zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Wamemuamini lini? Kwa 20% ya kura? Haaahaaa mnachekesha sanaWewe ndo unasema ni muongo ila israel wanamuamini kuwaongoza
Wamemuamini lini? Kwa 20% ya kura? Haaahaaa mnachekesha sanaWewe ndo unasema ni muongo ila israel wanamuamini kuwaongoza
Wewe uko Tanzania nyuma ya keyboard unaumia ila waisrael wanakubali huo mfumo ndo maana walimtoa netanyau kama waziri mkuu na wakamrudishaWamemuamini lini? Kwa 20% ya kura? Haaahaaa mnachekesha sana
Magaidi yakimaikia netanyahu yanaona kifo hiki, gaidi haipaswi kucheka naeNetanyahu anapigana na magaidi gani? yule yuko interested na madaraka tu. Ndio maana alipoambiwa Hamas watashambulia oktoba 7 akajikausha kabisa ili apate sababu ya kubaki madarakani.
Na taarifa za sasa zinasema alikataa hata dili la kurudishiwa mateka mapema kabisa maana alijua haitamsaidia kisiasa kuliko vita isiyoisha.
Ni wajinga kama wewe ndio mnaamini Netanyahu anapambana na ugaidi. In fact alimsaidia gaidi wa Al Qaeda kushika madaraka huko Syria na kusaidia wapiganaji wa ISIS waliokuwa wanatandikwa na Iran/Russia. Sasa mtu anayepambana na magaidi anaweza fadhili magaidi?
Empty head
Wale walishamgilia mauaji na walisaidia magaidi kuficha mateka , kama hamas walivoua raia wa israel ndio nao wanauliwaKwani hamas ndio raia? Maana kwenye Vifo elfu 80 plus hao hamas hata vifo elfu 5 hawafiki ndio maana vita imeisha ila bado Hamas wapo maana yake Israel ilikua inaua raia inaacha askari.
Na sio mimi, amesema waziri wa Israel Itamar Ben Gvir kuwa wao walikua wamejiwekea malengo ya kuua RAIA wa palestina kila siku wala sio Hamas.
Ni sawa na Kenya baada ya kushambuliwa na Al Shabaab basi wangeenda tu Mogadishu na kuanza kuua msomali yoyote mbele yao kwani wangeshindwa?
Ni bora sasa uache ushoga maana akili imeshaanza kukaa sawa.Naunga mkono hoja yako wew ***** mwandamizi
all in all anawatwanga...Netanyahu anapigana na magaidi gani? yule yuko interested na madaraka tu. Ndio maana alipoambiwa Hamas watashambulia oktoba 7 akajikausha kabisa ili apate sababu ya kubaki madarakani.
Na taarifa za sasa zinasema alikataa hata dili la kurudishiwa mateka mapema kabisa maana alijua haitamsaidia kisiasa kuliko vita isiyoisha.
Ni wajinga kama wewe ndio mnaamini Netanyahu anapambana na ugaidi. In fact alimsaidia gaidi wa Al Qaeda kushika madaraka huko Syria na kusaidia wapiganaji wa ISIS waliokuwa wanatandikwa na Iran/Russia. Sasa mtu anayepambana na magaidi anaweza fadhili magaidi?
Empty head
Sio kweli anaua wanawake na watoto sio Hamas. Hii hapa video ya waziri wa usalama wa israel Itamar Ben Gvir akieleza jinsi Israel haina mpango na magaidi bali kuua raia wa palestina 40 kwa siku maana sio "binadamu". Sasa unasifiaje watu wanaouwa raia na kuacha magaidi?
View: https://youtube.com/shorts/aljV8z-ULrc?si=3LzSfKXX3MD9c49h
Huko mbeleni nafikiri kila nchi zitaanza kuzuia watu .Ili china wameweza wahamiaji haramu na wahamiaji bila sababu
Walimtoa na kumrudisha kivipi wakati huwa ni mazungumzo ya viongozi tu kuamua nani awe waziri mkuu, wala wananchi hawana maamuzi.Wewe uko Tanzania nyuma ya keyboard unaumia ila waisrael wanakubali huo mfumo ndo maana walimtoa netanyau kama waziri mkuu na wakamrudisha
Magaidi gani?Magaidi yakimaikia netanyahu yanaona kifo hiki, gaidi haipaswi kucheka nae
Sasa kushangilia ndio kuna uhusiano gani na ugaidi? Yaani mnafanya yale yale wanayofanya magaidi sasa na nyie si mnakua magaidi tu.Wale walishamgilia mauaji na walisaidia magaidi kuficha mateka , kama hamas walivoua raia wa israel ndio nao wanauliwa
Hamna lolote, mbona anafadhili magaidi wa Sudan, Uturuli, Syria, Somalia, na Iraq? Huyo ni tapeli tu sema wengi humu mnaendeshwa na mahaba ya kidini na hamfuatili siasa za mashariki ya kati kabisa.Bibi ndie kiboko ya wavaa vipedo, min pants, barkhashia na vilemba
Ukijichanganya tu una wahishwa akhera..
Sasa si ndio maana Hamas mnawaita magaidi, kama Israel nayo inaua tu raia wasio na hatia inakua UGAIDI ule ule inaoupinga.kwai Hamas wakirusha makombora na marocket kwenda Israel huwa yanachagua yaue nani,si yanaua wote watoto na wanawake?,...acha watwange tu
Alijipa uwaziri mkuu acha ushabikiWalimtoa na kumrudisha kivipi wakati huwa ni mazungumzo ya viongozi tu kuamua nani awe waziri mkuu, wala wananchi hawana maamuzi.
Fikiria jamaa alikataliwa kwa kupata 20% ila bado alijipa uwaziri mkuu!!
Ndio maana nimekuuliza hiyo ndio demokrasia gani sasa? Yaani hadi anazidiwa na Iran wananchi wanaopigia kura Rais wao!! Embarassing
kujifariji kunarusiwaSasa si ndio maana Hamas mnawaita magaidi, kama Israel nayo inaua tu raia wasio na hatia inakua UGAIDI ule ule inaoupinga.
Na huyo waziri wa usalama kasema wazi kabisa kuwa walikua wanawalenga maksudi raia ili kila siku waue raia 40 au zaidi!!
Na ndio maana ana kesi ICC, haki ikitendeka lazima anyongwe labda asikanyage nchi yoyote mwanachama wa ICC
Israel wasingekuwa imara leo hii wangeshauliwa wote na magaidiSidhani kama Israel na wayahudi kwa ujumla kama wako na wanajihisi kuwa salama chini ya uongozi wa netanyahu. Huwezi kuwa salama chini ya uongozi wa mpenda damu za watu kama netanyahu
Waache hivyohivyo wajinga hao waliojidai wana huruma na watu wasiojielewa.Arabs? Radical/fundamentalists Moslems?Kwa kigogo tunasema "kuluwona luulo,leka sikong'ane"!Ukiangali kinachoendelea ufaransa lazima utakubaliana na mimi wanahitaji kiongozi aina ya benyamini Nentanyau
Kwanini nasema hivi diaspora kutoka algeria, morocco, na tunisia ndo wanaongoza kuiharibu nchi
Psg ikishinda wanachoma nchi, morocco ikifungwa nchi inachomwa, watu wakiandaa maandamano ya amani wana-hijack na kuanza kuchoma nchi
Liberal policy zimefeli europe ni wakati wa conservative na hardliner mfano wa Netanyau wote sisi ni mashahidi netanyau anafanya kaz nzuri sana ya kuilinda nchi yake angekuwa dhaifu leo hii wananchi wote wa israel wangekuwa wamechinjwa sasa france inahitaji kiongozi aina ya Netanyau ili kuclean mess na kudeal na magaid wa ndani nchi ambayo wanatamani kuona nchi inapotea
Watu wanachoma nchi huku wanapeperusha bendera za palestina, algeria na morocco yaani mtu amezaliwa ufaransa ila anaipenda sana morocco, algeria au tunisia ukiwaambia waende hawataki
french wanafeli sana wanapowachekea
Marekani na nchi za ulaya hazijawahi kuishambulia morocco, algeria au tunisia nchi ambazo zimepeleka watu wengi france kwa hiyo hakuna sababu ya kuichoma nchi ambayo umezaliwa
Akina Beny Saanane na Azory Gwanda wako wapi? Yeye ndiye aliyeamurisha Tundu Lissu auawe.Lakini Magufuli hakuwahi kutuhumiwa kwa uhalifu dhidi ya binadamu lakini Netanyahu ana arrest warrant anatakiwa kukamatwa kwa mauaji ya kimbari ya watoto wachanga wa Kipalestina.