Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Hii haina comeback wala reverse! Mkiweza simamisheni sass hizi project za kupoteza, kuua kutesa na kudhalilisha watu.. Huku wengine mkiwabambikia kesi zisizo na dhamana
Vijana na watu wema na makini kama kina Mzee Kibao, Kiswahili, Kipanya, Soka, Mdude na mamia wengine huwezi kuwafananisha na akina nabii tito na mwandambo
Kuna hii list ya akina Pole pole, Kazungu and the like.. Ni watu walitoa hoja na mitazamo yenye mashiko
Kwenye makundi yote hayo kila walipopotezwa mmoja au zaidi.. Waliibuka wengine radical zaidi
Rachel Dangwa anafahamika vema style yake! Lakini huyuhuyu ndie aliyewasaidia pakubwa kupooza maandamano ya 77.. Sasa hatima yake haijulikani
Kupotea kwa Rachel kumemuibua nabii Tito.... Taratibu na hii coming back yake anaweza kuonekana shujaa muda si mrefu
Natambua hamna uvumilivu sana.. Hivyo Tito akiendelea kuwananga mnaweza kumfikia.. Huyu yeye haogopwi kulawitiwa maana ndio starehe yake... Ila kitakachotokea mtachekwa dunia nzima kwa kuonekana mnadili mpaka na machizi
Kwa hali ilivyo sasa msipobadilika huko mbeleni wataibuka machizi wengi zaidi na radical zaidi huku watetezi wenu wakiwa kina mwaipopo na mwandambo
Kuna nafasi finyu imebaki ya kurekebisha mambo.. Lakini sidhani kama mtaitumia