Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,553
- 2,137
Ni majasusi aina ya bacteria mkuuamekula spoiled food , sasa hiyo habari ya majasusi kumuwekea sumu umetoa wapi mzee
Ni majasusi aina ya bacteria mkuuamekula spoiled food , sasa hiyo habari ya majasusi kumuwekea sumu umetoa wapi mzee
Ni sumu chakula au chakula sumu.?Imebidi tumuulize mtoa mada
Oyaaa😂😂😂😂😂Utasikia "hii ni surface to air missile, rufiji hawana ICBM na last time waliorder nne sasa launchers zimecolapse na mpaka juzi walikuwa hawana batteries."
Hahahaha mkuu acheni uchonganishi.Oyaaa😂😂😂😂😂
Nimetulia mkuu 😂😂😂 ila mule muleHahahaha mkuu acheni uchonganishi.
Hahahahahaaa.Nimetulia mkuu 😂😂😂 ila mule mule
We acha tu. Ni KARMA hiyo. Amini nakwambia, naye mwisho wake utakuwa mbaya sana. Utasikia hivyo hivyo "mara Food Poisoning" Mara naniii" Lakini yote yanapelekea kudhorota kwa Afya ya binaadam.Ingekuwa hivyo (kwamba amekuwa poisoned ili afe), Israel wala wasingeitangaza hii na “kuwapaisha” Tehran
Food poisoning watu wanaipata sana tu hata huku Bongo na wengine huharisha, kutapika etc
Biology dahUna F ya Bilogy, tena kidato cha pili.