Askofu Malasusa kuwa makini na kanisa lako acha kukaribisha wanaccm wenzako kushambulia makanisa mengine

Askofu Malasusa kuwa makini na kanisa lako acha kukaribisha wanaccm wenzako kushambulia makanisa mengine

Kauli aliyoitoa kiongozi wa CCM huko Arusha kupitia mgongo wa KKKT ni ya kutaka kuligonganisha kanisa hilo na makanisa mengine hasa Katoliki. Kwa muda alioutumia kiongozi huyo kukitoa kilichomo moyoni mwake kinaleta hisia ya kuwa kikao kile cha viongozi wa KKKT kiliandaliwa kwa makusudi ya kumpa uwanja ndani ya kanisa kulishambulia kanisa jingine, jambo ambalo si zuri.
Kasemaje?
 
Gentleman
Nchi Hii Ni Yetu Sote Tena Tunapaswa Kusema Bila Kujari
Muhimu Maslahi Ya Tanzania Yawe Mbele
Gentleman,
Askofu Malasusa au kiongozi yoyote yule wa nyumba yoyote ile ya ibada, hawezi kukaa kwenye kinywa au fikra ya kiongozi au muumini wa dhehebu lolote lile aliepewa nafasi ya kuzungumza mbele ya mimbari za nyumba hizo.

mtoa hoja alipaswa afikirie hilo kwanza kabla ya kumbebesha mzigo wa lawama na laana mtu ambae hausiki na anacholaumu mtoa hoja.

halafu kesho,
wanasiasa wakipigwa marufuku kuongea madhabauhuni, kajamaa hako hako kanakuja kulaumu uhuru wa watu kujieleza unaminywa.

Ni vizuri kuacha watu wajieleze halafu mwishowe tudeal na athari za maelezo yake,
kwasababu hapo,
kwanza,
mzungumzaji atakua amepata relief moyoni mwake na kutoa nyongo, lakini pia na walioambiwa ukweli wa maelezo hayo wanapata kujua tatizo na kuchukua hatua :1Head:
 
Kauli aliyoitoa kiongozi wa CCM huko Arusha kupitia mgongo wa KKKT ni ya kutaka kuligonganisha kanisa hilo na makanisa mengine hasa Katoliki. Kwa muda alioutumia kiongozi huyo kukitoa kilichomo moyoni mwake kinaleta hisia ya kuwa kikao kile cha viongozi wa KKKT kiliandaliwa kwa makusudi ya kumpa uwanja ndani ya kanisa kulishambulia kanisa jingine, jambo ambalo si zuri.
Sasa kama aliwekwa na hao hao CCM atafanya nini
 
1. Kuna sehemu yoyote alitaja katholiki?

2. Okay, katholiki kuisema vibaya serikali na ccm ni ruksa, lakn katholiki kuguswa hapana eti? Huu nao ni ujuha

3. Kwani katholiki wanayomamlaka ya kuipangia kkkt ifanye nini? Kila kanisa lina taratibu zake na sera yake ya kimahusiano na utawala wa nchi.

NYIE ENDELEENI NA UTECDEMA WENU HUKO, acheni kupangia taratibu makanisa mengine!
Ukitoka kunywa pombe subiri itulie kwanza kisha uje uandike.
 
KKKT wanajielewa vizuri sana
Lkn
Lile Kanisa linaongozwa na Msingida Chadema nayo Msingida
Tutegemee nini apo kama sio kuzika Watoto wetu🫎😭😭😭😭
Ustadhi nina ubwabwa sinia mbili ndugu yangu. Na tende pia
 
Back
Top Bottom