Netanyau asema ICC ni kikaragosi tu. Haina cha kumfanya ana Jeshi kali.

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Screenshot_2026-08-07-17-46-46-983_com.instagram.android~2.jpg

Nchi ambayo itahusika kumkamata au wahusika wakae chonjo jinsi watakavyoanza dondoshwa kama kuku wa mdondo. Khayatollah yupo wapi? Wauulize Iran.
 
View attachment 3645387

Nchi ambayo itahusika kumkamata au wahusika wakae chonjo jinsi watakavyoanza dondoshwa kama kuku wa mdondo. Khayatollah yupo wapi? Wauulize Iran.
Kwamba akikamatwa uingereza ataishambulia? Hujui members wa NATO wakishambuliwa wana jukumu la kumlinda!! Sasa hao Israel wana jeuri ya kupiga nchi gani ya NATO? si watageuzwa majivu au mmesahau mziki wa Hitler?
 
Kobaz kwenye moja na mbili. Netanyau akamatwe sasa. Si ametamba hapo kuwa atokee wa kumkamata hatishwi na nyau.
 
Netanyau anafanya show off kwa kutumia mgongo wa wenzake halafu anataka tumsifie mbwa huyu
Waziri wa Israel aliwaambia Wairan kuwa ndege za Marekani kila siku zinatoka Israel kwenda kuishambulia kama wanaweza washambulie Israel
 
Kama anajiamini mbona hakanyagi nchi wanachama wa ICC? Aende alafu atapata majibu.
Anakanyaga kutembea? We kilaza sana so hizo nchi anaenda kufanya shopping? We mbona hukanyagi Israel au Palestine? Ukiwa Kobaz lazima uwe kilaza?
 
We ndio kila.za maana sheria inasema akikanyaga nchi mwanachama lazima akamatwe sasa hayo mavitisho ya nini aende tu mfano Canada au Norway si huwa kuna vikao kibao je ni kwanini anatumaga wawakilishi haendi mwenyewe?

Unajua nyie jamaa huwa ni wajinga sana hamjui lolote. Aliambiwa na uingereza kuwa akikanyaga tu wanamla kichwa mbona tokea hapo hakanyagi uingereza?? Si aende na hii mikwara London ili tuone nani kidume?

Screenshot_20260808_141714_Chrome.jpg
 
Kwamba akikamatwa uingereza ataishambulia? Hujui members wa NATO wakishambuliwa wana jukumu la kumlinda!! Sasa hao Israel wana jeuri ya kupiga nchi gani ya NATO? si watageuzwa majivu au mmesahau mziki wa Hitler?
Kihistoria, Taifa la Israel kila baada ya kipindi fulani anatokea Kiongozi wa hivyo, Taifa lake linasambaratishwa na kupotea kwa miaka kadhaa baadae linarudi. Nafikiri kwa tabia za Netanyau anajiandaa kulipoteza tena hili Taifa. Na sasa hivi huenda lisirudi tena!!!
 
Kama hujui namna Kanye West alivyoziuwa kuingia UK achilia mbali kupiga Show yake iliyopangwa humo kisa tu hizo wanazoziita antisemitic statements kuwahusu Jews. Jeshi na Intelligence ya hawa jamaa ni universal, inaingia mpaka KGB, M16 mpaka CIA huko. "Tembo hawezi kutishwa na kelele za chura kunywa maji".
 
Kwamba akikamatwa uingereza ataishambulia? Hujui members wa NATO wakishambuliwa wana jukumu la kumlinda!! Sasa hao Israel wana jeuri ya kupiga nchi gani ya NATO? si watageuzwa majivu au mmesahau mziki wa Hitler?
Ujinga mtupu unakusumbua hivi kwa akili kiduchu bado unaamini kuna nchi ya kumkamata Mwamba Waziri Mkuu wa Israel kiboko cha Wafuga Midevu na Majini Mashariki ya Kati Benjamin Netanyahu? Inabidi tu ukapimwe mkojo huenda una Matatizo ya ki jinsia!!!
 
Kihistoria, Taifa la Israel kila baada ya kipindi fulani anatokea Kiongozi wa hivyo, Taifa lake linasambaratishwa na kupotea kwa miaka kadhaa baadae linarudi. Nafikiri kwa tabia za Netanyau anajiandaa kulipoteza tena hili Taifa. Na sasa hivi huenda lisirudi tena!!!
Hivi wewe umelewa au huna akili kabisa? Taifa la Israel alishindwa kulipoteza Farao na majeshi yake Huyo Hitler unayemramba Makalio alishindwa na kipindi hicho hawakuwa na Jeshi Leo hii wanalo Jeshi Lao Pendwa IDF unaleta ndoto za Mwendawazimu!!!

Wewe ndiyo utapotea na si Taifa la Israel maana ni Taifa Teule Najua kwa kusema hivyo Majini yako lazima yatapanda tu!!!
 
Back
Top Bottom