Taliban waandamana wabeba bendera ya Palestrina burning pictures of Prime Minister Benjamin Netanyahu

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Wadau hamjamboni nyote?

Maelfu ya Waafghani wameandamana katika maeneo mbalimbali ya nchi kupinga mashambulizi ya Israel dhidi ya Hamas huko Gaza, wakijibu wito wa kitaifa uliotolewa na mamlaka ya Taliban.

Umati mkubwa wa watu umekusanyika katika miji kadhaa baada ya sala, wakiwa na mabango na bendera za Palestina huku wakichoma picha za Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu.

“Tuko hapa kuunga mkono Gaza na kuonyesha dunia kuwa Gaza haiko peke yake, tumesimama pamoja nao. Popote Waislamu wanapodhulumiwa, tunawatetea kwa nguvu na kulaani unyanyasaji huo,” amesema Jannat mwenye umri wa miaka 28, mkazi wa Kabul, ambaye anatumia jina moja tu.
===========================
Thousands of Afghans protest across the country against the Israeli bombardment of Hamas in Gaza, responding to a nationwide call by the Taliban authorities.

Large crowds gather in several cities after prayers waving Palestinian flags and burning pictures of Prime Minister Benjamin Netanyahu.

“We are out in support with Gaza. And to show the world that Gaza is not alone, we are standing with them. Wherever Muslims are oppressed, we strongly defend them and condemn it,” says 28-year-old Jannat, who goes by one name, in the capital Kabul.

Conversation(2)
 
Hao wavuta bangi nao ni wanafiki tu kwa nini wasiende basi kuwasaidia vita.
Unajuage kama tayali wapo uko!!!

ISRAEL bado imejifichia kwenye Jeshi la Anga !!

lkn chini weupe ndio mana adi leo adi kesho wanashindwa kuwapata raia wao apo GAZA Gaza sio seem poa ndugu kuna Wanaume wametulia na wana shabahaa za Hatari..
 
Ndio kunawatu humu kila siku kuja na misemo mipya mara oparation kukuza hii kiboko ilitumika six day war, mara hii oparation habari mtu yaani wamedata wanakaa kwao na kurusha drones tu kila wakitia mguu wanaume wanafyeka na akilenga kifaru hakosi
 
Wadau hamjamboni nyote?

Maelfu ya Waafghani wameandamana katika maeneo mbalimbali ya nchi kupinga mashambulizi ya Israel dhidi ya Hamas huko Gaza, wakijibu wito wa kitaifa uliotolewa na mamlaka ya Taliban.

Umati mkubwa wa watu umekusanyika katika miji kadhaa baada ya sala, wakiwa na mabango na bendera za Palestina huku wakichoma picha za Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu.

“Tuko hapa kuunga mkono Gaza na kuonyesha dunia kuwa Gaza haiko peke yake, tumesimama pamoja nao. Popote Waislamu wanapodhulumiwa, tunawatetea kwa nguvu na kulaani unyanyasaji huo,” amesema Jannat mwenye umri wa miaka 28, mkazi wa Kabul, ambaye anatumia jina moja tu.
===========================
Thousands of Afghans protest across the country against the Israeli bombardment of Hamas in Gaza, responding to a nationwide call by the Taliban authorities.

Large crowds gather in several cities after prayers waving Palestinian flags and burning pictures of Prime Minister Benjamin Netanyahu.

“We are out in support with Gaza. And to show the world that Gaza is not alone, we are standing with them. Wherever Muslims are oppressed, we strongly defend them and condemn it,” says 28-year-old Jannat, who goes by one name, in the capital Kabul.

Conversation(2)
Picha iko wapi? hivi wanajua hata maana ya neno Islam? Mohammad anatakiwa huko ardhini ale viboko.. amehadaa watu wengi sana even hao Taliban kabila la Pashtun ni Waisrael kati ya 10 lost tribe of Israel wana wa Yacobo
 
Unajuage kama tayali wapo uko!!!

ISRAEL bado imejifichia kwenye Jeshi la Anga !!

lkn chini weupe ndio mana adi leo adi kesho wanashindwa kuwapata raia wao apo GAZA Gaza sio seem poa ndugu kuna Wanaume wametulia na wana shabahaa za Hatari..
Mbona wameshindwa kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia sasa hizo shabaha zinawasaidia kitu gani..😛😛😛
 
Unajuage kama tayali wapo uko!!!

ISRAEL bado imejifichia kwenye Jeshi la Anga !!

lkn chini weupe ndio mana adi leo adi kesho wanashindwa kuwapata raia wao apo GAZA Gaza sio seem poa ndugu kuna Wanaume wametulia na wana shabahaa za Hatari..
Unawachagulia mtindo wa kutoa kipigo?
 
Hao wa Afghanistan walitakiwa waandamane kwa hiyari yao na siyo mpaka washurutishwe na serikali dhalimu ya Twaaleban.
 
Unajuage kama tayali wapo uko!!!

ISRAEL bado imejifichia kwenye Jeshi la Anga !!

lkn chini weupe ndio mana adi leo adi kesho wanashindwa kuwapata raia wao apo GAZA Gaza sio seem poa ndugu kuna Wanaume wametulia na wana shabahaa za Hatari..
Hahaha unachekesha sana kwaiyo jeshi la Anga sio jeshi unazani miaka hii ni sawa na miaka ya 60s zile vita za kuviziana msituni wa Vietnam na US?

Teknolojia imekua kwanza hapo Gaza haikufaa kupelekwa infantry soldiers zilitakiwa ziende drones na robot tu

All in all yahudi ametoa funzo jinsi ya ku deal na magaidi kipigo walicho toa mpaka dunia yote imebaki inashangaa hata ndugu zake US, France na UK wameona hii ni too much hakuna cha Hezbollah, houth na Hamas hii vita ikisimama hakuna mwarabu atakuja tena kurusha ata jiwe kuelekea Israel
 
Wadau hamjamboni nyote?

Maelfu ya Waafghani wameandamana katika maeneo mbalimbali ya nchi kupinga mashambulizi ya Israel dhidi ya Hamas huko Gaza, wakijibu wito wa kitaifa uliotolewa na mamlaka ya Taliban.

Umati mkubwa wa watu umekusanyika katika miji kadhaa baada ya sala, wakiwa na mabango na bendera za Palestina huku wakichoma picha za Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu.

“Tuko hapa kuunga mkono Gaza na kuonyesha dunia kuwa Gaza haiko peke yake, tumesimama pamoja nao. Popote Waislamu wanapodhulumiwa, tunawatetea kwa nguvu na kulaani unyanyasaji huo,” amesema Jannat mwenye umri wa miaka 28, mkazi wa Kabul, ambaye anatumia jina moja tu.
===========================
Thousands of Afghans protest across the country against the Israeli bombardment of Hamas in Gaza, responding to a nationwide call by the Taliban authorities.

Large crowds gather in several cities after prayers waving Palestinian flags and burning pictures of Prime Minister Benjamin Netanyahu.

“We are out in support with Gaza. And to show the world that Gaza is not alone, we are standing with them. Wherever Muslims are oppressed, we strongly defend them and condemn it,” says 28-year-old Jannat, who goes by one name, in the capital Kabul.

Conversndi
Hawa ndio vidume vya kazi.Siku wakiamua kuingia kati basi Netanyahu atakimbia tu.
Hata wajane wa kipalestina wangetamani wakaolewe Afghanistan kuliko kuolewa na waarabu wenzao.
 
Unajuage kama tayali wapo uko!!!

ISRAEL bado imejifichia kwenye Jeshi la Anga !!

lkn chini weupe ndio mana adi leo adi kesho wanashindwa kuwapata raia wao apo GAZA Gaza sio seem poa ndugu kuna Wanaume wametulia na wana shabahaa za Hatari..
Kama wako huko basi kumbe ni kazi bure kabisa kwani uwepo wao huko hauna impact yoyote.
 
Hahaha unachekesha sana kwaiyo jeshi la Anga sio jeshi unazani miaka hii ni sawa na miaka ya 60s zile vita za kuviziana msituni wa Vietnam na US?

Teknolojia imekua kwanza hapo Gaza haikufaa kupelekwa infantry soldiers zilitakiwa ziende drones na robot tu

All in all yahudi ametoa funzo jinsi ya ku deal na magaidi kipigo walicho toa mpaka dunia yote imebaki inashangaa hata ndugu zake US, France na UK wameona hii ni too much hakuna cha Hezbollah, houth na Hamas hii vita ikisimama hakuna mwarabu atakuja tena kurusha ata jiwe kuelekea Israel
Naona unajitoa akili ama huelewi nini maana ya ugaidi.
Gaidi mkuu ni Israel ambaye kabla ya Oktoba 7 Yani Agosti alianza kupulizia sumu kwenye mazao ya Gaza na kukanyaga wabedui na vifaru.
Amnesty international walipeleka hadi malalamiko UN ila hayakusikilizwa.
Sasa Hamas kulipiza imekua wao magaidi?
Au wewe kajambanani wa mtogole na Amnesty international nani anayejua hili zaidi??

Pia hao Israel kama isingekua USA na UK kuiingilia kati dhidi ya Hizbollah leo hii Israel pangekua hapakaliki.
Maana Hizbollah ilianza kutumia long range ballistic guided missiles na zilifanywa Galilee yote iungue kiasi cha raia zaidi ya laki Moja kuhama na hadi leo hawataki kurudi hawaamini kama Hizbollah haitashambulia tena.
 
Hawa talibani naona wamemis kuwenda kuishi mapangoni tena
Kama Taliban wakisema waingilie kati kivita chukulia Israel imekufa.
Hao jamaa hawana Cha msalia mtume.
Ndio maana nasema Israel ashukuru sana Mungu kuwa Middle east.
Angekua far East au Central Asia angekua kashazikwa mapema.
Hizo nchi za Stan Stan hazina msalie mtume.
Russia na USA wanajua joto lake.
 
Unajuage kama tayali wapo uko!!!

ISRAEL bado imejifichia kwenye Jeshi la Anga !!

lkn chini weupe ndio mana adi leo adi kesho wanashindwa kuwapata raia wao apo GAZA Gaza sio seem poa ndugu kuna Wanaume wametulia na wana shabahaa za Hatari..
Kupigana na mtu anaye amini akifa vitani anaenda peponi kufanya ngono na dada zake 72 ni kazi kubwa sana. Na Israel wamekataa mtego wa kuingiza wanajeshi wao kwenye mahandaki kuliko tegwa milipuko ndo maana hamas walipomwachia tu yule mwanajeshi wa IDF mwenye uraia pacha...walipelekewa moto wa hatari. Sababu ya taarifa alizopeleka Israel
 
Back
Top Bottom