Naungana na netanyau Israel imefikia malengo yake ya vita dhidi ya iran

Tanzanians

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
265
Reaction score
385
Israel imefanikiwa kuuwa viongozi wa kijeshi wa iran sio wote ila wengi imewaua kuwapata watu wenye uzoefu kama hawa itachukua mda sana

Israel imefanikiwa kuwauwa baadhi ya wataalamu wa nyuklia hii ni achievement kubwa sana fahamu kuwapata watu kama hawa itachukua mda mrefu sana

Hii inakupa picha kuna mmoja anapigana kwa ajili ya malengo na mwingine kufurahisha keyboard warriors
 
Hahaha eti imetimiza malengo !!! My foot

Baada ya kuchezea kichapo cha uhakika mmeomba poo wenyewe.

Kiherehere chote kwisha

Supapawa wa mchongo ..taifa feki
 
Israel imefanikiwa kuuwa viongozi wa kijeshi wa iran sio wote ila wengi imewaua

Israel imefanikiwa kuwauwa baadhi ya wataalamu wa nyuklia hii ni achievement kubwa sana

Kumbuka hao waliouliwa ni wale wenye experience kwa hiyo kuwapata tena itachukua mda
Lile jengo la technologia (Microsoft) Barsheba la Israel ambalo limeasisiwa tokea 1930 kukiwa na mitambo yao ya kitaalamu liloripuliwa na Iran ambalo linashikilia No.6 duniani katika vituo vya kitaalam je? na kule ndani wafanyakazi zaid ya elf7 wa Israel na wataalam mbali mbali kutoka duniani wanafanya kazi na yasemekana wataalam walikuwemo wameangukiwa na vifusi, jee hiii si faida kwa Iran???

Toka lini myahudi kukubali kusimamisha vita? jua tu mambo hayakuwa mazuri kwao walii underestimate Iran, wamepata wazo la kujipanga tena upya mnyama Iran hashikiki kwa sayari hii
 
Kulipua majengo sio achievement hata Hizbollah walilipua majengo mengi sana ila leo hata uongozi wao haujulikani ukoje baada ya wale wazoefu wote kuuliwa na itachukua mda sana kumpata sana mtu kama Nasrallah

Majengo yanajengwa kirahisi ila watu huwareplace kirahisi
 
Nimecheka sana baada ya kusikia Israel imekubali ceasefire haraka hivyo bila hata masharti yoyote....mbona kule gaza Kwa wanamgambo alikuwa hambiliki Wala hasikii cha mtu?? Kumbe kuishi kwenye mahandaki si kazi nyepesi.....we fikiria Toka makombora ya Irani yaanze kurushwa maamake waisrael wote walikuwa kwenye mahandako Kwa siku zaidi ya 12 hawafanyi kazi Wala hawazalishi chochote zaidi ya kupokea vyakula vya misaada toka magharibi...lkn hii hali ingeendelea hadi lini? Letanyahu kaona isiwe shida kamuoomba baba Amerika atulize mpira...shukrani Kwa Iran wamekubaliana hili.
 
Wote wamekubaliana acha ushabiki
 
😀😀😀😀😀😀
 
Israel imefanikiwa kuuwa viongozi wa kijeshi wa iran sio wote ila wengi imewaua

Israel imefanikiwa kuwauwa baadhi ya wataalamu wa nyuklia hii ni achievement kubwa sana

Kumbuka hao waliouliwa ni wale wenye experience kwa hiyo kuwapata tena itachukua mda
Iwe walisema au hawakusema, vita yoyote atakayoamua kuipigana Israel dhidi ya Iran, ushindi pekee kwa Israel regime change, bila regime change basi no matter what, credits zote lazima zipelekwe Iran.
 
Hata ushindi wa iran ni kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia je iran wameifuta Israel kwenye raman ya dunia???

Tokea 1978 malengo ya iran ni kuifuta Israel kwenye malengo ya dunia
 
Hata ushindi wa iran ni kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia je iran wameifuta Israel kwenye raman ya dunia???
Hapana, Iran hana huo uwezo anaweza akaihujumu na kuisumbua tu, ila ushindi wa Israel lazima regime ya Iran ibadilike.
 
Kulipua majengo sio achievement hata Hizbollah walilipua majengo mengi sana ila leo hata uongozi wao haujulikani ukoje baada ya wale wazoefu wote kuuliwa na itachukua mda sana kumpata sana mtu kama Nasrallah

Majengo yanajengwa kirahisi ila watu huwareplace kirahisi
Wewe ni vipi? mimi sijazungumzia jengo kama jengo nasema kituo cha kitaalamu ambacho kinashikilia No.6 duniani ambazo kinaratibu vinasaba vya makombora na technologia ya Israel (Microsoft) ambacho kiliasisiwa tokea 1930.
 
Wote wamekubaliana acha ushabiki
Sawa lakn jaribu kukumbuka vita yake na hamasi ...walikuwa wanawakalisha mara kadhaa lakn Israel walendeleza kichapo Kwa hamasi bila kusikiliza ya washauri..Leo hii Iko wapi?? Irondome Iko wapi?????
 
Wewe ni vipi? mimi sijazungumzia jengo kama jengo nasema kituo cha kitaalamu ambacho kinashikilia No.6 duniani ambazo kinaratibu vinasaba vya makombora na technologia ya Israel (Microsoft) ambacho kiliasisiwa tokea 1930.
Hiko kituo kitajengwa tu ndani ya mda mfupi sana huwezi fananisha na mtu ambaye anachukua miaka mingi ili apate uzoefu
 
Sawa lakn jaribu kukumbuka vita yake na hamasi ...walikuwa wanawakalisha mara kadhaa lakn Israel walendeleza kichapo Kwa hamasi bila kusikiliza ya washauri..Leo hii Iko wapi?? Irondome Iko wapi?????
Kulikuwa na ceasefire na hamas mara nyingi tu hata sasa hivi hakuna vita kati ya Israel na hamas vimesimamishwa
 
Hata ile jana iran kurusha makombora doha imeleta taharuki sana inaonekana imechangia kuharakishwa kwa ceasefira
 
Hapana, Iran hana huo uwezo anaweza akaihujumu na kuisumbua tu, ila ushindi wa Israel lazima regime ya Iran ibadilike.
Hayo ndo malengo ya ruhola khomein muanzilishi wa Islamic Republic of Iran kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia
 
Ceasefire inaratibiwa na nchi nyingi sana ikiwemo Qatar, UAE, Saudi Arabia, Kuwait na wengine ambao hatuwajui ila huku kuna ushabiki
Sahihi kabisa yaaani Qatar tangu wameshituka sana zile missile za irani japo wanasema hazikuleta madhara ila siamini make inaonekana wameumia hawakuamini kilichotokea
 
Back
Top Bottom