Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,912
- 46,240
Huyu watamuuahassan jah
Huyu watamuuahassan jah
Wanaibuka wapya kila siku kuna yule dogo anaitwa zaydi nae ana wachamba kweli kweliHuyu watamuua
Hawashindwi kitu hao linapokuja suala la kuuaWanaibuka wapya kila siku kuna yule dogo anaitwa zaydi nae ana wachamba kweli kweli
Kuna mwingine anaitwa GONG ni shida
Wataweza kuwauwa wote sasa
Wapinzani gani? Hao right wing wote kina Smotrich, israel Katz na Itamar Ben-Gvir wote hao hawana ushawishi ni vyama vidogo kama APPT maendeleo au Jahazi Asilia.Wamekuwa wakimponda kuwa hajaweza peleka moto wa kutosha kwa Palestina. Juu ya Hamas na Hezbollah. Wanadai Netanyau amekuwa na moyo wa kike si jasiri. Ni mtu mwenye Huruma na Huruma si malezi kabisa ...
Wanasema kama wao wakipata nafasi Gaza itakuwa sehemu salama duaniani hakuna tena. Iran itanyooshwa kisawa sawa. Wanasema huko Gaza kutakuwa ni uwanja tu mmoja mkubwa wa wazi. Hakuna jiwe litasimama juu ya jenzie.
Wamemponda sana Netanyau kuwa si mtu shupavu hawezi kuWachabanga magaidi ipasavyo na ana msimamo wa wastani. Kampeni zao zimewafanya wapalestine wengi waanze Kumuunga mkono Netanyau na kumwombea maisha marefu na ushndi katika uchaguzi. Iran nayo imejiunga katika jambo hili kwa namna flani ikimtaka Netanyau aendelee kuwaongoza waisrael.
Kobazi vichwa moto mana kama mayahudi yabasema bibi ni dhaifu na ukiangalia katekekeza magaidi wengi,je wakiingia hao wapinzani wa bibi itakuaje.Wamekuwa wakimponda kuwa hajaweza peleka moto wa kutosha kwa Palestina. Juu ya Hamas na Hezbollah. Wanadai Netanyau amekuwa na moyo wa kike si jasiri. Ni mtu mwenye Huruma na Huruma si malezi kabisa ...
Wanasema kama wao wakipata nafasi Gaza itakuwa sehemu salama duaniani hakuna tena. Iran itanyooshwa kisawa sawa. Wanasema huko Gaza kutakuwa ni uwanja tu mmoja mkubwa wa wazi. Hakuna jiwe litasimama juu ya jenzie.
Wamemponda sana Netanyau kuwa si mtu shupavu hawezi kuWachabanga magaidi ipasavyo na ana msimamo wa wastani. Kampeni zao zimewafanya wapalestine wengi waanze Kumuunga mkono Netanyau na kumwombea maisha marefu na ushndi katika uchaguzi. Iran nayo imejiunga katika jambo hili kwa namna flani ikimtaka Netanyau aendelee kuwaongoza waisrael.
Wapinzani gani? Hao right wing wote kina Smotrich, israel Katz na Itamar Ben-Gvir wote hao hawana ushawishi ni vyama vidogo kama APPT maendeleo au Jahazi Asilia.
Mpinzani mkuu ni Gadi Eizenkholt ambaye ni moderate sio kichaa kama Netanyahu.
Pia ikumbukwe Netanyahu alipata 22% pekee ya kura kwenye uchaguzi uliopita cha ajabu alikua waziri mkuu bila kupata majority ya wabunge au kura!!
Anguko lake limeshafika, na ajiandae tu kwenda jela maana kesi ya ufisadi na rushwa imefika stage ya hukumu.
Ayatollah yuko wapi?mbona hajitokezi tumuone.Binadamu hawezi kuwa balaa mbele ya nguvu za MUNGU
Mwenyewe anamuomba MUNGU Mkuu
Yeye ni sehemu ya waogo ktk Dunia sababu Wajuzi wanatwambia ukiona mtu katili sana basi jua ni Muoga sana wa kifo
Uyo zombi wampitishe tu aje ulingoni mwenzie kalala kwenye mashimo Trump mwenyewe kawekwa kwenye
Sufuria za misosi kukimbia kifo chake 😀 watu wameshachoka ujinga ujinga!!!
Duniani hakuna Mwamba mbele ya Mungu
umeumbwa na nyama yenye kuoza
Unanini kuwatisha Wengine Watakutokomeza tu kama nyau wengine !!!!!!
Lilishaanza, hujui last time alipata 22% na kama sio lobbying na kubebwa na vyama vidogo asingekuwa waziri mkuu.Hili anguko ni mwaka wa 4 huu tunaliombea
Yes limefika, ana kesi ICC mpaka leo hawezi kanyaga nchi za ulaya hasa wanachama wa ICC kote.Tunasema limeshafika
Kesi ya rushwa imefikia stage ya hukumu, na hata Trump alipomuomba rais wa Israel Hezrog amsamehe alikataa so jela inamuita.Hayo ya Jela watu wamehangaika nayo sana.
Ndio wamesimama kidete ndio maana jaji wa Afrika kusini aliyehusika kumfungulia kesi Netanyahu ICC kapewa tuzo ya Nobel.South Africa walisimama kidete but wameishia kufukuza waafrika wenzao wasikae kwao maana hawana suluhisho na serikali yao bwege.
Wala hachukiwi sababu ni myahudi ila matendo yake maovu hasa kuanzisha vita kwa malengo yake ya kisiasa.Zamani nami nlikuwa kama wewe nlimchukia sana Netanyau sababu ni Myahudi na sisi tulishaambiwa tuwachukue hao na makafir.
Unamkubali muuaji watoto wasio ma hatia? Basi haujawahi kumchukia Netanyahu wala matendo yake maana ameanza miaka ya 90 sio janaSasa nmejikuta namkubal sana huyu mwamba
Lilishaanza, hujui last time alipata 22% na kama sio lobbying na kubebwa na vyama vidogo asingekuwa waziri mkuu.
Yes limefika, ana kesi ICC mpaka leo hawezi kanyaga nchi za ulaya hasa wanachama wa ICC kote.
Kesi ya rushwa imefikia stage ya hukumu, na hata Trump alipomuomba rais wa Israel Hezrog amsamehe alikataa so jela inamuita.
Ndio wamesimama kidete ndio maana jaji wa Afrika kusini aliyehusika kumfungulia kesi Netanyahu ICC kapewa tuzo ya Nobel.
Wala hachukiwi sababu ni myahudi ila matendo yake maovu hasa kuanzisha vita kwa malengo yake ya kisiasa.
Unamkubali muuaji watoto wasio ma hatia? Basi haujawahi kumchukia Netanyahu wala matendo yake maana ameanza miaka ya 90 sio jana
Ayatollah yuko wapi?mbona hajitokezi tumuone.