Netanyahu amekula chakula chenye sumu , kupumzika kwa siku tatu, ofisi yake yasema

Status
Not open for further replies.

dem boyz

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2016
Posts
7,424
Reaction score
17,056
Inaripoti kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, mwenye umri wa miaka 75, ameathiriwa na food poisoning (sumu ya chakula) na kupata intestinal inflammation (uvimbe wa utumbo) pamoja na upungufu wa maji mwilini (dehydration).

Ameanza kupatiwa matone ya maji moja-for-one (IV fluids) na atapumzika nyumbani kwa siku tatu huku akiendelea kusimamia masuala ya serikali kutoka mbali

====

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu is recovering from a bout of food poisoning, his office said on Sunday, adding that he will continue to carry out his duties while resting at home for the next three days

Netanyahu, 75, fell ill overnight and was found to be suffering from intestinal inflammation and dehydration, for which he is receiving intravenous fluids, a statement said

"In accordance with his doctors' instructions, the prime minister will rest at home for the next three days and will manage state affairs from there," his office added

520286005_1162864465881592_5140329102035266754_n.jpg

Source: Reuters
 
Onyo kwa wafuasi wa Ustadhi Kitinku, food poisoning haimaanishi amekula chakula kilichotiwa sumu. Bali chakula chenye sumu kama agrotoxins, tunakulaga sana hivi vyakula kutoka sokoni na supermakets na sana sana tunajisikia vibaya tu, tukiumwa hospitali zetu za kawaida zinasingizia "mchafuko wa damu".
 
Onyo kwa wafuasi wa Ustadhi Kitinku, food poisoning haimaanishi amekula chakula kilichotiwa sumu. Bali chakula chenye sumu kama afrotoxins, tunakulaga sana hivi vyakula kutoka sokoni na supermakets na sana sana tunajisikia vibaya tu, tukiumwa hospitali zetu za kawaida zinasingizia "mchafuko wa damu".
Sema tu kuwa maana yake ni kula mavi
 
Inaripoti kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, mwenye umri wa miaka 75, ameathiriwa na food poisoning (sumu ya chakula) na kupata intestinal inflammation (uvimbe wa utumbo) pamoja na upungufu wa maji mwilini (dehydration).

Ameanza kupatiwa matone ya maji moja-for-one (IV fluids) na atapumzika nyumbani kwa siku tatu huku akiendelea kusimamia masuala ya serikali kutoka mbali

View attachment 3412250
I hope they keep Hell hot for this ba s. TA rd
 
Inaripoti kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, mwenye umri wa miaka 75, ameathiriwa na food poisoning (sumu ya chakula) na kupata intestinal inflammation (uvimbe wa utumbo) pamoja na upungufu wa maji mwilini (dehydration).

Ameanza kupatiwa matone ya maji moja-for-one (IV fluids) na atapumzika nyumbani kwa siku tatu huku akiendelea kusimamia masuala ya serikali kutoka mbali

View attachment 3412250
Hadi hawa wakubwa wanakulaga vyakula hivyo?
 
Kuna eating a food containing poison
Na kuna to be poisoned.

Sisi tumeshakula vyenye sumu sana ila kula kilivho wekwa sumu ili kikumalize bado.
Food poisoning is just medical term in layman vibes
just a mild bowel discomfort

yan anaharaa tu ndo mana ameishiwa maji
inaweza sababishwa na chakula kuchacha kwa bacteria anaitwa botulinum kama sjasahau

Ni kitu kawaida sana
inshort PM kapoteza kizibo
 
Onyo kwa wafuasi wa Ustadhi Kitinku, food poisoning haimaanishi amekula chakula kilichotiwa sumu. Bali chakula chenye sumu kama afrotoxins, tunakulaga sana hivi vyakula kutoka sokoni na supermakets na sana sana tunajisikia vibaya tu, tukiumwa hospitali zetu za kawaida zinasingizia "mchafuko wa damu".
"Afrotoxins" ndio kitu gani ndugu msomi.
 
Food poisoning is just medical term in layman vibes
just a mild bowel discomfort

yan anaharaa tu ndo mana ameishiwa maji
inaweza sababishwa na chakula kuchacha kwa bacteria anaitwa botulinum kama sjasahau

Ni kitu kawaida sana
inshort PM kapoteza kizibo
Yeah sasa naona watu hapo juu wanafikiri kawekewa sumu kwenye chakula
 
Onyo kwa wafuasi wa Ustadhi Kitinku, food poisoning haimaanishi amekula chakula kilichotiwa sumu. Bali chakula chenye sumu kama afrotoxins, tunakulaga sana hivi vyakula kutoka sokoni na supermakets na sana sana tunajisikia vibaya tu, tukiumwa hospitali zetu za kawaida zinasingizia "mchafuko wa damu".
VINGNE HUWEZI KUAMBIWA NA OFISI YA WAZIRI MPK MAJASUSI TUKWAMBIE,WEWE ULIWAHI KUJUA ILE VITA YA SIKU 12 IRAN ILICHAKAZA KAMBI 5 NDANI YA ISRAELI!
 
Onyo kwa wafuasi wa Ustadhi Kitinku, food poisoning haimaanishi amekula chakula kilichotiwa sumu. Bali chakula chenye sumu kama afrotoxins, tunakulaga sana hivi vyakula kutoka sokoni na supermakets na sana sana tunajisikia vibaya tu, tukiumwa hospitali zetu za kawaida zinasingizia "mchafuko wa damu".
Naona umeumia sana kuliko hata Mke wa Natanyahu,

Kwani nani asiyejua food poisoning?
 
Onyo kwa wafuasi wa Ustadhi Kitinku, food poisoning haimaanishi amekula chakula kilichotiwa sumu. Bali chakula chenye sumu kama afrotoxins, tunakulaga sana hivi vyakula kutoka sokoni na supermakets na sana sana tunajisikia vibaya tu, tukiumwa hospitali zetu za kawaida zinasingizia "mchafuko wa damu".
Namna mlivyo wahi kujitetea sasa kama una udugu na Bibi.
Yale machepe na washing mchine za warusi zaendeleaje
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom