LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
Mtu anajiokotea Samaki kirahisi
Mtu anajiokotea Samaki kirahisi
Yaaani napokaa natenganishwa na msimbazi upande wa pili ni muhimbili😀 Ongea na dalali akutafutie mteja chukua chako mapema.
Ni muda sasa kila mtu kujipigania mwenyewe kujiweka katika mazingira bora.
Wanasiasa ni wazee wa kusema tu(maneno hewa) and poor implementation.
Vingunguti na kigogo hiyo.Kuna watu walizikimbia nyumba zao mabondeni wakati wa mafuriko, wengine waling'oa mabati na kuzibomoa wenyewe wakahama bila kupenda. Wale walioziacha wamerudi kwenye magofu yao baada ya mabonde kukauka. Sasa tunaambiwa el nino yaja tena, sijui hawa waliorudi mabondeni kama watasaidiwa ikiwa maji yatajaa kwenye nyumba zao
UKiwa na pesa za kutosha hata ikiwa bondeni unajaza kifusi cha kutosha na unajenga vizuri tu.mikocheni yote ilikuwa bonde la kulima mipunga lakini kwa sasa ukifika huwezi jua kama zamani kulikuwa na bonde.Unakuta watu wananunua viwanja bondeni kwa bei rahisi wakati wa kiangazi, wanauziwa na wenyeji kinyemela kumbe ni makazi ya maji wakati wa mvua nyingi, ndio hao ambao serikali huona walifuata maji na haiwasaidii wajifunze wenyewe na kujihamisha wenyewe kutoka mabondeni
Ukiwa na PESA Mkuu.UKiwa na pesa za kutosha hata ikiwa bondeni unajaza kifusi cha kutosha na unajenga vizuri tu.mikocheni yote ilikuwa bonde la kulima mipunga lakini kwa sasa ukifika huwezi jua kama zamani kulikuwa na bonde.
Mm nasema ni kuweka stock ya chakula hasa mchele , mahindi , maharage hadi mwisho wa 2027Hellow wa JF.
Naona kuna taarifa nyingi zinasamba za kutunza chakula ili kujikinga na njaa wakati wa Mvua za El Niño.
Naomba kuwakumbusha pia wadau mnaoishi kwenye mabonde na vichochoroni ndanindani mvua kubwa zaja wakuu.
However kama unatafuta nyumba ya kupanga kipindi hiki zingatia sana location usije ukapanga madibwini utaogelea sana.
Ndicho kipindi kzr cha kulima mboga mbogaKasheshe.
Kazi unayo mkuu mvua ndiyo hizo zaja. Unaambiwa zitakuwa mvua za zoazoa.
Tukalime mpunga achana na mboga mbogaNdicho kipindi kzr cha kulima mboga mboga
Ewaaah Leo sis, umetisha sku hz msimbazi hamna mafuriko km ya miaka nyumaTukalime mpunga achana na mboga mboga
Njoo ntakuonyesha msee 🤣Mboga mboga hazikai kwenye madibwi mkuu labda mpunga.