Netanyau kuzungumza na waandishi wa habari usiku huu

Netanyau kuzungumza na waandishi wa habari usiku huu

Attachments

  • 2026_03_20_12_59_58.mp4
    4.8 MB
  • IMG_20260320_073817_410.jpg
    IMG_20260320_073817_410.jpg
    64 KB · Views: 12
Yeriv mwenyewe kuna habari nae kang'ata dongo

Kuna Drone matata sana zinatokea kwa Hezbollah.

kunauwezekano
Vijana wa Shirika la Ujasusi la Iranian. ndio linaendesha iyo Operation kuwasaka Mawaziri na Makamanda wakuu...

wa IDF +Mossad +Shinbet +kidon Nk.

Viongozi Wa Israel wanapata tabu sana ndani ya Israel..
 

Attachments

  • 4c9568d48f9ff32m022_800C450.jpg
    4c9568d48f9ff32m022_800C450.jpg
    44.4 KB · Views: 13
Huyu kang'ata dongo,wanaleta AI tu,hapo waandishi hakuna,ni virtual


Netanyahu tutamkumbuka kama
Shetani zombi zombi lilipaswa kufa mapemaaa sana !!!

Mishetani kama hii aina nafasi kwenye Dunia ya Wastaraabu.

Sasa Dunia inatanabai kuondokewanae.!!
Neno Free free PALESTINE 🇵🇸 litaendelea!!

PALESTINE ipo pale pale na watu wake masikini lkn

jini NETANYAHU limetokomeaaa.
 
Hiyo video ni AI
Angalia mkono wa kushoto shati jeupe linajitokeza akiendelea kuongea halafu weupe bendera nyuma yake unapotea wakati Hilo shati jeupe linajitokeza
Na ilikua virtual, hakuwa chumba kimoja na waandishi,huyu jamaa itakua aidha kafa au kajeruhiwa vibaya
😅😃 Kobazi na magaidi mnakuja kumuuwa huyu mbabe wenu kwa key board na mitandaoni
 
😅😃 Kobazi na magaidi mnakuja kumuuwa huyu mbabe wenu kwa key board na mitandaoni
Angalia hiyo video niliyokuwekea,shati jeupe linapotokeza rangi nyeupe ya bendera nyuma ya mkono inapotea,na shati jeupe linajitokeza vipi!?.. halafu huo mkutano waandishi hawakuonana live na netanyahu ilikua virtually na hawakupost kwenye mitandao yao
 

Attachments

  • 2026_03_20_12_59_58.mp4
    4.8 MB
  • IMG_20260320_073817_410.jpg
    IMG_20260320_073817_410.jpg
    64 KB · Views: 10
Angalia hiyo video niliyokuwekea,shati jeupe linapotokeza rangi nyeupe ya bendera nyuma ya mkono inapotea,na shati jeupe linajitokeza vipi!?.. halafu huo mkutano waandishi hawakuonana live na netanyahu ilikua virtually na hawakupost kwenye mitandao yao
Kwaiyo na wewe unaamini amekufa
 
Kwaiyo na wewe unaamini amekufa
Kufa mtu siyo suala la imani,swali hapa ni kwa nini wanatoa picha za akili mnemba na netanyahu kakosa kuhudhuria vikao Saba vya ngazi ya juu vya kiusalama
 
Kufa mtu siyo suala la imani,swali hapa ni kwa nini wanatoa picha za akili mnemba na netanyahu kakosa kuhudhuria vikao Saba vya ngazi ya juu vya kiusalama
Netanyahu ni mzima wa afya
Hakuna Kobazi wala gaidi yoyote wa kumrushia hata kokoto
Netanyahu yupo kuteketeza magaidi wa Iran
Vipi nikupe list ya viongozi na wafadhili wa ugaidi waliouliwa Iran?
 
Netanyahu ni mzima wa afya
Hakuna Kobazi wala gaidi yoyote wa kumrushia hata kokoto
Netanyahu yupo kuteketeza magaidi wa Iran
Vipi nikupe list ya viongozi na wafadhili wa ugaidi waliouliwa Iran?
Yuko wapi,kwa nini ni mwendo wa AI tu!?..mpenda sifa yule tangu 10 march hajaongea na waandishi
 
Back
Top Bottom