Ingekua Ayatollah ndio kala food poisoning,wangekuja kukata viuno hapa na maneno ya kejeli,ungesikia Mossad kisha fanya yake.Namna mlivyo wahi kujitetea sasa kama una udugu na Bibi.
Yale machepe na washing mchine za warusi zaendeleaje
Cha ujuaji nilitaka kushangaa upite hivi hivi kwenye coment kama hizi...Una F ya Bilogy, tena kidato cha pili.
Kime walamba wanajihami balaa .Ingekua Ayatollah ndio kala food poisoning,wangekuja kukata viuno hapa na maneno ya kejeli,ungesikia Mossad kisha fanya yake.
Clostridium Defficile hao, ni kawaida ukibugi na kula msosi wa poor hygieneInaripoti kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, mwenye umri wa miaka 75, ameathiriwa na food poisoning (sumu ya chakula) na kupata intestinal inflammation (uvimbe wa utumbo) pamoja na upungufu wa maji mwilini (dehydration).
Ameanza kupatiwa matone ya maji moja-for-one (IV fluids) na atapumzika nyumbani kwa siku tatu huku akiendelea kusimamia masuala ya serikali kutoka mbali
====
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu is recovering from a bout of food poisoning, his office said on Sunday, adding that he will continue to carry out his duties while resting at home for the next three days
Netanyahu, 75, fell ill overnight and was found to be suffering from intestinal inflammation and dehydration, for which he is receiving intravenous fluids, a statement said
"In accordance with his doctors' instructions, the prime minister will rest at home for the next three days and will manage state affairs from there," his office added
View attachment 3412250
Source: Reuters
halafu jamaa anamwambia mwenzie kapata F biology form two"Afrotoxins" ndio kitu gani ndugu msomi.
Nchi yetu ngumu sana kakahalafu jamaa anamwambia mwenzie kapata F biology form two
Aflatoxins
dah ngumu sanaNchi yetu ngumu sana kaka
Mavi sio sumu. Bado unadhihirisha mswaki kwenye elimu dunia.Sema tu kuwa maana yake ni kula mavi
Wewe jamaa ushabiki wakipumbavu unakufanya uonekane mjinga sana,Mavi sio sumu. Bado unadhihirisha mswaki kwenye elimu dunia.
halafu jamaa anamwambia mwenzie kapata F biology form two
Aflatoxins
Nilitaka niandike agrotoxins, nimekosea herufi maana g na f zinakaribiana kwenye QWERTY keyboard."Afrotoxins" ndio kitu gani ndugu msomi.
Rais wa Iran alikufa kwa ajari, waliokuwa wanamsindikiza hawakujua mpaka lisaa baadae walipofika wanapokwenda. Nchi nzima ikamtafuta siku mbili bila kumpata, mpaka Uturuki ikaja kutoa msaada ndani ya masaa ikajua alipo.VINGNE HUWEZI KUAMBIWA NA OFISI YA WAZIRI MPK MAJASUSI TUKWAMBIE,WEWE ULIWAHI KUJUA ILE VITA YA SIKU 12 IRAN ILICHAKAZA KAMBI 5 NDANI YA ISRAELI!
Wewe wajua, ila kuna maulamaa yanadhani hiki kisa cha Netanyahu ni kama cha yule aliyekula nyama ya kondoo yenye sumu.Naona umeumia sana kuliko hata Mke wa Natanyahu,
Kwani nani asiyejua food poisoning?
Inaripoti kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, mwenye umri wa miaka 75, ameathiriwa na food poisoning (sumu ya chakula) na kupata intestinal inflammation (uvimbe wa utumbo) pamoja na upungufu wa maji mwilini (dehydration).
Ameanza kupatiwa matone ya maji moja-for-one (IV fluids) na atapumzika nyumbani kwa siku tatu huku akiendelea kusimamia masuala ya serikali kutoka mbali
====
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu is recovering from a bout of food poisoning, his office said on Sunday, adding that he will continue to carry out his duties while resting at home for the next three days
Netanyahu, 75, fell ill overnight and was found to be suffering from intestinal inflammation and dehydration, for which he is receiving intravenous fluids, a statement said
"In accordance with his doctors' instructions, the prime minister will rest at home for the next three days and will manage state affairs from there," his office added
View attachment 3412250
Source: Reuters
VINGNE HUWEZI KUAMBIWA NA OFISI YA WAZIRI MPK MAJASUSI TUKWAMBIE,WEWE ULIWAHI KUJUA ILE VITA YA SIKU 12 IRAN ILICHAKAZA KAMBI 5 NDANI YA ISRAELI!
Mkuu sio kwa ubaya huwa naheshimu sana content zako but why kwenye mambo ya dini huwa unafura sana wakati kiukweli kwa upeo wako hukutakiwa kuwa hivyo!Naona umeumia sana kuliko hata Mke wa Natanyahu,
Kwani nani asiyejua food poisoning?
Kwahiyo umri wa Natanyahu miaka 75 na umri wako ni sawa?Last two weeks nlipata changamoto kama hiyo Hospital wakaniambia ni food poisoning. Nikapumzika 4 days.