Mwanasiasa Godbless Lema ni Kijana Makini sana hakika ni Hazina kwa taifa

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,592
Reaction score
15,404
Mwanasiasa Machachari Godbless Lema namuona atafika mbali kisiasa kwa haiba na akili yangi makada wa vyama vya upinzani wana la Kujifunza kwa huyu jamaa hakika ni Mfano wa Kuigwa.
 
CCM na machawa wake huwa hamjifunzi , same playbook.

Mlipoanza kumsifia Mbowe hadi press zake kuzirusha TBCCM watu walishashtukia mapema Mbowe mmefikisha kambi ya Kizimkazi.

Na sasa ghafla mmeanza kumsifia Lema na watanzania wa sasa wanajitambua tu wakishaona mtu anasifiwa na CCM basi wanafahamu kuna tatizo kubwa sana hivyo badala ya kumsaidia Lema mnakua mmemuexpose tayari.

Mmeshaambiwa njooni mahakamani mambo ya nyuma nyuma na kwenda gerezani usiku muache !
 
Lema ni Takataka.

Heche ni Taka taka .
 
Nilishangaa sana kwa Lissu kutomteua Lema kuwa Katibu Mkuu, kumbe aliona mbali sana.
 
Back
Top Bottom