Timu iliyojaa mashabiki wanaotegemea uchawi na nguvu za serikali ni dalili za woga na kutojiamini katika mpira.
Mashabiki wanamtukana mchezaji mmoja kwa ushirikiano na wadangaji wa kwenye mitandao huku wakimtisha eti timu yao ina watu na mkono mrefu hadi serikalini?!!
Huku ni kuonesha udhaifu mkubwa wa mbwa anayebweka akiwa kwenye mnyororo wa bosi wake.
Kuanzia rais wao,msemaji ,machawa hadi wadangaji wao wameelekeza nguvu kumtukana mchezaji mmoja na kuanza kumtishia eti hapa sio kwao?!!
Tangu rais wao achukue madaraka soka limekuwa ni uadui na ipo siku mambo yatakuwa mabaya sana hususan watakaposhindwa kunyakua ubingwa wanaoupata kwa kutumia mipango ya nje ya uwanja zaidi kuliko ndani ya uwanja.
Soka imefanywa kama siasa za uadui zinavyotamalaki hapa nchini