigiwe kura 100% hauwi waziri mkuu.

Je nayo ni udikteta?
 
Wewe unatakaje Ashindaje uchaguzi ilahali anaunda serikali kupitia utaratibu waliojiwekea
Hujajibu swali? Netanyahu alipata 20% je ni demokrasia gani ambayo mgombea anayekataliwa na 80% ya wapiga kura ndio anakua kiongozi wa serikali?

Jibu swali specific usikimbie
 
Netanyahu anapigana na magaidi gani? yule yuko interested na madaraka tu. Ndio maana alipoambiwa Hamas watashambulia oktoba 7 akajikausha kabisa ili apate sababu ya kubaki madarakani.

Na taarifa za sasa zinasema alikataa hata dili la kurudishiwa mateka mapema kabisa maana alijua haitamsaidia kisiasa kuliko vita isiyoisha.

Ni wajinga kama wewe ndio mnaamini Netanyahu anapambana na ugaidi. In fact alimsaidia gaidi wa Al Qaeda kushika madaraka huko Syria na kusaidia wapiganaji wa ISIS waliokuwa wanatandikwa na Iran/Russia. Sasa mtu anayepambana na magaidi anaweza fadhili magaidi?

Empty head
Hizi ni sound na fix za gahawa
 
Waamiaji wengi wa ufaransa ni kutoka algeria, marocco, na tunisia
Niambie ni lini nchi ya marekani au western imeshambulia hizo nchi ambazo nimekutajia
Aisee we jamaa kweli mweupe, ina maana hujui Algeria imewahi pigana vita ya wenyewe kwa wenyewe kuanzia 1991 ambapo FIS ilishinda uchaguzi kwa kishindo ila serikali kwa support ya marekani na Ufaransa ikafuta matokeo na kuanza kuua wafuasi wa vyama hivyo na nchi ikaingia vitani kwa miaka zaidi ya 10??

Unaitoaje western powers kwenye kuchochea wakimbizi nchi za maghreb?
 
Netanyahu anapigana na magaidi gani? yule yuko interested na madaraka tu. Ndio maana alipoambiwa Hamas watashambulia oktoba 7 akajikausha kabisa ili apate sababu ya kubaki madarakani.

Na taarifa za sasa zinasema alikataa hata dili la kurudishiwa mateka mapema kabisa maana alijua haitamsaidia kisiasa kuliko vita isiyoisha.

Ni wajinga kama wewe ndio mnaamini Netanyahu anapambana na ugaidi. In fact alimsaidia gaidi wa Al Qaeda kushika madaraka huko Syria na kusaidia wapiganaji wa ISIS waliokuwa wanatandikwa na Iran/Russia. Sasa mtu anayepambana na magaidi anaweza fadhili magaidi?

Empty head
👏👏👏uzi ufungwe
 
Hizi ni sound na fix za gahawa
Sio mimi nimesema ni General Nitzan Alon aliyesimamia mazungumzo kati ya Israel na Hamas kuhusu mateka. Anadai Netanyahu alikataa mateka kuachiliwa licha ya Hamas kuwa walishakubali kuwaachia siku chache tu baada ya oktoba 7!! Sasa nikuamini wewe au Generali wa Israel?

Lakini pia kwenye video hii waziri mkuu wa Qatar anasema aliwapa taarifa Israel kuwa Hamas inapanga shambulizi ila Netanyahu hakujulisha vyombo vya usalama!!

View: https://youtube.com/shorts/Gdz4HQMLpSs?si=X7c7lGHGYNlUBIUg
 
Ukiangali kinachoendelea ufaransa lazima utakubaliana na mimi wanahitaji kiongozi aina ya benyamini Nentanyau

Kwanini nasema hivi diaspora kutoka algeria, morocco, na tunisia ndo wanaongoza kuiharibu nchi

Psg ikishinda wanachoma nchi, morocco ikifungwa nchi inachomwa, watu wakiandaa maandamano ya amani wana-hijack na kuanza kuchoma nchi

Liberal policy zimefeli europe ni wakati wa conservative na hardliner mfano wa Netanyau wote sisi ni mashahidi netanyau anafanya kaz nzuri sana ya kuilinda nchi yake angekuwa dhaifu leo hii wananchi wote wa israel wangekuwa wamechinjwa sasa france inahitaji kiongozi aina ya Netanyau ili kuclean mess na kudeal na magaid wa ndani nchi ambayo wanatamani kuona nchi inapotea

Watu wanachoma nchi huku wanapeperusha bendera za palestina, algeria na morocco french wanafeli sana
Kiongozi kama Benzion Milkowisky aka Benjamin Bibi Netanyahu na hadithi yake ya Fly Dubai starring Plumber and Dentist using knives and axe to open cockpit door with crushing G force?
Hakuna nchi inastahili kuonogozwa na muongo na mhalifu wa kivita zaidi ya Israel
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Angekua anazuia wahuni asingekua na tamasha la watu wanao sagana na kufirana
Huu ni zaidi ya uhuni na ushenzi ila kwakua ndio munao uabudu hamuuoni!!!
😆😆😆😆😆😆😆👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Kama israel ingekuwa ni wabaya kama unavyotaka kuaminisha watu wasingeruhusu waislamu million 2 kuishi nchi yao
Hao waisalam milioni 2 walikuwepo kabla ya Israel kuwepo ndy mana wapo mbaka Leo. Lakini pia mbona wapo wakristo wanaishi Israel ingawaje Israel sio nchi ya kiikristo. Ndani ya Israel kumsifu yesu ni kosa kama ilivyokuwa kubaka tu.
 
Netanyahu anapigana na magaidi gani? yule yuko interested na madaraka tu. Ndio maana alipoambiwa Hamas watashambulia oktoba 7 akajikausha kabisa ili apate sababu ya kubaki madarakani.

Na taarifa za sasa zinasema alikataa hata dili la kurudishiwa mateka mapema kabisa maana alijua haitamsaidia kisiasa kuliko vita isiyoisha.

Ni wajinga kama wewe ndio mnaamini Netanyahu anapambana na ugaidi. In fact alimsaidia gaidi wa Al Qaeda kushika madaraka huko Syria na kusaidia wapiganaji wa ISIS waliokuwa wanatandikwa na Iran/Russia. Sasa mtu anayepambana na magaidi anaweza fadhili magaidi?

Empty head
all in all anawatwanga...
 
Hao waisalam milioni 2 walikuwepo kabla ya Israel kuwepo ndy mana wapo mbaka Leo. Lakini pia mbona wapo wakristo wanaishi Israel ingawaje Israel sio nchi ya kiikristo. Ndani ya Israel kumsifu yesu ni kosa kama ilivyokuwa kubaka tu.
Uislamu dini imeanza mwaka wa 600 hapo unafananisha na dini ya uyahudi ambayo ipo miaka zaidi ya elfu 5

Wayahudi hawamkubali Yesu na hawajaanza leo tokea wakati Yesu anaishi na anafufuka wayahudi hawakuwahi kumkubali miaka 2000 iliyopita sasa unashangaa wao kumkataa Yesu na ukristo
 
Kiongozi kama Benzion Milkowisky aka Benjamin Bibi Netanyahu na hadithi yake ya Fly Dubai starring Plumber and Dentist using knives and axe to open cockpit door with crushing G force?
Hakuna nchi inastahili kuonogozwa na muongo na mhalifu wa kivita zaidi ya Israel
Wewe ndo unasema ni muongo ila israel wanamuamini kuwaongoza
 
Sio mimi nimesema ni General Nitzan Alon aliyesimamia mazungumzo kati ya Israel na Hamas kuhusu mateka. Anadai Netanyahu alikataa mateka kuachiliwa licha ya Hamas kuwa walishakubali kuwaachia siku chache tu baada ya oktoba 7!! Sasa nikuamini wewe au Generali wa Israel?

Lakini pia kwenye video hii waziri mkuu wa Qatar anasema aliwapa taarifa Israel kuwa Hamas inapanga shambulizi ila Netanyahu hakujulisha vyombo vya usalama!!

View: https://youtube.com/shorts/Gdz4HQMLpSs?si=X7c7lGHGYNlUBIUg

Hizo ni propaganda kwanini uwaamini qatar na usiwaamini israel unachofanya ni personal interest zako na hazina ukweli
 
Uislamu dini imeanza mwaka wa 600 hapo unafananisha na dini ya uyahudi ambayo ipo miaka zaidi ya elfu 5

Wayahudi hawamkubali Yesu na hawajaanza leo tokea wakati Yesu anaishi na anafufuka wayahudi hawakuwahi kumkubali miaka 2000 iliyopita sasa unashangaa wao kumkataa Yesu na ukristo
Uislamu haujaanza miaka ya 600 kama unavyodai wewe, uislamu umeanza tangu enzi za Adam na NuHu. Lakini pia nimefurahi kama unafahamu kumsifu yesu ndani ya eneo la Palestine linalokaliwa kwa mabavu na Wana wa Israel ni kosa kama lilivyokosa la mtu kuwa Hamasi tu. Sasa turudi kwenye main point unazani ndani ya Israel hayo mambo ya uasi na makundi ya vurugu hayapo?
 
Hizo ni propaganda kwanini uwaamini qatar na usiwaamini israel unachofanya ni personal interest zako na hazina ukweli
Umeangalia video? Anayehojiwa ni General Nitzan Alon wa jeshi la IDF ya Israel sasa kivipi hii habari haina ukweli? Yaani hutaki tumuamini GENERALI wa Israel ila tukuamini wewe? Are you serious?
 
Back
Top Bottom