Israel imefanikiwa kuuwa viongozi wa kijeshi wa iran sio wote ila wengi imewaua kuwapata watu wenye uzoefu kama hawa itachukua mda sana
Israel imefanikiwa kuwauwa baadhi ya wataalamu wa nyuklia hii ni achievement kubwa sana fahamu kuwapata watu kama hawa itachukua mda mrefu sana
Hii inakupa picha kuna mmoja anapigana kwa ajili ya malengo na mwingine kufurahisha keyboard warriors
Hapana, Iran hana huo uwezo anaweza akaihujumu na kuisumbua tu, ila ushindi wa Israel lazima regime ya Iran ibadilike.
Israel hajatimiza kile anachopaswa kukifanya, lakini Iran naye kile siyo kichapo, kubomoa majengo bila ya any significant achievements nayo siyo mafanikio.Kule palestina waliombwa ceasefire wakakaza fuvu, Hadi misaada ya kibinadamu waliwanyima.
Kichapo alichotembeza iran ndani ya Israel, hasa kwenye hub za teknolojia, kimewafadhaisha sana, ndomana hawakutaka warekodiwe na media
Ushabiki unakusumbuaNilichaomini,
Israel kaona kabisa,
Katia mguu, kaona Irani ni maji marefu
Kurutubisha Uranium inachukua mda mrefu sana ni basi tu watu wanaweka ushabikiIsrael tishio lake lilikuwa mabomu ya nyuklia hayo wameshayapasua pasua. Iran hawawezi tengeneza kwa haraka tena huo mfumo. Ndo maana sasa inalenga wanasayansi wa hizo issues.
Hivi nyie mlienda shule tu hamkufika college angalau mkafunguka akili we unajua Iran ana Nuclear Scientist wangapi? Nchi yenye population karibu 90 Millions unadhani itakuwa na Nuclear Scientist wangapi? Kwani Iran kanza kuliwa hao Nuclear Scientist kwenye vita tu hi hahaha akili zenu hata kenge wengine wanaunafuu. Kwanza dunia nzima hata hao IAEA walisema Nuclear ya Iran haikuwa kabisa ya kivita sababu Ayatollah alitoa Fatwa ya kuzuia Nuclear na hata mashirika ya kijasusi ya Marekani na IAEA yanakubali kwamba kabla ya shambulio la Israel, hakukuwa na dalili yoyote kwamba Ayatollah Ali Khomen, aliamrisha kujengwa kwa vichwa vya vita. Hatari ilioletwa na kampeni ya Israel na Marekani ya kulipua Nuclear plant ni kwamba sasa inaweza kubadili mawazo yake, hatimaye kumshawishi kwamba ni silaha ya nyuklia pekee inayoweza kuwazuia maadui wa Iran. Time itatoa jibuIsrael imefanikiwa kuuwa viongozi wa kijeshi wa iran sio wote ila wengi imewaua kuwapata watu wenye uzoefu kama hawa itachukua mda sana
Israel imefanikiwa kuwauwa baadhi ya wataalamu wa nyuklia hii ni achievement kubwa sana fahamu kuwapata watu kama hawa itachukua mda mrefu sana
Hii inakupa picha kuna mmoja anapigana kwa ajili ya malengo na mwingine kufurahisha keyboard warriors
Iran yenye watu milioni 90+ haiwezi kukosa wa kuziba hayo mapengo.Israel imefanikiwa kuuwa viongozi wa kijeshi wa iran sio wote ila wengi imewaua kuwapata watu wenye uzoefu kama hawa itachukua mda sana
Kurutubisha Uranium inachukua mda mrefu sana ni basi tu watu wanaweka ushabiki
Israel imefanikiwa kuuwa viongozi wa kijeshi wa iran sio wote ila wengi imewaua kuwapata watu wenye uzoefu kama hawa itachukua mda sana
Israel imefanikiwa kuwauwa baadhi ya wataalamu wa nyuklia hii ni achievement kubwa sana fahamu kuwapata watu kama hawa itachukua mda mrefu sana
Hii inakupa picha kuna mmoja anapigana kwa ajili ya malengo na mwingine kufurahisha keyboard warriors
Na wala Israel haitokuambia kuwa koplo wake tu kuwa ameuawawala hawatokuambia kuwa mwalimu wa chekechea kauawa ingawa kituo chake cha maabara kimegeuzwa hivi. Endelea tu kuwaamini mashoga
View: https://youtu.be/Je0GjRZtykc?si=7stwN5SfSVKwqN6f
Wameuliwa nawakati wapo kwenye press conference karibia kila siku
Mkuu wa iran wa revolutionary guard kauliwa na wenzake wengine
Ndivyo wanavyotudanganya zaidi ya miaka 10Israel tishio lake lilikuwa mabomu ya nyuklia hayo wameshayapasua pasua. Iran hawawezi tengeneza kwa haraka tena huo mfumo. Ndo maana sasa inalenga wanasayansi wa hizo issues.
Kufa yoyote atakufa mkuu ila Iran na itikadi zake inaendelea kuwepo maana hata kichapo alichopewa mteule mpaka kutengeza wakimbizi si habaIsrael imefanikiwa kuuwa viongozi wa kijeshi wa iran sio wote ila wengi imewaua kuwapata watu wenye uzoefu kama hawa itachukua mda sana