residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,348
- 15,205
Bro, hii serikali sio muumini wa haki.
Ukiona mserikali anaongelea haki, basi amini tu ni ulaghai kama ulaghai mwingine wowote.
Pole sana kwa kuwa na mategemeo makubwa dhidi ya hawa waovu.