Ufaransa inahitaji kiongozi aina ya Benyamini Netanyau wasipokuwa makini itamezwa na magaid

Ufaransa inahitaji kiongozi aina ya Benyamini Netanyau wasipokuwa makini itamezwa na magaid

Sidhani kama Israel na wayahudi kwa ujumla kama wako na wanajihisi kuwa salama chini ya uongozi wa netanyahu. Huwezi kuwa salama chini ya uongozi wa mpenda damu za watu kama netanyahu
Neta ni self-proclaimed Mr. Security , na nyakati kama hizi za uchaguzi ndo mida yake kuprotray hiyo dhana
 
Uislamu dini imeanza mwaka wa 600 hapo unafananisha na dini ya uyahudi ambayo ipo miaka zaidi ya elfu 5

Wayahudi hawamkubali Yesu na hawajaanza leo tokea wakati Yesu anaishi na anafufuka wayahudi hawakuwahi kumkubali miaka 2000 iliyopita sasa unashangaa wao kumkataa Yesu na ukristo
😀😀😀 alokwambia uislam umenaza miaka 600 nani
Pole kijana inatakiwa upigwe sana msasa kuhusiana na uislam
 
😀😀😀 alokwambia uislam umenaza miaka 600 nani
Pole kijana inatakiwa upigwe sana msasa kuhusiana na uislam
Quran imeshushwa wakati wa muhammad sasa hao waislamu kabla ya muhammada walikuwa wanatumia kitabu kipi

Utaratibu wa kusali kauleta muhammad sasa hao waislamu kabla ya muhammad walikuwa wanasalije je una evidence walivyokuwa wanasali hakuna sasa walikiwa wanasalije ilihali taratibu za kusali alizileta muhammad haya ndo maajabu ya uislamu
 
  • Kicheko
Reactions: K11

😀😀😀
Ndio maana nikakwambia uusome uislam badala ya kuropoka na kupigia watu kelele
Kweli upo sahihi zaidi ya sana kua Qur’an ilikuja wakati wa s a w
Kabla ya Qur’an vilikuja vitabu vingi tu kulikua na zaburi taurat sufi(suhufi)injili
Ibada zote ambazo zimeongelewa ndani ya Qur’an basi zilifanywa katika hivyo vitabu tajwa hapo juu ila tu kwa namna ama mfumo tofauti ila ni zile zile
19:55 qur an nenda kapitie hapa utoe huo ujinga kichwani
20:14 qur an nenda kasome utoe upuuzi kichwani mwako
14:40 Qur’an nenda kasome uone ulivyo hujui lolote kuhusu uislam
19:31 Qur’an nenda kasome ujue mambo
Kijana huujui uislam kaa kwakutulia kama moja
 
kujifariji kunarusiwa
Nani anajifariji kwani hana kesi ICC? Kwani arrest warrant haijatolewa?

Netanyahu anajua hatujifariji ndio maana tokea kesi ianze hajawahi kanyaga nchi zote ambazo ni signatory wa ICC.

In fact alikimbia hadi maadhimisho ya mauaji ya halaiki ya wayahudi yaliyofanyika Poland kwa hofu ya kukamatwa pale tu akitua airport ya Warsaw.

Cha ajabu wewe unaona tunajifariji wakati yeye mwenyewe amekimbia!!
Screenshot_20260809_162821_Chrome.jpg
 
Ni suala la muda tu na sio ufaransa tuseme Ulaya yote, si umeona juzi timu ya taifa ya Ireland ilivyokuwa inaleta mambo ya siasa kwenye football dhidi ya Israel?
 
Ukiangali kinachoendelea ufaransa lazima utakubaliana na mimi wanahitaji kiongozi aina ya benyamini Nentanyau

Kwanini nasema hivi diaspora kutoka algeria, morocco, na tunisia ndo wanaongoza kuiharibu nchi

Psg ikishinda wanachoma nchi, morocco ikifungwa nchi inachomwa, watu wakiandaa maandamano ya amani wana-hijack na kuanza kuchoma nchi

Liberal policy zimefeli europe ni wakati wa conservative na hardliner mfano wa Netanyau wote sisi ni mashahidi netanyau anafanya kaz nzuri sana ya kuilinda nchi yake angekuwa dhaifu leo hii wananchi wote wa israel wangekuwa wamechinjwa sasa france inahitaji kiongozi aina ya Netanyau ili kuclean mess na kudeal na magaid wa ndani nchi ambayo wanatamani kuona nchi inapotea

Watu wanachoma nchi huku wanapeperusha bendera za palestina, algeria na morocco yaani mtu amezaliwa ufaransa ila anaipenda sana morocco, algeria au tunisia ukiwaambia waende hawataki
french wanafeli sana wanapowachekea

Marekani na nchi za ulaya hazijawahi kuishambulia morocco, algeria au tunisia nchi ambazo zimepeleka watu wengi france kwa hiyo hakuna sababu ya kuichoma nchi ambayo umezalachw propaganda za wakoloni wa chinza magharibi Dunia nzima inajua gaidi na shetani namba Moja ni netanyau huyu ndio gaidi anafanya ugaidi mchana kweupe sio hao mnao wasingizia kama hamas, Hezbollah na wengine
 
Netanyahu anapigana na magaidi gani? yule yuko interested na madaraka tu. Ndio maana alipoambiwa Hamas watashambulia oktoba 7 akajikausha kabisa ili apate sababu ya kubaki madarakani.

Na taarifa za sasa zinasema alikataa hata dili la kurudishiwa mateka mapema kabisa maana alijua haitamsaidia kisiasa kuliko vita isiyoisha.

Ni wajinga kama wewe ndio mnaamini Netanyahu anapambana na ugaidi. In fact alimsaidia gaidi wa Al Qaeda kushika madaraka huko Syria na kusaidia wapiganaji wa ISIS waliokuwa wanatandikwa na Iran/Russia. Sasa mtu anayepambana na magaidi anaweza fadhili magaidi?

Empty head
Mbona hukemei haya yamayofanywa na waislamu wenzio Ulaya?
 
Kwani hamas ndio raia? Maana kwenye Vifo elfu 80 plus hao hamas hata vifo elfu 5 hawafiki ndio maana vita imeisha ila bado Hamas wapo maana yake Israel ilikua inaua raia inaacha askari.

Na sio mimi, amesema waziri wa Israel Itamar Ben Gvir kuwa wao walikua wamejiwekea malengo ya kuua RAIA wa palestina kila siku wala sio Hamas.

Ni sawa na Kenya baada ya kushambuliwa na Al Shabaab basi wangeenda tu Mogadishu na kuanza kuua msomali yoyote mbele yao kwani wangeshindwa?
Sasa kama raia anajichanganya na magaidi unataka Netanyahu afanyeje?
Netanyahu ni mfano Bora zaidi wa kushughulika na magaidi!
Si Al houthi au hizbollah
 
😀😀😀
Ndio maana nikakwambia uusome uislam badala ya kuropoka na kupigia watu kelele
Kweli upo sahihi zaidi ya sana kua Qur’an ilikuja wakati wa s a w
Kabla ya Qur’an vilikuja vitabu vingi tu kulikua na zaburi taurat sufi(suhufi)injili
Ibada zote ambazo zimeongelewa ndani ya Qur’an basi zilifanywa katika hivyo vitabu tajwa hapo juu ila tu kwa namna ama mfumo tofauti ila ni zile zile
19:55 qur an nenda kapitie hapa utoe huo ujinga kichwani
20:14 qur an nenda kasome utoe upuuzi kichwani mwako
14:40 Qur’an nenda kasome uone ulivyo hujui lolote kuhusu uislam
19:31 Qur’an nenda kasome ujue mambo
Kijana huujui uislam kaa kwakutulia kama moja
Wala hatuhitaji kuusoma uislamu,tunaangalia waislamu wa Ulaya tunaujua!
 
Marekani na nchi za ulaya hazijawahi kuishambulia morocco, algeria au tunisia nchi ambazo zimepeleka watu wengi france kwa hiyo hakuna sababu ya kuichoma nchi ambayo umezaliwa
Ni sawa umetoka zako Kigoma Ujiji huko karibu na Kambi ya Waakimbizi ukaweka makazi yako njia ya kuelekea Kimara mkoani Dar uliposikia vurumai la kuchoma vituo vya mwendokasi kwa kutumia mitungi ya gesi na wewe ukaunga tela, hivi au ngoja nisiendelee kusema
 
Ni suala la muda tu na sio ufaransa tuseme Ulaya yote, si umeona juzi timu ya taifa ya Ireland ilivyokuwa inaleta mambo ya siasa kwenye football dhidi ya Israel?
Ni jambo jema israhell inatakiwa isuswe na kila nchi inayojitambua kama hio Ireland nk
 
Wala hatuhitaji kuusoma uislamu,tunaangalia waislamu wa Ulaya tunaujua!
Ukiishajua bado utaendelea kuteseka na kuteswa na uislam mpaka kufa kwako
Maana huna cha kutufanya sisi wala huo uislam
Unabakia tu kuteseka na kuumia ndani kwa ndani pole sana
Ila vumilia tu utazoea
 
Ukiishajua bado utaendelea kuteseka na kuteswa na uislam mpaka kufa kwako
Maana huna cha kutufanya sisi wala huo uislam
Unabakia tu kuteseka na kuumia ndani kwa ndani pole sana
Ila vumilia tu utazoea
Nabii Netanyahu ndo kiboko yenu!
 
Ni jambo jema israhell inatakiwa isuswe na kila nchi inayojitambua kama hio Ireland nk
Mayahudi wa Mecca na Madina walipokataa janja janja za mudi boy ikazaliwa chuki ya waislamu dhidi ya Israel.
Hili tunalijua
 
kama raia anajichanganya na magaidi unataka Netanyahu afanyeje?
50% ya wakazi wa Gaza ni watoto chini ya miaka 18, sasa unaposema raia anajichanganya na magaidi una maana gani?

Pia waziri wa usalama Ben Gvir amesema wao Israel waliweka mpango wa kuua raia wa Palestina walau 40 kila siku, maana wao wana bifu na wapalestina kama watu na sio eti Hamas.

Sasa waziri mwenyewe alikiri kuwa waliua kwa kukusudia, sasa unataka tukuamini wewe unayeishi mpitimbi au tuamini waziri wa Israel? Tukisema hawa watu ni zaidi ya shetani muwe mnaelewa sio mnatetea ujinga tu kisa dini. Wakristo tuamke, hawa wakimalizana na waarabu watakuja Afrika huku watunyooshe.

View: https://youtube.com/shorts/oYJLtGCMIxc?si=1XwoDpGb62TjbeuF
 
Back
Top Bottom