Course Coordinator1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2025
- 857
- 2,341
Huwa nachukua sana kusikia kauli kama hizi
Bado tunajifunza na kukua katika mfumo wa demokrasia”
Demokrasia yetu bado ni changa
Hizi ni kauli za kisiasa zilizo dhaifu ambazo viongozi walioko madarakani huzitumia kukandamiza wengine kuonyesha kuwa, demokrasia ya nchi bado iko katika hatua ya maendeleo haijakomaa kikamilifu
Kuna changamoto kwa vyama vya vya upinzani kwamba wao hawana ofisi, kwamba wagombea wao hawajui kujaza fomu wanaenguliwa hovyo hovyo wakati wa kugombea.
Viongozi wa CCM na wa serikali wanaosimamia uchaguzi wanaweza fanya chochote kwa vyama vya upinzan kuitumia vyombo vya dola na wananchi wasifanye chochote.
Huku ni kudharau wananchi na kukiuka uwajibikaji na kushindwa kuleta mageuzi ya kuweka mfumo wenye HAKI na USAWA.
Watu wamechoka na porojo za CCM, watu hawataki tena HAKI yao kuporwa ya Oktoba ni kuchoka na drama za CCM, watu wanatangaziwa UCHAGUZI utakua HURU na HAKI halafu kwenye uchaguzi, wati wanauwawa, watu wanatekwa nk kisa tu uchaguzi.
Hii kauli ni kisingizio cha kuhalalisha makosa yanayorudiwa bila hatua madhubuti za kuboresha hali iliyopo.
Kila mwaka katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi inahaidiwa lakini makosa ni yale yale, toka 2014 hakuna Katiba Mpya hakuna Tume Huru.
Toka ameingia madarakani ameunda tume zaidi ya 6 zote zimetoa mwelekeo wa kubadili mambo yakiwemo ya haki jinai,polisi kujirekebisha, kukomesha utekaji lakini uwajibikaji na utashi wa kisiasa ni ziro.
Bado tunajifunza na kukua katika mfumo wa demokrasia”
Demokrasia yetu bado ni changa
Hizi ni kauli za kisiasa zilizo dhaifu ambazo viongozi walioko madarakani huzitumia kukandamiza wengine kuonyesha kuwa, demokrasia ya nchi bado iko katika hatua ya maendeleo haijakomaa kikamilifu
Kuna changamoto kwa vyama vya vya upinzani kwamba wao hawana ofisi, kwamba wagombea wao hawajui kujaza fomu wanaenguliwa hovyo hovyo wakati wa kugombea.
Viongozi wa CCM na wa serikali wanaosimamia uchaguzi wanaweza fanya chochote kwa vyama vya upinzan kuitumia vyombo vya dola na wananchi wasifanye chochote.
Huku ni kudharau wananchi na kukiuka uwajibikaji na kushindwa kuleta mageuzi ya kuweka mfumo wenye HAKI na USAWA.
Watu wamechoka na porojo za CCM, watu hawataki tena HAKI yao kuporwa ya Oktoba ni kuchoka na drama za CCM, watu wanatangaziwa UCHAGUZI utakua HURU na HAKI halafu kwenye uchaguzi, wati wanauwawa, watu wanatekwa nk kisa tu uchaguzi.
Hii kauli ni kisingizio cha kuhalalisha makosa yanayorudiwa bila hatua madhubuti za kuboresha hali iliyopo.
Kila mwaka katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi inahaidiwa lakini makosa ni yale yale, toka 2014 hakuna Katiba Mpya hakuna Tume Huru.
Hatua zingechukuliwa mapema leo hii kama Taifa tusingekua hapa tulipo.
Tumefika hapa kwa sababu ya watu wachache kujimilikisha umiliki wa nchi na kutaka kusikiliza wananchi.Toka ameingia madarakani ameunda tume zaidi ya 6 zote zimetoa mwelekeo wa kubadili mambo yakiwemo ya haki jinai,polisi kujirekebisha, kukomesha utekaji lakini uwajibikaji na utashi wa kisiasa ni ziro.