Iran wanashindwa nini kulipiza kisasi kwa kumuua Netanyau?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Kama wanaweza ku-hit target zilizoko katika mataifa jirani ya kiarabu kama Airport ya Dubai, n.k, wanashindwa nini kumlq kichwa Netanyau alieua kiongozi wao?

Sikumpenda Ayatollah kwa ukatili wake, lakini pia siipendi zaidi US na Israeli kwa mauji na uonevu kisa tu masilahi yao ya kiuchumi huku wakisingizia kitisho cha Iran kwa usalama wa eneo zima la mashariki ya kati.

Ili heshima iwepo, Netanyau lazima awe ni main target mass 24 siku 7 za wiki.

Ni wakati wa Iran kuboresha intelijensia yao ikibidi hata kwa msaada wa marafiki zake kama Urusi na China.

Israeli na Marekani ni waonevu na wauaji wakubwa wa maelefu ya watu waio na hatia kwa miaka mingi hasa Marekani..

Marekani hathubutu kuvamia mataifa yenye uwezo wa kugusa ardhi yake, ila kuua raia wa mataifa mengine haoni shiida kabisa na wajinga wanawashangilia.
 
Tatizo wakimuua hawa jamaa wanaweza tumia hata nuclear kuisambaratisha Tehran!! Yaani wayahudi kukuua ni halali ila ukiwagusa wao wanapeleka nguvu zote hapo na kupata justification ya kutumia silaha za maangamizi.

Hii dunia imejaa uonevu sana.
 
Tatizo wanajiona wao ni bora kuliko majirani zao wakati si kweli
 
Hawana uwezo huo
Muwe mnaelewa basi
 
Tatizo wakimuua hawa jamaa wanaweza tumia hata nuclear kuisambaratisha Tehran!! Yaani wayahudi kukuua ni halali ila ukiwagusa wao wanapeleka nguvu zote hapo na kupata justification ya kutumia silaha za maangamizi.

Hii dunia imejaa uonevu sana.
Bila kufanya hivyo
Waarabu wangeshafuta Israel
 
usije kushangaa hata mauaji ya 10/29 yana mkono wa islamic republic na caspian ltd, attack ya mwaka 98 ubalozi wa US islamic republic ilihusika na akina hamza, hata ugaidi unaoendelea kusini mwa nchi yetu ambao mara nyingi ulifichwa unaweza kukuta wana mkono wao.

kwa kifupi ni evil regime na ayatola ni alikuwa criminal, alinyonga wairani wengi sana ambao walitaka mabadiliko …
 
Kama wanaweza ku-hit target zilizoko katika mataifa jirani ya kiarabu kama Airport ya Dubai, n.k, wanashindwa nini kumlq kichwa Netanyau alieua kiongozi wao?

Sikumpenda Ayatollah kwa ukatili wake, lakini pia siipendi zaidi US na Israeli kwa mauji na uonevu kisa tu masilahi yao ya kiuchumi huku wakisingizia kitisho cha Iran kwa usalama wa eneo zima la mashariki ya kati.

Ili heshima iwepo, Netanyau lazima awe ni main target mass 24 siku 7 za wiki.

Ni wakati wa Iran kuboresha intelijensia yao ikibidi hata kwa msaada wa marafiki zake kama Urusi na China.

Israeli na Marekani ni waonevu na wauaji wakubwa wa maelefu ya watu waio na hatia kwa miaka mingi hasa Marekani..

Marekani hathubutu kuvamia mataifa yenye uwezo wa kugusa ardhi yake, ila kuua raia wa mataifa mengine haoni shiida kabisa na wajinga wanawashangilia.
Neta anatamba tuu kitaa
 
Attachments

  • 1772737515292.jpg
    1772737515292.jpg
    83.1 KB · Views: 23
  • 1772737507226.jpg
    1772737507226.jpg
    53.6 KB · Views: 25
  • 1772737493408.jpg
    1772737493408.jpg
    68.6 KB · Views: 22
  • 1772737489607.jpg
    1772737489607.jpg
    59.5 KB · Views: 23
  • 1772737500971.jpg
    1772737500971.jpg
    51 KB · Views: 22
Bila kufanya hivyo
Waarabu wangeshafuta Israel
Hawajataka tu, mbona Pakistan ina nuclear na ina support palestina. Wangetaka wangeshairusha tel aviv kazi ingeisha hapo.

Wanajipa haki sana hawa wayahudi. Na ambacho hawakijui atakayekuja kuwamaliza ni mzungu mwenzake wala sio waarabu. Rejea Hitler na Lenin/Stalin walivyochinja wayahudi kwa mamilioni
 
usije kushangaa hata mauaji ya 10/29 yana mkono wa islamic republic na caspian ltd, attack ya mwaka 98 ubalozi wa US islamic republic ilihusika na akina hamza, hata ugaidi unaoendelea kusini mwa nchi yetu ambao mara nyingi ulifichwa unaweza kukuta wana mkono wao.

kwa kifupi ni evil regime na ayatola ni alikuwa criminal, alinyonga wairani wengi sana ambao walitaka Ug …
Acha uongo, hivi hujui Rais wa Syria ni Al qaeda branch ya Syria yaani HTS/Al Nusra ila alikua sponsored na Netanyahu/USA ili kumpindua Assad!!

Hapo Una maoni gani? Nani mfadhili wa magaidi? Huko drc vipi kuna Iran? Sudan kwenyewe Israel support RSF.
 
Marekani na Israel walimtegemea sana Saudi kwenye mipango ya muua khomenei.
Isingekuwa rais kutokea Israel.
Mipango imefanywa saudia Arabia na mbs alikuwa anajua.
Sasa Iran Hana mamluki wanamsapoti kumpa nyendo za netanyahu.inatakiwa majasusi waingie Israel wamchunguze.
Mauaji ya khomenei hayajapangwa Leo Kuna watu waliingizwa muda sana ndani ya Iran
 
Acha uongo, hivi hujui Rais wa Syria ni Al qaeda branch ya Syria yaani HTS/Al Nusra ila alikua sponsored na Netanyahu/USA ili kumpindua Assad!!

Hapo Una maoni gani? Nani mfadhili wa magaidi? Huko drc vipi kuna Iran? Sudan kwenyewe Israel support RSF.

najua kwamba isis ndiyo wanatawala syria lkn hakuondoi madhambi ya ayatola kwa wairani wenyewe na nje ya mipaka mpaka huku kwetu ali-sponsor terrorists.

i am againt war kwa maana watu wasio na hatia huuliwa au kuumizwa lkn pia ayatola hakuwa malaika …
 
Kwahiyo wewe na ndevu zako unaamini vita inapiganywa tu ukijiskia,huyo irani vita aliitaka siku nyingi hatumaye kaipata.

Na huu ndio mwisho wake.
Mapunga mnaziogopa ndevu! Lakini si Huwa zinawatekenya shingoni tukiwa tunawap////hila, naona hata mwenzio Echolima1 anaogopa ndevu wakati zinamtekenya muterCone.
 
Back
Top Bottom