Huyu ni balaa. Anasema miezi 18 tu Hamas watakuwa historia. Anasema anaona kama Netanyau anawabembeleza sana na amekuwa soft kinyama.
Ndugu zanguni.... Tumwombee ashinde Netanyau. Huyu ni kafir zaidi ni bora na Jini tulijualo. Huyu hapana na ana historia ya jeshi. Na alivyo amekaa kibabe...
Wamekuwa wakimponda kuwa hajaweza peleka moto wa kutosha kwa Palestina. Juu ya Hamas na Hezbollah. Wanadai Netanyau amekuwa na moyo wa kike si jasiri. Ni mtu mwenye Huruma na Huruma si malezi kabisa ...
Wanasema kama wao wakipata nafasi Gaza itakuwa sehemu salama duaniani hakuna tena. Iran...
Ukiangali kinachoendelea ufaransa lazima utakubaliana na mimi wanahitaji kiongozi aina ya benyamini Nentanyau
Kwanini nasema hivi diaspora kutoka algeria, morocco, na tunisia ndo wanaongoza kuiharibu nchi
Psg ikishinda wanachoma nchi, morocco ikifungwa nchi inachomwa, watu wakiandaa maandamano...
Netanyau, Itakuwa siku ya furaha sana misikitini na uswahilini. Huyu mwamba kaua viongozi wengi sana wa Irani na waarabu.
Ni mbabe vibaya sana ameshindikana. Khayatollah alikufa kama panya. Viongozi wa IRGC wanaishi katika hofu kubwa sana na mashaka. Hii yote ni sababu ya Netanyau.
Hasara...
Netanyahu aiambia CNN anapinga uuzaji wa ndege za F-35 nchini Uturuki huku akipuuza kudharauliwa na Trump
Katika mahojiano na CNN, Netanyahu alionya kwamba uuzaji wa ndege za kivita za hali ya juu zaidi za Marekani "haufanyi Uturuki kuwa taifa rafiki kwa Marekani." Katika sehemu ya mzozo...
Prime Minister Benjamin Netanyahu will give a televised statement tonight at 8:30, followed by a virtual press conference with foreign reporters, his office says.
This will be the second virtual press conference Netanyahu has given since the war began 20 days ago
Kama wanaweza ku-hit target zilizoko katika mataifa jirani ya kiarabu kama Airport ya Dubai, n.k, wanashindwa nini kumlq kichwa Netanyau alieua kiongozi wao?
Sikumpenda Ayatollah kwa ukatili wake, lakini pia siipendi zaidi US na Israeli kwa mauji na uonevu kisa tu masilahi yao ya kiuchumi huku...
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, asubuhi ya leo september 24, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben-Gurion, kabla ya kuondoka kuelekea Marekani kwa ziara ya kidiplomasia, ambapo atahutubia Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa na kukutana na Rais wa Marekani Donald Trump:
"Sasa ninaondoka...
Ofisi ya Waziri Mkuu ilisema vita vinaweza kumalizika mara moja ikiwa masharti matano yatatimizwa -. kuachiliwa kwa mateka wote; kupokonywa silaha kwa Hamas; kuondolewa kijeshi kwa Ukanda wa Gaza; udhibiti wa usalama wa Israel huko Gaza; na "kuanzishwa kwa utawala mbadala wa...
Prime Minister Benjamin Netanyahu will convene his security cabinet at 6 p.m. Thursday at his office in Jerusalem, according to the Prime Minister’s Office, where it is expected to approve fresh plans for the continuation of the war in Gaza.
During a three-hour security discussion among a...
Inaripoti kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, mwenye umri wa miaka 75, ameathiriwa na food poisoning (sumu ya chakula) na kupata intestinal inflammation (uvimbe wa utumbo) pamoja na upungufu wa maji mwilini (dehydration).
Ameanza kupatiwa matone ya maji moja-for-one (IV fluids) na atapumzika...
moja ya viongozi wakuu wa kidini nchini Iran 🇮🇷 Ayatollah Makarem Shirazi, ametoa wito kwa waislam kote Duniani, kuwaua Donald Trump na Benjamin Netanyahu, akiwaita viongozi hao kuwa ni “maadui wa Mungu
===
Kiongozi Mkuu wa Kidini wa Iran Atoa Fatwa Dhidi ya Rais wa Marekani Donald Trump na...
Israel imefanikiwa kuuwa viongozi wa kijeshi wa iran sio wote ila wengi imewaua kuwapata watu wenye uzoefu kama hawa itachukua mda sana
Israel imefanikiwa kuwauwa baadhi ya wataalamu wa nyuklia hii ni achievement kubwa sana fahamu kuwapata watu kama hawa itachukua mda mrefu sana
Hii inakupa...
Wadau hamjamboni Britain has “grave concerns” over Iran’s nuclear program and believes Israel has the right to self-defense, Prime Minister Keir Starmer told his Israeli counterpart Benjamin Netanyahu on Friday, Starmer’s spokesperson says.
“The prime minister was clear that Israel has a right...
Wadau hamjamboni nyote. Advertisement
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema katika taarifa ya video kuwa agizo la kuangamiza mpango wa nyuklia wa Iran lilitolewa mwezi Novemba 2024, na ameahidi kutoa taarifa za video kila siku pale itakapowezekana.
"Agizo hilo lilitolewa muda...
Wadau hamjamboni nyote/. Hakiki ni Raha kubwa kwangu kujua kuwa Mwamba wa ukweli Benjamin Netanyau yuhai kabisa. Yes indeed he's very much alive. Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu is set to speak to US President Donald Trump later today, according to an Israeli official.
Netanyahu...
Wadau hamjamboni nyote?
Maelfu ya Waafghani wameandamana katika maeneo mbalimbali ya nchi kupinga mashambulizi ya Israel dhidi ya Hamas huko Gaza, wakijibu wito wa kitaifa uliotolewa na mamlaka ya Taliban.
Umati mkubwa wa watu umekusanyika katika miji kadhaa baada ya sala, wakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.