zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Magaidi? Mbona Al Qaeda imechukua serikali ya Syria kupitia Ahmed Al Sharaa mwenyekiti wa Al Qaeda/Islamic State huko Syra ila huyo Netanyahu amekaa kimya tu?? Au magaidi ni pale tu wakipingana na Israel ila wakiwa upande wa Israel wanakuwa "malaika".Netanyahu ni mfano Bora zaidi wa kushughulika na magaidi!
Si Al houthi au hizbollah