Askofu Malasusa kuwa makini na kanisa lako acha kukaribisha wanaccm wenzako kushambulia makanisa mengine

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
24,523
Reaction score
30,084
Kauli aliyoitoa kiongozi wa CCM huko Arusha kupitia mgongo wa KKKT ni ya kutaka kuligonganisha kanisa hilo na makanisa mengine hasa Katoliki. Kwa muda alioutumia kiongozi huyo kukitoa kilichomo moyoni mwake kinaleta hisia ya kuwa kikao kile cha viongozi wa KKKT kiliandaliwa kwa makusudi ya kumpa uwanja ndani ya kanisa kulishambulia kanisa jingine, jambo ambalo si zuri.
 
nonsense 🐒
Screenshot_20260714-183814~2.png
 
Kauli aliyoitoa kiongozi wa CCM huko Arusha kupitia mgongo wa KKKT ni ya kutaka kuligonganisha kanisa hilo na makanisa mengine hasa Katoliki. Kwa muda alioutumia kiongozi huyo kukitoa kilichomo moyoni mwake kinaleta hisia ya kuwa kikao kile cha viongozi wa KKKT kiliandaliwa kwa makusudi ya kumpa uwanja ndani ya kanisa kulishambulia kanisa jingine, jambo ambalo si zuri.
Soma vizuri biblia, kanisa katoliki limejengwa juu ya mwamba, litapitia misukosuko ila halitatikisika milele
 
Kauli aliyoitoa kiongozi wa CCM huko Arusha kupitia mgongo wa KKKT ni ya kutaka kuligonganisha kanisa hilo na makanisa mengine hasa Katoliki. Kwa muda alioutumia kiongozi huyo kukitoa kilichomo moyoni mwake kinaleta hisia ya kuwa kikao kile cha viongozi wa KKKT kiliandaliwa kwa makusudi ya kumpa uwanja ndani ya kanisa kulishambulia kanisa jingine, jambo ambalo si zuri.
Siafiki mimbari kutumika kisiasa.
Athari zake ni mbaya.
 
1. Kuna sehemu yoyote alitaja katholiki?

2. Okay, katholiki kuisema vibaya serikali na ccm ni ruksa, lakn katholiki kuguswa hapana eti? Huu nao ni ujuha

3. Kwani katholiki wanayomamlaka ya kuipangia kkkt ifanye nini? Kila kanisa lina taratibu zake na sera yake ya kimahusiano na utawala wa nchi.

NYIE ENDELEENI NA UTECDEMA WENU HUKO, acheni kupangia taratibu makanisa mengine!
 
Tatizo wakiongea Makanisani kuchochea Serikali kwa Wananchi wao ndio mnapenda

Viongozi wa Dini wasasa wanafaa wenyewe kukemewa

Wenyewe ndio Pepo chafu

Nawewe muumini unategemea kwao wakuponye❗️
kumbe wenyewe ndio Wagonjwa zaidi wana Pepo chafu
baya zaidi🫎🫎
 
KKKT wanajielewa vizuri sana
Lkn
Lile Kanisa linaongozwa na Msingida Chadema nayo Msingida
Tutegemee nini apo kama sio kuzika Watoto wetu🫎😭😭😭😭
 
U
Kauli aliyoitoa kiongozi wa CCM huko Arusha kupitia mgongo wa KKKT ni ya kutaka kuligonganisha kanisa hilo na makanisa mengine hasa Katoliki. Kwa muda alioutumia kiongozi huyo kukitoa kilichomo moyoni mwake kinaleta hisia ya kuwa kikao kile cha viongozi wa KKKT kiliandaliwa kwa makusudi ya kumpa uwanja ndani ya kanisa kulishambulia kanisa jingine, jambo ambalo si zuri.
chochezi huu
 
Ungeweka hicho alichosema, sasa hapa tunajadili nini?.
 
1. Kuna sehemu yoyote alitaja katholiki?

2. Okay, katholiki kuisema vibaya serikali na ccm ni ruksa, lakn katholiki kuguswa hapana eti? Huu nao ni ujuha

3. Kwani katholiki wanayomamlaka ya kuipangia kkkt ifanye nini? Kila kanisa lina taratibu zake na sera yake ya kimahusiano na utawala wa nchi.

NYIE ENDELEENI NA UTECDEMA WENU HUKO, acheni kupangia taratibu makanisa mengine!
Lini na kipi kibaya katoliki wamesema kuhusu serikali?
 
Kauli aliyoitoa kiongozi wa CCM huko Arusha kupitia mgongo wa KKKT ni ya kutaka kuligonganisha kanisa hilo na makanisa mengine hasa Katoliki. Kwa muda alioutumia kiongozi huyo kukitoa kilichomo moyoni mwake kinaleta hisia ya kuwa kikao kile cha viongozi wa KKKT kiliandaliwa kwa makusudi ya kumpa uwanja ndani ya kanisa kulishambulia kanisa jingine, jambo ambalo si zuri.
Tutamfurahisha we subiri.
 
Back
Top Bottom