Iran wanashindwa nini kulipiza kisasi kwa kumuua Netanyau?

Kama wanaweza ku-hit target zilizoko katika mataifa jirani ya kiarabu kama Airport ya Dubai, n.k, wanashindwa nini kumlq kichwa Netanyau alieua kiongozi wao?

Sikumpenda Ayatollah kwa ukatili wake, lakini pia siipendi zaidi US na Israeli kwa mauji na uonevu kisa tu masilahi yao ya kiuchumi huku wakisingizia kitisho cha Iran kwa usalama wa eneo zima la mashariki ya kati.

Ili heshima iwepo, Netanyau lazima awe ni main target mass 24 siku 7 za wiki.

Ni wakati wa Iran kuboresha intelijensia yao ikibidi hata kwa msaada wa marafiki zake kama Urusi na China.

Israeli na Marekani ni waonevu na wauaji wakubwa wa maelefu ya watu waio na hatia kwa miaka mingi hasa Marekani..

Marekani hathubutu kuvamia mataifa yenye uwezo wa kugusa ardhi yake, ila kuua raia wa mataifa mengine haoni shiida kabisa na wajinga wanawashangilia.
Netanyahu yupo kwenye mapango kachokoza MOTO sasa hata njia ya kukimbia haipo!!!!!!
 
Attachments

  • 20250830_043813.jpg
    20250830_043813.jpg
    72.7 KB · Views: 13
  • 20250614_000352.jpg
    20250614_000352.jpg
    79.7 KB · Views: 14
  • unnamed.jpg
    unnamed.jpg
    62.3 KB · Views: 12
Hiii Vita Netanyau hatoboi yule ngoja tuone.
Wairani Makombora yao yanachimbua chini sana . HATARI
 
Mapunga mnaziogopa ndevu! Lakini si Huwa zinawatekenya shingoni tukiwa tunawap////hila, naona hata mwenzio Echolima1 anaogopa ndevu wakati zinamtekenya muterCone.
Ukiona mtu kaanza kuandika matusi basi jua hakuna kitu hapo au kaishiwa hoja. Dini ya mudi ni shida sana.
 
Tatizo wakimuua hawa jamaa wanaweza tumia hata nuclear kuisambaratisha Tehran!! Yaani wayahudi kukuua ni halali ila ukiwagusa wao wanapeleka nguvu zote hapo na kupata justification ya kutumia silaha za maangamizi.

Hii dunia imejaa uonevu sana.

Si huwa mnajinasibu kama watu wa majini, mbona hayo majini yenu yasiwasaidie kumuua hehehe huwa mnachekesha sana, na atatembeza kichapo mpaka mtakoma.
 
Kama wanaweza ku-hit target zilizoko katika mataifa jirani ya kiarabu kama Airport ya Dubai, n.k, wanashindwa nini kumlq kichwa Netanyau alieua kiongozi wao?

Sikumpenda Ayatollah kwa ukatili wake, lakini pia siipendi zaidi US na Israeli kwa mauji na uonevu kisa tu masilahi yao ya kiuchumi huku wakisingizia kitisho cha Iran kwa usalama wa eneo zima la mashariki ya kati.

Ili heshima iwepo, Netanyau lazima awe ni main target mass 24 siku 7 za wiki.

Ni wakati wa Iran kuboresha intelijensia yao ikibidi hata kwa msaada wa marafiki zake kama Urusi na China.

Israeli na Marekani ni waonevu na wauaji wakubwa wa maelefu ya watu waio na hatia kwa miaka mingi hasa Marekani..

Marekani hathubutu kuvamia mataifa yenye uwezo wa kugusa ardhi yake, ila kuua raia wa mataifa mengine haoni shiida kabisa na wajinga wanawashangilia.
yuko marekan mda mrefu
 
Marekani anaweza tu kupigana na kobazi,lakini mwambie aende kwneye uwanja wa vita na vidume kina Kim uone kama hataufyata.!
Duuh...! Siwawezi maproo. Mara mlisema Saadam Husein. Mkaja hatamuweza Gadaff. Iran ndio mlimsifia sana sana kwamba akijaribu tu kuigusa Iran atakipata cha moto. Watu tukaingia cha kike kuwaelewa maproo. Lakini ajabu siku ya kwanza tu kachomolewa kama njiwa.

Na sio kwamba vipi,ndege za USA ziliiteka anga lote la Tehran.
Mmeanza kumpambisha mwingine. Ni swala la muda tu nae kiduku akiliwa kichwa mtahamia kwa put in. Putin anaesumbuliwa na kataifa kama Ukrain tu.
Mwambieni Putin ajaribu hata siku moja ndege zake nae zitawale anga la Ukraine kama hazijaliwa kichwa.
Ukraine kaua makomandoo wa Russia zaidi ya 15 tangu vita vianze. Anapiga mpaka ndani ya Russia,mpaka karibia na ikulu.
 
Hamuwezi sababu ya nuclear, hta Pakistan umewahi ona Israel anaigusa
We hujui Pakistan ni mashirika wa USA. Sasa mshirika wa US anaanzaje kupigana na Israel?

Au umeisahau ile kwanini isemayo "Rafiki wa rafiki yako, naye ni rafiki yako"?
 
Si huwa mnajinasibu kama watu wa majini, mbona hayo majini yenu yasiwasaidie kumuua hehehe huwa mnachekesha sana, na atatembeza kichapo mpaka mtakoma.
Majini yapi tena? tatizo akili yako ya kijinga ya kudhani kila pro Iran ni muislam. We ni zaidi ya kichaa.

Hujui hata 20% ya waisrael ni waislam wakiwemo na wanajeshi wanaoua waislam wenzao wa Iran!!

Punguza udini maana najua being a Kenyan automatically ni mkabila. Very uncivilised pile of sh*t.
 
We hujui Pakistan ni mashirika wa USA. Sasa mshirika wa US anaanzaje kupigana na Israel?

Au umeisahau ile kwanini isemayo "Rafiki wa rafiki yako, naye ni rafiki yako"?
Doesn't matter, Pakistan anaitambua Palestina na anaipatia silaha Hamas. Ila hauwezi sikia Israel ikinyanyua mdomo sababu inaogopa nuclear bomb zake. Hata Iran angekua ametengeneza hao wasingemsogelea.
 
Iran ndio mlimsifia sana sana kwamba akijaribu tu kuigusa Iran atakipata cha moto. Watu tukaingia cha kike kuwaelewa maproo. Lakini ajabu siku ya kwanza tu kachomolewa kama njiwa.
Kwani utawala wa Ayatollah umeanguka? Maana objective ndio ilikua hiyo. Unadhani kupambana na nchi karibu 10 nani angeweza zaidi ya Iran? Israel ingekua ndio inapambana na nchi 10 plus Nato ingekuaje? Iran ni resilient sana kuliko nchi nyingi hapa duniani
 
Kama wanaweza ku-hit target zilizoko katika mataifa jirani ya kiarabu kama Airport ya Dubai, n.k, wanashindwa nini kumlq kichwa Netanyau alieua kiongozi wao?

Sikumpenda Ayatollah kwa ukatili wake, lakini pia siipendi zaidi US na Israeli kwa mauji na uonevu kisa tu masilahi yao ya kiuchumi huku wakisingizia kitisho cha Iran kwa usalama wa eneo zima la mashariki ya kati.

Ili heshima iwepo, Netanyau lazima awe ni main target mass 24 siku 7 za wiki.

Ni wakati wa Iran kuboresha intelijensia yao ikibidi hata kwa msaada wa marafiki zake kama Urusi na China.

Israeli na Marekani ni waonevu na wauaji wakubwa wa maelefu ya watu waio na hatia kwa miaka mingi hasa Marekani..

Marekani hathubutu kuvamia mataifa yenye uwezo wa kugusa ardhi yake, ila kuua raia wa mataifa mengine haoni shiida kabisa na wajinga wanawashangilia.

Na hapo ndipo lile gap la Nani anamuweza mwenzake.

Iran ataweza kulipua majengo lakini uwezo wa kuua wakuu wa nchi na kijeshi hana
 
Kama wanaweza ku-hit target zilizoko katika mataifa jirani ya kiarabu kama Airport ya Dubai, n.k, wanashindwa nini kumlq kichwa Netanyau alieua kiongozi wao?

Sikumpenda Ayatollah kwa ukatili wake, lakini pia siipendi zaidi US na Israeli kwa mauji na uonevu kisa tu masilahi yao ya kiuchumi huku wakisingizia kitisho cha Iran kwa usalama wa eneo zima la mashariki ya kati.

Ili heshima iwepo, Netanyau lazima awe ni main target mass 24 siku 7 za wiki.

Ni wakati wa Iran kuboresha intelijensia yao ikibidi hata kwa msaada wa marafiki zake kama Urusi na China.

Israeli na Marekani ni waonevu na wauaji wakubwa wa maelefu ya watu waio na hatia kwa miaka mingi hasa Marekani..

Marekani hathubutu kuvamia mataifa yenye uwezo wa kugusa ardhi yake, ila kuua raia wa mataifa mengine haoni shiida kabisa na wajinga wanawashangilia.
Hujificha Crete huko ugiriki
 
Kwani utawala wa Ayatollah umeanguka? Maana objective ndio ilikua hiyo. Unadhani kupambana na nchi karibu 10 nani angeweza zaidi ya Iran? Israel ingekua ndio inapambana na nchi 10 plus Nato ingekuaje? Iran ni resilient sana kuliko nchi nyingi hapa duniani
Iran mwamba hasa, Israel peke yake hamuwezi Iran, Israel mtoto sana kwa Iran
 
Back
Top Bottom