Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
- Thread starter
- #41
We ni roboti? Mbona unajibu kitu kimoja copy and paste kwa kila swali?
Nimekwambia tokea arrest warrant itolewe hajawahi kanyaga nchi wanachama wa ICC.
Ni sawa na mtu anauza gongo alafu kaambiwa akionekana mtaani atakamatwa. Alfu akijificha chini ya kitanda ajisifie eti "POLISI WANANIOGOPA, HAWAWEZI NIKAMATA".
Ndio nini sasa? Yeye aende kwenye vikao vikifanyika nchi mwanachama wa ICC then utapata majibu kama anaogopwa au lah.
Anakanyaga kutembea? We kilaza sana so hizo nchi anaenda kufanya shopping? We mbona hukanyagi Israel au Palestine? Ukiwa Kobaz lazima uwe kilaza?