Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Wamekuwa wakimponda kuwa hajaweza peleka moto wa kutosha kwa Palestina. Juu ya Hamas na Hezbollah. Wanadai Netanyau amekuwa na moyo wa kike si jasiri. Ni mtu mwenye Huruma na Huruma si malezi kabisa ...
Wanasema kama wao wakipata nafasi Gaza itakuwa sehemu salama duaniani hakuna tena. Iran itanyooshwa kisawa sawa. Wanasema huko Gaza kutakuwa ni uwanja tu mmoja mkubwa wa wazi. Hakuna jiwe litasimama juu ya jenzie.
Wamemponda sana Netanyau kuwa si mtu shupavu hawezi kuWachabanga magaidi ipasavyo na ana msimamo wa wastani. Kampeni zao zimewafanya wapalestine wengi waanze Kumuunga mkono Netanyau na kumwombea maisha marefu na ushndi katika uchaguzi. Iran nayo imejiunga katika jambo hili kwa namna flani ikimtaka Netanyau aendelee kuwaongoza waisrael.