zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Kujisahau kupo, mbona hata Israel walivamia na Hamas na intelijensia yao haikunusa mpaka watu zaidi ya 2,000 wanakufa kizembe vile.Mambo mengine yapo wazi mkuu. Rais wao alipata ajari ila Presidential Escort wakajua baada ya lisaa. Huu uzembe hata mabaunsa wa vichochoroni wabeba nondo wale wanaokodishwa na wasanii hawawezi fanya.