Netanyau kuzungumza na waandishi wa habari usiku huu

Netanyau kuzungumza na waandishi wa habari usiku huu

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Prime Minister Benjamin Netanyahu will give a televised statement tonight at 8:30, followed by a virtual press conference with foreign reporters, his office says.

This will be the second virtual press conference Netanyahu has given since the war began 20 days ago
 
Prime Minister Benjamin Netanyahu will give a televised statement tonight at 8:30, followed by a virtual press conference with foreign reporters, his office says.

This will be the second virtual press conference Netanyahu has given since the war began 20 days ago
So what? Hawezi amua lolote bila Trump kusema so this press conference is irrelevant
 
Atazungumza kutokea makaburi gani?

Maana bado hajazikwa!
img_1_1773929837362.jpg
 
Litakua sanamu lake. Na wanavopelekewa moto huko Israel wanaomba Iran asimamishe vita nae kagoma🤣🤣
 
Vita vya Iran na Israeli: Netanyahu asema Iran haina uwezo wa kurutubisha uraniamu, kutengeneza makombora ya balestiki

Pentagon inatafuta dola bilioni 200 kama fedha za ziada kwa ajili ya vita vya Iran, afisa mkuu wa utawala anasema

Bei ya nishati ilipanda Alhamisi (Machi 19, 2026) na hisa zilishuka huku Iran ikishambulia vituo kadhaa vya nishati vya Ghuba na kuonya kuhusu zaidi kama kulipiza kisasi kwa shambulio kwenye moja ya visima vyake muhimu vya gesi. Mafuta ghafi ya Brent yalipanda zaidi ya $115 kwa pipa huku Tehran ikitishia kulenga mitambo ya kikanda baada ya Israel kushambulia eneo linalohudumia shamba lake kubwa la South Pars, ambalo inashiriki na Qatar.

Hofu kuhusu usambazaji wa nishati duniani ilisababisha bei ya gesi ya Ulaya kupanda kwa zaidi ya 30%, huku mafuta ghafi ya Brent yakipanda kwa 7%.
 
Kuna makobaz mpaka Sasa wanaaminishana kwamba Netanyahu aliaga dunia, haya huyo hapo atahojiwa na wanahabari mubashara.
Huyu jamaa ni kiboko wa hawa watu
zitto junior MOTOCHINI
Huyo ni clone aliyevaa kinyago chake kiazi wa kikenya wewe.
Yeriv ameshachaguliwa kuwa interim wake muda sana.
 
Vipi leo pete haijaonekana na kupotea?
Hiyo video ni AI
Angalia mkono wa kushoto shati jeupe linajitokeza akiendelea kuongea halafu weupe bendera nyuma yake unapotea wakati Hilo shati jeupe linajitokeza
Na ilikua virtual, hakuwa chumba kimoja na waandishi,huyu jamaa itakua aidha kafa au kajeruhiwa vibaya
 
Back
Top Bottom