Tanzania Haikutoka Ukumbini UNGA Ilibakia Ndani Kumsikiliza Netanyau

Tanzania Haikutoka Ukumbini UNGA Ilibakia Ndani Kumsikiliza Netanyau

Serikali ipo “under scrutiny”, so they have to do anything, an hope it works.

Sawa na kutupa ugali ukutani kufahamu kama umeiva au bado.

Kwakuwa Netanyahu na yeye ana warrant ya ICC. Kuna jambo serikali inaona jicho kwa jicho na Netanyahu.

Netanyahu na Trump ni very close. Adui wa mmoja ni adui wa mwingine.

Nadhani umepata mwanga.
 
Haina shida
Kila mtu ana njia yake ya kufanya protest, yeye, alisisinzia hotuba yote,

1790528837701.png
 
kwani hata mngetoka mgezuia nini?,au mngemtisha nani?
 
Mzee shikamoo

Tanzania tulitoa msimamo wetu wa kusimama na raia wa Gaza na Palestine kwa ujumla lakn hatukususa hotuba ya Bibi

Vp mawazo yako unazani tulikosea kubaki ukumbini?
Ninja,
Sikiliza hiyo video.
 
Luggy,
Mataifa hayasusii mikutano ili kitisha au kuzuia.

Mataifa yanafanya hivyo kuonyesha kuchukizwa.
Jamaa akawauliza Kama Kuna wengine wanataka kutoka,, basi watoke haraka Sana kabla hajaanza kuongea.
Ila mzee tukerwe na tuwachukie wauaji wote na hata wauaji wa nyumbani. Muuaji Ni muuaji tu. Awe muisrael au mtanzania. Ni muuaji.
Tuwachukie wote
 
Wztu wametoka ikimbini lakini wamafuatilia hutuba, dunia nzima inajua Nita kaongea nini. Si bora,wangebaki tu.
 
Back
Top Bottom