Nimesikiliza baadhi ya tuhuma, ushauri, mtazamo n.k alivyotoa Lema kuhusu mambo, vitu, watu n.k ila kwa kifupi ni kwamba maongezi yake ni dhaifu sana ikizingatiwa yametolewa na mtu kama yeye aliye kwenye siasa kwa miongo kadhaa.
Nitaelezea badae udhaifu wake ila kwa sasa nitakazia hoja yangu...