Hapa tatizo ni Netanyahu sio Israel, mfano uingereza walikua wazi kuwa akikanyaga watampiga pingu.
Sasa unadhani wakimkamata kitatokea nini? Say Israel ivamie London na kufurumusha makombora, je uingereza itakubali tu kinyonge na kumuachia Netanyahu?
Hapana, lazima watalinda ardhi yao na kiprotocol akipigwa tu automatically lazima nchi zingine za NATO zinapaswa kuingilia.
Kwahiyo hapo lazim Israel ikubali tu kumtema Netanyahu au walimalize kidiplomasia ila sio waufyate. Wazungu kwenye maslahi yao hawana huruma na yotote