dhaifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kadamlo

    SoC03 Utawala dhaifu katika Taifa

    Utawala dhaifu Utawala dhaifu ni utawala ambao haujajikita katika njia moja ya kiutawala ambayo ni imara na ya haki, ndani ya utawala kuna itikadi na misimamo tofauti,ndani ya serikali hakuna kundi la kudumu la waamuzi,ukoloni mambo leo una watumia baadhi ya watawala,utawala usio jitegemea...
  2. mdukuzi

    Picha: Chama alikuja Simba akiwa na afya dhaifu

  3. G

    SoC03 Mfumo wa elimu wa nchi yetu hauendani na kasi ya maendeleo ya dunia ya sasa

    Mfumo Mbovu wa Elimu Tanzania: Elimu ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na ustawi wa taifa. Hata hivyo, katika karne hii ya teknolojia na maendeleo ya haraka, ni muhimu kutathmini na kuboresha mfumo wa elimu ili kukidhi mahitaji ya dunia ya kisasa. Katika kesi ya Tanzania, mfumo wa elimu...
  4. Tlaatlaah

    Upinzani Tanzania ni dhaifu na Kibogoyo

    wasalam, Natafakari juu ya mbadala wa Serikali Tanzania, yaani upinzani sipati majibu. Kuna umuhimu wa kua na upinzani kweli? Umuhimu wake uko wapi? Ikiwa kila Jambo linakuja na linapita kama lilivyo bila pingamizi lolote popote, si ndani ya Bunge au nje ya Bunge. Je, kuna Serikali mbadala...
  5. Pascal Mayalla

    Je, ni Kweli Bunge letu ni Dhaifu na Kibogoyo?

    Wanabodi Niko hapa ukumbi wa hoteli ya Serena, jinini Dar es Salaam, kwenye mjadala wa kujadilli ubinafshaji wa Bandari, kwa kampuni ya DPW ya mwarabu wa Dubai, ulioandaliwa na taasisi mpya kabisa ya habari inayoitwa MB (Media Brains), inayoundwa na Manguli wabobezi na wabobevu wa habari nchini...
  6. Dr Matola PhD

    Wanatamani kusema Azam ni dhaifu lakini wakikumbuka wamekandwa nayo wanatunza akiba ya maneno

    Comments ziwe fupifupi.
  7. S

    Yanga akishinda ugenini, hoja ya kusema USM Alger ni timu dhaifu haitokuwepo tena kwani wanaisifu kuwa ni bora kuliko Yanga

    Yanga angeshinda hapa nyumbani, Makolo wangekuja na hoja nyepesi kuwa USM Alger ni timu dhaifu kama zingine zinazoshiriki Kombe la Shirikisho na ndio maana wamefungwa na Yanga. Kwakuwa Yanga kafungwa na sasa wanaisifia USM Alger, basi matokeo yakiwa tofauti huko Algeria, hawatathubutu kusema...
  8. ThisisDenis

    Mwanamke ni kiumbe dhaifu

    Habari za wakati huu wakuu, naomba nitoe kidogo duku duku langu na kujifunza juu ya mapenzi na udhaifu wa mwanamke uko wapi, Duku duku langu linaanzia pale tu unapotaka kutongoza au kumuoa mwanamke, walio wengi tunawakosea sana hawa wenzetu wa kike kwa sababu zifuatazo, Mwanamke ni mtoto...
  9. Mwamuzi wa Tanzania

    Hayati Magufuli alikuwa Rais mwovu, Samia Suluhu ni Rais dhaifu. Binafsi heri Rais dhaifu kuliko mwovu

    Kila mwenye akili timamu anajua kuwa Magufuli alikuwa Rais wa hovyo na mwovu. RAIS ambaye alikuwa anakiri hadharani kuwa pesa za serikali ni pesa zake. Alikuwa akisema "pesa zangu". Alikuwa na uhuru wa kuchota mihera ya serikali na kuigawa kwa siri na hadharani ili ajiimarishe kisiasa. RAIS...
  10. William Mshumbusi

    Timu dhaifu tupu ndio zimebaki shirikisho. Hakuna inayoizidi Simba kwenye rank za CAF 2023

    Ukipanga timu ishirini Bora Afrika kwenye rank za CAF ni timu 2 tu ndizo zinacheza shirikisho, Piramid 10 na Asec ya 20 wengine wote hawamo ata moja ivi mnapata wapi nguvu ya kuelezea ubora wa Yanga wenu hapo? Tp mazembe kashinda mechi 1 tu makundi ndio wa kuzungumzia. Clab bingwa yamebaki...
  11. GENTAMYCINE

    Endeleeni Kujidanganya kuwa mtakacheza nao nafasi ya Pili ni timu dhaifu

    Yaani Wanafunzi Wote mmefaulu kwa kupata Division I halafu kwa Upumbavu wako usio hata na Aibu unajiona Wewe ni Bora kuliko Wengine. Kuna Watu mnaugua Akili sana tu!!
  12. B

    Yanga watafika fainali CAFCC

    Kwa hali ilivyo sasa Yanga wanaweza kuivuka Historia ya SIMBA. I am a SImba Fan lakini SIMBA mwaka Jana kulikuwa na timu kama BERKANE ORLANDO. This Time CAFCC kuna timu nyingi lakini za kawaida sana mfano future pyramid FAR RABAT na Rivers zote za kawaida sana.
  13. Makonde plateu

    Mwanamke hasomeshwi, wanaume mnafeli wapi? Ona wanaume acheni kuwa dhaifu

    Patrick Oita Nyapara, ambaye ni police nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 7 baada ya binti huyo kumkataa, pindi alipomaliza masomo Chuo Kikuu. Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba alimchukua mdada huyo aliyejulikana kwa jina la Christine Maonga kutoka katika familia duni kijijini...
  14. kavulata

    Vita yetu dhidi ya ushoga ni dhaifu sana

    Wazungu wanao msemo wao maarufu usemao "nionyeshe rafiki zako ili nikwambie tabia yako", wakimaanisha kuwa kama ukiwa na marafiki shoga na wewe upo uwezekano mkubwa ni shoga vilevile au huuchukii ushoga hata kama wewe sio shoga. Baba yangu alikuwa sheikh mkubwa lakini alikuwa na marafiki zake...
  15. Dr Matola PhD

    Tuwe wakweli, kuna timu dhaifu inaweza kuingia kwenye ligi ya makundi CAF?

    Kuna mbumbumbu Tanzania hili halipingi, leo Nina swali moja tu, naomba nielimishwe mchakato unaopitia timu mpaka kufika kwenye makundi ni UPI? Tukishaujuwa mchakato huo tueleza ukweli je kuna timu dhaifu unaweza kutobowa kufika makundi? Kama jibu ni ndio turudi kwetu tujiulize Simba na Yanga...
  16. K

    Muungano wetu una changamoto tu, hauna matatizo. Tusitumie hoja dhaifu kuubeza, kuubagaza na kuukejeli

    Wasalamu Kama ilivyo ada, ninapenda kuchukua nafasi na muda huu kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema na Uhai. Pia ,ninawapongeza viongozi wa serikali wakiongozwa na Rais Samia kwa juhudi na jitihada mbalimbali wanazoonesha katika kuongoza nchi yetu kwa kuzingatia maslahi mapana ya...
  17. Dr. Zaganza

    Hii ndiyo Nyumba Dhaifu zaidi Duniani

    "Mfano wa walio wafanya walinzi badala ya Mwenyezi Mungu, ni mfano wa buibui alivyo jitandia nyumba. Na hakika nyumba dhaifu mno kuliko zote ni jumba la buibui, laiti kuwa wanajua." (Qurani 29:41)
  18. W

    Huyu mke mbona anaipenda sana kauli, 'mwanamke ni kiumbe dhaifu'?!!!

    Kila tukijadili mambo ya maadili, hususani kukua kwa ufuska kwa vijana wetu wa kike au labda taarifa fulani inayohusu visa vya mapenzi tunavyovisikia kwenye TV au mtaani hapa, basi kauli hii humtoka bila kukawia. Yaani mijadala mitano tuliyoifanya hivi karibuni, ameitoa hiyo kauli Mara nne...
  19. NetMaster

    Wengi tuna 'depression' lakini tunaogopa kuongelea kwa kuhofia kuonekana dhaifu, kutangazwa, kuchekwa na tunaowashirikisha kufurahia tunayopitia

    Hasa wanaume tunashindwa kusema ukweli kwamba tuna depression kwasababu tunaogopa kuonekana dhaifu kama wanawake, pia namna ambavyo jamii inamchukulia mwanaume inamuona kama kiumbe ambaye anatakiwa awe ngangali muda wote ila kiuhalisia depression haichagui mwanaume wala mwanamke. Wengi sana...
  20. IamBrianLeeSnr

    Wanaume ni dhaifu na hawajiamini mbele ya wanawake

    Kwa kawaida mtu anayeamini kwamba, ni dhaifu, hujaribu kwa kila njia kuficha udhaifu wake, na moja ya njia hizo ni kujikweza ili kujaribu kumshusha yule ambaye anadhani anamzidi. Mtu asiye na nguvu anaweza kujitahidi kupiga kelele, kupiga ‘mikwala’ na vitisho, na watu wanapomwogopa, hupata...
Back
Top Bottom