Mnao ishi mabondeni na vichochoroni kuweni makini pia

fact only

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
2,481
Reaction score
4,014
Hellow wa JF.

Naona kuna taarifa nyingi zinasamba za kutunza chakula ili kujikinga na njaa wakati wa Mvua za El Niño.

Naomba kuwakumbusha pia wadau mnaoishi kwenye mabonde na vichochoroni ndanindani mvua kubwa zaja wakuu.

However kama unatafuta nyumba ya kupanga kipindi hiki zingatia sana location usije ukapanga madibwini utaogelea sana.
 
Hayo mafuriko yaje tu, maana huja na chakula kingi, samaki wanakuwa ni wengi kila nyumba wanakula samaki. Nyumba zinazozingirwa na mafuriko hugeuka vizimba vya samaki. Wavuvi hujisikia vibaya sana wanapoona kila mtu anajiokotea samaki kirahisi
 
Unakuta watu wananunua viwanja bondeni kwa bei rahisi wakati wa kiangazi, wanauziwa na wenyeji kinyemela kumbe ni makazi ya maji wakati wa mvua nyingi, ndio hao ambao serikali huona walifuata maji na haiwasaidii wajifunze wenyewe na kujihamisha wenyewe kutoka mabondeni
 
Point sana hii, wacha inyeshe mkuu tuone wapi ni madimbwi wapi ni viwanja vilivyo nyooka.
 
AF8A025D-CB90-47D2-BA77-57F90A742334.jpeg
 
Hayo mafuriko yaje tu, maana huja na chakula kingi, samaki wanakuwa ni wengi kila nyumba wanakula samaki. Nyumba zinazozingirwa na mafuriko hugeuka vizimba vya samaki. Wavuvi hujisikia vibaya sana wanapoona kila mtu anajiokotea samaki kirahisi
Mtu anajiokotea Samaki kirahisi🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom