Dorothy Temu: ACT hatuna ushirikiano wowote na dola. Hatuna mahusiano na CCM

Dorothy Temu: ACT hatuna ushirikiano wowote na dola. Hatuna mahusiano na CCM

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Dorothy semu, ameweka wazi kuwa chama chake hakina ushirikiano, urafiki wala mahusiano ya na Dola wala Chama Cha Mapinduzi (CCM), bali ACT inalenga kutimiza wajibu wake wa kisiasa kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi.

Akizungumza katika mahojiano mwanahabari Edwin Odemba, KUPITIA Jambo Tv Agosti 17, 2026, Dorothy Semu ameeleza kuwa uhusiano uliopo kati ya ACT-Wazalendo na mifumo ya Dola ni wa kawaida wa kiofisi na wa kiuwajibikaji kama ilivyo kwa chama chochote makini cha upinzani kinachochagiza maendeleo na kutetea haki za wananchi.


 
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Dorothy Temu, ameweka wazi kuwa chama chake hakina ushirikiano, urafiki wala mahusiano ya na Dola wala Chama Cha Mapinduzi (CCM), bali ACT inalenga kutimiza wajibu wake wa kisiasa kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi.

Akizungumza katika mahojiano mwanahabari Edwin Odemba, KUPITIA Jambo Tv Agosti 17, 2026, Dorothy Temu ameeleza kuwa uhusiano uliopo kati ya ACT-Wazalendo na mifumo ya Dola ni wa kawaida wa kiofisi na wa kiuwajibikaji kama ilivyo kwa chama chochote makini cha upinzani kinachochagiza maendeleo na kutetea haki za wananchi.
ok. :pedroP:
 
Hawa tangu washiriki ule uchaguzi na akina chaumma nawaona masnitch tu.
 
Back
Top Bottom