Jamaa unakumbukumbu nzuri sana apo ushamkimbiza uyu mwamba kumuona mwakani!!!Namna mlivyo wahi kujitetea sasa kama una udugu na Bibi.
Yale machepe na washing mchine za warusi zaendeleaje
Jamaa unakumbukumbu nzuri sana apo ushamkimbiza uyu mwamba kumuona mwakani!!!Namna mlivyo wahi kujitetea sasa kama una udugu na Bibi.
Yale machepe na washing mchine za warusi zaendeleaje
Hahahhaha ila kikitokea Kimbunga Iran mnasema kimetengenezwa na Mossad!!Onyo kwa wafuasi wa Ustadhi Kitinku, food poisoning haimaanishi amekula chakula kilichotiwa sumu. Bali chakula chenye sumu kama afrotoxins, tunakulaga sana hivi vyakula kutoka sokoni na supermakets na sana sana tunajisikia vibaya tu, tukiumwa hospitali zetu za kawaida zinasingizia "mchafuko wa damu".
Atapona huyo hawezi kufa dunian muda wake ukifika anapaaInaripoti kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, mwenye umri wa miaka 75, ameathiriwa na food poisoning (sumu ya chakula) na kupata intestinal inflammation (uvimbe wa utumbo) pamoja na upungufu wa maji mwilini (dehydration).
Ameanza kupatiwa matone ya maji moja-for-one (IV fluids) na atapumzika nyumbani kwa siku tatu huku akiendelea kusimamia masuala ya serikali kutoka mbali
====
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu is recovering from a bout of food poisoning, his office said on Sunday, adding that he will continue to carry out his duties while resting at home for the next three days
Netanyahu, 75, fell ill overnight and was found to be suffering from intestinal inflammation and dehydration, for which he is receiving intravenous fluids, a statement said
"In accordance with his doctors' instructions, the prime minister will rest at home for the next three days and will manage state affairs from there," his office added
View attachment 3412250
Source: Reuters
Nyetanyahu kuharisha mpaka kuishiwa maji wewe unaumia nini?Onyo kwa wafuasi wa Ustadhi Kitinku, food poisoning haimaanishi amekula chakula kilichotiwa sumu. Bali chakula chenye sumu kama afrotoxins, tunakulaga sana hivi vyakula kutoka sokoni na supermakets na sana sana tunajisikia vibaya tu, tukiumwa hospitali zetu za kawaida zinasingizia "mchafuko wa damu".
Kuhara kuna sifa ya kulegea, majimaji, na ikiwezekana haja kubwa zaidi ya mara kwa mara. Inaweza kutokea yenyewe au kwa kushirikiana na dalili zingine kama vile kichefuchefu, kutapika, usumbufu wa tumbo, au kupoteza uzito.Ngoja waislael wa Bunju waje kwanza
Kuharisha kunde, maharagwe au uharo uliofanana na parachichi. Tumuombee Netanyahu alikula kiporo Cha kabichi"Afrotoxins" ndio kitu gani ndugu msomi.
Food poisoning ni kitu cha kawaida sana mkuu; kuna tofauti ya poisoning the food and food poisoning, kwa nchi zilizo endelea ni jambo la kawaida sana. Mara nyingi dalili yake ya kwanza ni kuharisha, hata huku kwetu inatokea sana tu hasa wale wanalishwa vyakula vilivo kaa store muda mrefu, kwenye canteen huko usisemeTehran kazini!😆
Kwa akili zako chaujuaji utailaumu kweli Iran suala la Mahindi kama alivokuwa mwenzio MK254 mana huyu hata akigongewa mkewe na masela kule kibera lawama kwa maustadhNilitaka niandike agrotoxins, nimekosea herufi maana g na f zinakaribiana kwenye QWERTY keyboard.
Mara kibao Kenya wanazuia mahindi kutoka Tanzania yasiende kwao yakiwa na madawa ya mashambani na kuulia wadudu. Na juu ya hilo tuwalaumu Iran?
Muuawaji naye anauliwa tu kama ilivyokuwa kwa firahuni Muddy.Inaripoti kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, mwenye umri wa miaka 75, ameathiriwa na food poisoning (sumu ya chakula) na kupata intestinal inflammation (uvimbe wa utumbo) pamoja na upungufu wa maji mwilini (dehydration).
Ameanza kupatiwa matone ya maji moja-for-one (IV fluids) na atapumzika nyumbani kwa siku tatu huku akiendelea kusimamia masuala ya serikali kutoka mbali
====
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu is recovering from a bout of food poisoning, his office said on Sunday, adding that he will continue to carry out his duties while resting at home for the next three days
Netanyahu, 75, fell ill overnight and was found to be suffering from intestinal inflammation and dehydration, for which he is receiving intravenous fluids, a statement said
"In accordance with his doctors' instructions, the prime minister will rest at home for the next three days and will manage state affairs from there," his office added
View attachment 3412250
Source: Reuters
Netanyahu ilikua aende mahakamani wiki hii,kwa ugonjwa huo kesi imepelekwa mbele hadi SeptemberKwani nani kasema sio jambo la kawaida?
Na hapo alipo ana pace maker kwenye mwili. Kwa hiyo hana cha kupoteza.Huyo mzee ni mgonjwa wa akili kaja kuharibu ustaarabu wa Dunia..
Ingekuwa hivyo (kwamba amekuwa poisoned ili afe), Israel wala wasingeitangaza hii na “kuwapaisha” TehranTehran kazini!😆
Haka kadogo huwa kajuaji sana yaani utadhani kanafanya kazi Lockheed.halafu jamaa anamwambia mwenzie kapata F biology form two
Aflatoxins
😀😀😀😀😀😀Haka kadogo huwa kajuaji sana yaani utadhani kanafanya kazi Lockheed.
Utasikia "hii ni surface to air missile, rufiji hawana ICBM na last time waliorder nne sasa launchers zimecolapse na mpaka juzi walikuwa hawana batteries."